Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwahiyo mtoto akipata mimba, mchinjie baharini kwa kumuadhibu asiendele na elimu? badala ya kumpa nafasi wakati umri wake bado mdogo asome ili elimu imsaidie na ndoto zake zisiwe zimeishia pale? hivi huwa mnafikiria kwa kutumia akili kweli au mnatumia kitu kingine?Sawa kabisa, na kama taifa ukigongewa mke wako hamna kumshika mtu ugoni! Tuchukuliane madhaifu yetu
Sawa na kijana kwanini afungwe miaka 30 jela? Can you justify the case?kwahiyo mtoto akipata mimba, mchinjie baharini kwa kumuadhibu asiendele na elimu? badala ya kumpa nafasi wakati umri wake bado mdogo asome ili elimu imsaidie na ndoto zake zisiwe zimeishia pale? hivi huwa mnafikiria kwa kutumia akili kweli au mnatumia kitu kingine?
sisapoti uzinzi wala watoto kufanya mapenzi. lakini kuna ukweli ufuatao ambao hauepukiki kuufikiria kichwani kama una akili timamu.Mtoto anavunja ungo akiwa na miaka 12, unataka avumilie kufanya mapenzi hadi afikishe miaka 26 hadi 30? Ni ngumu sana bila nguvu za Mungu kuingilia kati.
Kule boarding school walikuwa wanatuwekea mafuta ya taa kwenye chakula hasa maharage maana walijua vidume tumebalehe tayari.
kijana gani unamaanisha? mtoto huwa hafungwi.Sawa na kijana kwanini afungwe miaka 30 jela? Can you justify the case?
Aliemtia mimbakijana gani unamaanisha? mtoto huwa hafungwi.
mtu yeyote akizidi miaka 18 ni mtu mzima. sheria inatoa adhabu kwa mwanaume mtu mzima kufanya mapenzi na under age (msichana chini ya miaka 18) na kwa underage na mwanafunzi wa sekondari sheria inakataza kuwatia mimba, na ukifanya hivyo adhabu ni miaka 30. ila kwa kijana chini ya miaka 18 akimtia binti chini ya miaka 18 mimba au mwanafunzi, huwa hafungwi kwasababu kijana huyo bado anahesabika ni mtoto na kisheria ya watoto Tanzania, custodial sentence kwa mtoto imezuiliwa. mtoto hafungwi jela mzee. kwahiyo uliza swali lako vizuri kijana gani unataka nifanye justification.Aliemtia mimba
Mazingira gani hayo wakati dunia ipo kwenye convergence kuanzia mambo ya biashara mpaka culture. Yaani watu wanafanya harmonization ya sheria na sera ili kuwepo compatibility na standardization alafu unasema mazingira yetu? Maybe u specify hayo mazingira hayatohusisha wawekezaji ama mikataba ya kimataifa tuliyopledge kusimamia?Sheria hiyo ilipaswa izingatie mazingira ya nchi ZETU.
Adhabu ya kuzaa ni kunyimwa elimu? Ndio maana nikasema basi rushwa ya ngono huko makazini mhusika akikamatwa naye avuliwe vyeti vyote maana huwezi adhibu watoto alafu watu wazima unawapa fine tu wakati kosa ni lile lile!!Hiyo ni adhabu na haipaswi kuwa kwa mtindo WA huruma
Nilikuuliza maadili ni sex ukivaa condom ama ni mpaka upate mimba?? Kwanini wasiseme binti wasio na bikra wafukuzwe ila unabana wenye mimba tu ilihali kuna wengine ni wazinzi ila wanatumia kinga na P2??Elimu pasipo maadili haina maana yoyote ile ndani ya jamii
ni uzi mgumu kwasababu, akipata mimba ukafukuza asisome unakuwa hujamsaidia, umemchinjia baharini, na hauna tofauti na yule aliyemtia mimba na kumkatisha masomo. jua kabisa mtoto akipata mimba huwa inamuuma sana, kwasababu anapitia aibu nyingi kila mtu anamnyooshea kidole, anajiona ameaibisha familia, anaona aibu kwa wanafunzi wenzie, na anaregret mno. anajiona ana makosa, sasa huo ndio wakati wa muhimu sana kuwa karibu yake ili asikate tamaa ya maisha ya kukatisha ndoto zake, na ili ndoto yake iendelee anatakiwa kupewa nafasi ya kusoma tena, na ninaamini hatafanya makosa tena kama alivyofanya mwanzo. hata hao waliobaki shule sio kwamba hawafanyii mapenzi ni kwasababu tu hawajapata mimba, sasa watu wanakuja kuadhibu matokeo (mimba) badala ya kuadhibu kitendo(ngono). jambo linalowafanya watu wa aina hii wawe aina ya watu wasiofikiri kabisa au wanafikiri kwa kutumia akili za kiporipori. akili za ujima kabisa.Huu uzi ni mgumu sana
Mkuu wew ulibarehe ukiwa na miaka 30??...mtu yeyote akizidi miaka 18 ni mtu mzima. sheria inatoa adhabu kwa mwanaume mtu mzima kufanya mapenzi na under age (msichana chini ya miaka 18) na kwa underage na mwanafunzi wa sekondari sheria inakataza kuwatia mimba, na ukifanya hivyo adhabu ni miaka 30. ila kwa kijana chini ya miaka 18 akimtia binti chini ya miaka 18 mimba au mwanafunzi, huwa hafungwi kwasababu kijana huyo bado anahesabika ni mtoto na kisheria ya watoto Tanzania, custodial sentence kwa mtoto imezuiliwa. mtoto hafungwi jela mzee. kwahiyo uliza swali lako vizuri kijana gani unataka nifanye justification.
kama nikidandia kwa mbele, binafsi huwa napinga kabisa sheria hii ya kugeneralise kwamba yeyote wa above 18 akitia mimba afungwe. kwangu mimi huwa naamini yeyote chini ya miaka 25 bado ni mtoto kwangu kwasabbu bado yupo kwenye foolish age tu ya kujifunza funza mapenzi, hivyo asiadhibiwe kama limtu lizimaa, au labda angepewa adhabu lakini isiwe 30, kumpa adhabu kubwa naman hiyo ni kumchinjia baharini zaidi, kumkomoa na sio kusaidia jamii. wangepewa adhabu hata ya miaka miwili au isizidi 5.
ila kwa rape zile rape pure yaani ya kukamata kinguvu na kubaka, kubaka vitoto vya miaka 3 n.k, kubaka vitoto chini ya miaka 12 n.k na zinazofanana na hizo ndio mtu ale adhabu maisha au 30.
hujui unachoongea, nimesema Sheria ya mtoto Tanzania hairuhusu mtoto kufungwa gerezani, mtoto hafungwi. sheria gani hiyo ya mtoto kufungwa 30 unayoongelea? under age yeyote akimpa mtoto mwenzie mimba hafungwi, anaendelea na shule, ila yule wa kike mnataka asiendelee na shule wakati wa kiume anaendelea.Mkuu wew ulibarehe ukiwa na miaka 30??...
Mtoto wa kiume ana balehe akiwa na 14 had 15...kwahyo ni rahis kumpa mimba age mate wake...ila wa kiume atafungwa 30 years ila wa kike atabaki nyumbani na kurud shule....It Ain't Fair.
Elimu yetu inamfanya mwanafunz amalze shule akiwa na 18+...Both Girls and Boys ila kwenye case ya mimba wakiume ndo anakua mhanga wa kufungwa ila wa kike anaachiwa tu....afu unasema kjana wa kiume hafungwi?? Seriouslyhujui unachoongea, nimesema Sheria ya mtoto Tanzania hairuhusu mtoto kufungwa gerezani, mtoto hafungwi. sheria gani hiyo ya mtoto kufungwa 30 unayoongelea? under age yeyote akimpa mtoto mwenzie mimba hafungwi, anaendelea na shule, ila yule wa kike mnataka asiendelee na shule wakati wa kiume anaendelea.
1. Tanzania mtoto ni mtu yeyote mwenye miaka 18 kushuka chini.Elimu yetu inamfanya mwanafunz amalze shule akiwa na 18+...Both Girls and Boys ila kwenye case ya mimba wakiume ndo anakua mhanga wa kufungwa ila wa kike anaachiwa tu....afu unasema kjana wa kiume hafungwi?? Seriously
Mmeruhusu vigodoroKuruhusu watoto wenye mimba waendelee na masomo ni chanzo cha kuruhusu mambo ya hovyo yaendelee kufanyika nchini sooni ushoga utaruhusiwa ni jambo la muda.
Tunakuwa bize na siasa kwenye mambo muhimu.Hata Maghufuli hakuwazuia kupata elimu alikuwa anasema akipata mimba atolewe huko elimu akaendelee nayo kwenye kundi la wakubwa, maana elimu siyo lazima itolewe na mwalimu hata yeye anaweza akawa anawaelimisha wenzie jinsi ya kupata mtoto mwisho wa siku kila mhitimu anarudi nyumbani akiwa na ufaulu wa elimu na malezi ambayo siyo sahihi kabisa kwa jamii zetu, nami naunga la kuwakazia watambue ni kosa kuzaa ukiwa unasoma kwa kumtengenisha na aliokuwa nao.
kwahiyo tuhukumu matusi au matokeo ya matusi.Inasikitisha sana...
Ikumbukwe ukipata mimba ina maana unajua kufanya matusi...