Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

Unajua hayo ni mawazo ya kijinga kabisa,kumbuka wlimu ni haki ya binadamu huwezi kumnyima kwa ajiki ya mimba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe umeelewa...asantee.
 
Huu uzi umekaa kimwendazake mwendazake , watoto wana haki ya kurudi shuleni no matter what, ndio maana wanasema jamaa alikua kichaa, watu hawakusikia, na majitu yalivyo mapuuzi yalikua yanamshangilia, leo hii hao hao wanamshangilia mama yao
Mtoto yupi anaerudi shule?

Aliyezaliwa au mwanafunzi wa zamani?
 
Wawaruhusu tu siku moja watoto wa kike wote hapo shuleni watakuwa wamekaa chini ya miti wakinyonyesha.
kwani wakinyonyesha na shule inaendelea kuna shida gani? wewe ulipokuwa unasoma sekondari ulikuwa bikra au walishafumua kitambo? kama ulishafumuliwaga ungepata mimba ukanyimwa elimu ungejisikiaje au ungekuwa hapo ulipo sasa? shida mnafikiri kwa kutumia masaburi.
 
Umeandika upuuzi wa kiwango cha lami.
Upuuzi mtupu.
 
Maadili yapi?
 
Ndio maana ya Adhabu

Lengo la adhabu ni kukuonya na kumfundisha mtu.

Huyo binti na kijana kila mmoja atumikie adhabu yake ili iwe fundisho Kwa wengine.

Elimu pasipo na maadili haina maana yoyote.
Wewe unapofanya uzinzi au wizi wa mali za umma nani anakuonya?
 
Mimba ni baraka au mkosi?mtoto ni faida ya watu wachache Ila elimu ni faida kwa wote,unataka kuniambia mwanafunzi aliyempa mimba msichana nae asisome?
 
Sawa kabisa, na kama taifa ukigongewa mke wako hamna kumshika mtu ugoni! Tuchukuliane madhaifu yetu
Kuna viongozi hapa wanatembea na wake au waume za wenzao, wapo walioingia mikataba mibovu kwa kuendekeza rushwa, wapo wanaochukua mali za umma na mengine mengi tuu hawa nani anawaadhibu?? Hebu acheni uonevu wenu hapa.
 
Sawa kabisa, na kama taifa ukigongewa mke wako hamna kumshika mtu ugoni! Tuchukuliane madhaifu yetu
 
#ARUDI SHULE KUSOMA
Ndio maana nimeandika kuna Exceptional chini Kabisa na nimeshasema kuwa Bahati nzuri no kuwa wanaopitia hayo ni wachache.

Kitoto unakikanya kila siku kinang'ang'ania maghetto ya wanaume alafu useme kimebakwa. Embu tuweni Sirius bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…