Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Dua la kuku ndugu yangu.Wahanga wakubwa ni walimu.
Wacha waisome namba kwanza maana wao ndo husaidia chama pendwa kuiba kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua la kuku ndugu yangu.Wahanga wakubwa ni walimu.
Wacha waisome namba kwanza maana wao ndo husaidia chama pendwa kuiba kura
70% ya vishikwambi vilikwisha kufa miezi miwili tangu wapewe.Walimu pamoja na kuwa na vishkwambi bado wanashindwa kujisajili kwenye huu mfumo?
Hila huu ni uonevu mkubwa tanzania tunashida ya matumizi ya hii mifumo na huu mfumo umekuwa ukiwasumbua sana watumishi sio haki kuwanyima mshahara eti kisa hawajajisajili
Tatizo wao wapo maofisin huko wanadgani watumishi wote wanaishi mtumba, hili swala wamelikurupukia sana hawakufabya maandalizi yeyote sasa wafunge msahara wa mtumishi kwa kigezo hicho ndio wanaonesha hilo takwa la sheria analo lisema simbachawene lipo wapiImagine kuna wapishi, walinzi nk kwenye vyuo na mashule huko wanahangaika wiki mbili nzima kukimbia kwenye cyber cafes spending lots of cash kwaajili ya mfumo, serikali itoe fedha za kumuwezesha kila mtumishi kuwa na smartphone, fedha ya bundle na mafunzo, iache uhuni na ujinga
Peleka mahakakamani hao wanyanyasajiIna maana akishasitishiwa mshahara, wewe utamsaidia apewe au inakuwaje? Mungu wasaidie walimu wangu kule Mtakuja S/M. LY 1980
Mimi nilijaza bila kupata maelekezo kutoka kwa mtu yeyote na nilitumia simu tu. Kama kuna mtumishi kashindwa kujaza basi ni mtumishi wa darasa la saba labdaSerikali inatakiwa ikianzisha hii mifumo yao, itoe elimu na muda wa kutosha kwa wahusika kujifunza na kuelewa.
Ila shida iliyopo kwa aina ya viongozi tulio nao, ni tabia yao ya kupenda kukurupuka na pia kulazimisha mambo yaende kwa haraka! Hata kama hakuna elimu kwa walengwa.
Hawa watu mwaka wa jana wamewasumbua sana wafanyabiashara na mfumo wa tausi! Na kwao mambo yalikuwa hivi hivi! Mtu unaenda ku re new leseni ya biashara, unaambiwa ukalipie kwa mfumo mpya, na ambao hata huujui!
Ahahahah 😂😂😂Mwezi huu ni kujibebea tu mademu watumishi wa UMMA wasiokamilisha kujaza kwani hawana mshahara, wakulungwa uelekeo ni huko kujilia mbususu kwa ulaini mtendaji wa Kijiji au mwalimu Eliza
Habari Mkuu!Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.
Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza.
Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna watumishi wapo vijijini huko ambako hadi leo wanapata internet yenye kasi ya GPRS na EDGE (hilo nina uhakika nalo na ushahidi ninao).
Msitumie ubabe kwenye hili mtatesa watumishi sana, mfumo bado una shida na si rafiki kwa mazingira yetu mnalazimisha nchi kuingia kwenye teknolojia ambazo ki msingi si rafiki kwa kwa aina ya watu na miundo mbinu kifupi hamjawaandaa watumiaji wala miundo mbinu.
Mtumishi ataesimamishiwa mshahara wake alio utumikia mwezi mzima kutokana na majukumu yake kwa mujibu wa makataba wake wa kazi kwa kisa hajajiunga na PEPMIS anione PM kwa masaada wa kisheria.
Unafahamu idadi ya walimu Tanzania?Walimu pamoja na kuwa na vishkwambi bado wanashindwa kujisajili kwenye huu mfumo?
Wamejaa ujinga, wangekuwa na akili wangekwenda kufanya tafiti za kina kwenye vijiji vya ndani kabisaTatizo wao wapo maofisin huko wanadgani watumishi wote wanaishi mtumba, hili swala wamelikurupukia sana hawakufabya maandalizi yeyote sasa wafunge msahara wa mtumishi kwa kigezo hicho ndio wanaonesha hilo takwa la sheria analo lisema simbachawene lipo wapi
Kwani TUCTA wanasemaje? acha wanyanyasweNashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.
Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza.
Mfumo wenu unahitaji angalau 3G au H+ Internet speed ili angalau ufanye vizuri wakati huo kuna watumishi wapo vijijini huko ambako hadi leo wanapata internet yenye kasi ya GPRS na EDGE (hilo nina uhakika nalo na ushahidi ninao).
Msitumie ubabe kwenye hili mtatesa watumishi sana, mfumo bado una shida na si rafiki kwa mazingira yetu mnalazimisha nchi kuingia kwenye teknolojia ambazo ki msingi si rafiki kwa kwa aina ya watu na miundo mbinu kifupi hamjawaandaa watumiaji wala miundo mbinu.
Mtumishi ataesimamishiwa mshahara wake alio utumikia mwezi mzima kutokana na majukumu yake kwa mujibu wa makataba wake wa kazi kwa kisa hajajiunga na PEPMIS anione PM kwa masaada wa kisheria.
[emoji38][emoji38]Kuna haja ya jf kuleta jukwaa la watumishi, mtoa mada kaandika kana kwamba wote humu tunajua pepumiss maan yake ndio Nini[emoji848]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hivi vyama vya wafanyakazi vya hovyo kabisa nchi hiiKwani TUCTA wanasemaje? acha wanyanyaswe
Hilo ndio tatizo lenu mnao jiona mnajua kufuata sheria kwa upande mmoja na kusahau upande wa pili wa sheria hizo hizo,Habari Mkuu!
Kabla sijachangia chochote ningependa kufanya Rejea ya Nyaraka zifuatazo.....
(NA NAPENDA KUSEMA NIKO OPEN KWA MJADALA WENYE HOJA)
Rejea KANUNI ZA KUDUMU ZA UTUMISHI WA UMMA 2009 (standing order for Public Services ya mwaka 2009) Kanuni D.42 na pia unaweza ukasoma kuhusu Kanuni za Perfomance appraisal zote Zipo kwenye D.62 Mpaka D.75
Pia SERA YA MENEJIMENTI NA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Toleo la 2 la September 2008 Sura Ya nne Sera namba 4.16 "Tathmini ya Utendaji kazi" nitakuomba Usome pamoja na KANUNI ZA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI (KANUNI ZA UTENDAJI BORA), ZA MWAKA 2007 Zilizoandaliwa chini ya kifungu cha 99(1) cha SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI, 2004 (Na. 6 YA MWAKA 2004) na TANGAZO LA SERIKALI NA. 42 (Lililochapishwa tarehe 16/2/2007)
Soma kanuni namba 36 na 37..
Haitoshi pia Unaweza ukasoma Kanuni kuhusu Utoaji wa Mishahara Iliyo chini ya Kanuni za Kudumu za utumishi wa umma 2009 (Standing order for Public servants 2009) kanuni namba E.3
Nimesikitika Sana kuona Wewe unayesema unaweza kuwasaidia Watumishi haki zao umeshindwa kujua Vyote unavyosema Vimewekwa chini ya Sheria na Kanuni za Kiutendaji za utumishi na hazipo.kwa bahati mbaya..
Mtumishi anaposhindwa kutimiza wajibu wake kama Mtumishi Sheria na taratibu zimewekwa wazi kuwa Ni lazma apewe maonyo na moja ya maonyo Ukishindwa kutimiza wajibu ni Onyo la kushindwa kupokea Mshahara ambalo lilo chini ya SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI Sheria no 366 kifungu no 26 mpaka 28...
Kanuni zote na sheria zote nilizotaja zinaonyesha umuhimu wa Tathmini ya utendaji wa mtumishi Hivyo mtumishi kushindwa kutoa tathmini ya utendaji kazi wake ni ishara kwamba ameshindwa kufanya kazi au ameshindwa kufanya majukumu yake, Kwa kuhudumia Umma...
Lakini kushawishi watumishi waipinge serikali Itawaponza kwa sababu inaenda kinyume na sheria na KANUNI ZA MAADILI YA UTENDAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA Toleo la mwaka 2023..
Kanuni ya pili
View attachment 2911917
LAkini pia Mtumishi lazma akubali kupimwa utendani kazi wake maana ni wajibu kufanya hivyo sio ombi wala Hiyari
Kanuni hiyo hiyo kanuni ya 1 inamtaka mtumishi kufata taratibu na kufanya wajibu wake View attachment 2911931
Kama mtumishi ataona Anaonewa au uamuzi wa nyaraka hauko sahihi au Sheria ina unyanyasaji au maagizo yana changamoto au Hakutendewa hali kwa sehemu yoyote KANUNI HIYO YA MAADILI INAMPA UWANJA WA KUAMDIKA BARUA KWA KATIBU MKUU AU MWAJIRI WAKE KUELEZA DUKUDUKU LAKE..
View attachment 2911938
HahaaWahanga wakubwa ni walimu.
Wacha waisome namba kwanza maana wao ndo husaidia chama pendwa kuiba kura