- Thread starter
- #41
Zingine ni ibada za shetani!..Kuna matukio ya wanawake wanaombwa tigo na waume zao! Hapo Kuna ibada au uchuro!!nijuavyo mimii ndoa ni ibada.
Ibada gani Mme kumtindua mkewe hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zingine ni ibada za shetani!..Kuna matukio ya wanawake wanaombwa tigo na waume zao! Hapo Kuna ibada au uchuro!!nijuavyo mimii ndoa ni ibada.
Kwasababu serikali ndiyo inatoa vyeti/hati na kuzisajili!Yaani Dini in mapungufu Hadi waumini wanaomba serekali ndo iboreshe maandiko yake
Je, kwenye kitabu imeandikwa kuwa hiyo ruhusa!?Zingine ni ibada za shetani!..Kuna matukio ya wanawake wanaombwa tigo na waume zao! Hapo Kuna ibada au uchuro!!
Ibada gani Mme kumtindua mkewe hivyo!
Ndo za kikristo ni mtego mwanamke anaweza kukufichia makucha yake had utakapo muoa ndo aanze kukudhihirishia tabia yake chafu kwakua anajua huwez kumuacha na dini hairuhusu kuachana had kifo kiwatenganishe Sasa kwanini kondoo wa bwana asiamue kumtanguliza mwenza wake kuzimu kwakua din imeshindwa kumsaidia kuachana kwa amaniKwasababu serikali ndiyo inatoa vyeti/hati na kuzisajili!
Hivyo iweke taratibu nyepesi za kufuta
FYI serikali haijatunga sheria ya ndoa ya Kikristo, sheria ya ndoa yas Kikristo inatokana na Maandiko matakatifu na Kanisa. Serikali haizuii talaka wala mitala, wanaoingia kwenye ndoa ndio wanatakiwa ku-declare wanafunga ndoa ya namna gsani: Kiislamu, Kikristo au Kimila.Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula!
ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji!
Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo!
Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza!
Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu rahisi wa kuachana (Talaka) kwenye ndoa za kikristo!
Hivyo imewafanya wakristo wanaofight divorce kuishi maisha hatarishi zaidi kutokana kwa wenza wao, mbali na migogoro mikubwa ya kupigana na kufumaniana pengine wengine hadi wanaletewa magonjwa kama ukimwi kwa kukosa namna ya kupata talaka
Mfano
Kuna scenario ya mama mmoja ambaye ameishi na Mme wake na kupata watoto watatu kwa kuvumilia, lakini uvumilivu umefika mwisho baada ya mmewake amekuwa ni wa kumpiga, matusi na kumdhalilisha, Mama huyo kariporti Mara kadhaa polisi lakini hajui afanyeje ili apate talaka kisheria!(divorce)
Pamoja na kipigo na masimango, malalamiko mengine ya yule mama ni mmewe kuwa na vimada wengi hadi na mabinti wa kazi ambayo yote kayavumilia lakini hili la kupigwa mme wake anaporudi kalewa limemshinda.
Hivyo kwa mateso ya mama yule, ni dhahiri yupo hatarini kufanya au kufanyiwa mauaji mda wowote!
Lakini kungekuwa na utaratibu mwepesi wa talaka wangeachana kwa Amani! Lakini hajui afanyeje!
Wahanga wa ndoa za kikristo ni wengi sana! Wanandoa wengi wa kikristo wametengana hadi makazi lakini huwa wanafuatiliana ili kufumaniana! (FUMANIZI kwa mgongo wa cheti cha ndoa)
Ndoa zenye migogoro mkewe/mme wanaotengana makazi miezi sita, au mwaka au miaka miwili kila mtu yuko kivyake, lakini kwasababu wanamiliki vyeti vya ndoa hufuatiliana kufumaniana kwasababu HAKUNA TALAKA! (Ili kuprove wrong kwa jamii mmoja amchafue mwenzake)
wahanga wakubwa zaidi wa hili ni wanawake kwasababu ya ushahidi wa tumbo wanapopata wenza wapya na pengine kupata mimba huko!
Nitoe rai kwa serikali Ione umhimu wa kuboresha sheria za ndoa za kikristo kupeana talaka isiwe jambo gumu la kutoana uhai kama kesi za ardhi!
Serikali itambue haina dini, hivyo itengue na mambo ya iman yabaki kiimani, kama vyeti vya ndoa inatoa serikali basi iruhusu pia kutoa talaka kuliko ilivyo ngumu sasa.
Ilivyo sasa inahitaji watalaam sana kufuatilia talaka kwa Wakristo hususani kwa wanandoa wasiona uwezo/ueleewa na sheria.
Uneona eehNdo za kikristo ni mtego mwanamke anaweza kukufichia makucha yake had utakapo muoa ndo aanze kukudhihirishia tabia yake chafu kwakua anajua huwez kumuacha na dini hairuhusu kuachana had kifo kiwatenganishe Sasa kwanini kondoo wa bwana asiamue kumtanguliza mwenza wake kuzimu kwakua din imeshindwa kumsaidia kuachana kwa amani
Cheti cha ndoa anatoa nani kama si serikaliFYI serikali haijatunga sheria ya ndoa ya Kikristo, sheria ya ndoa yas Kikristo inatokana na Maandiko matakatifu na Kanisa. Serikali haizuii talaka wala mitala, wanaoingia kwenye ndoa ndio wanatakiwa ku-declare wanafunga ndoa ya namna gsani: Kiislamu, Kikristo au Kimila.
Vv
Cheti cha ndoa kina sehemu kinauliza aaina ya ndoa (Kimila, Kikristo, Kiislamu, Kiserikali) na wahusika wanajaza aina ya ndoa kutokana na hizo zilizoainishwa. Katika hizo aina, kila moja ina sheria zake na iwapo kuna mgogoro baina yao sheria ya ndoa ambayo wahusika waliijaza ndio itazingatiwa.Cheti cha ndoa anatoa nani kama Si serikali
Watu hawana Elimu ya sheria ya ndoa hata wewe mtoa mada hujui kitu kuhusu sheria ya ndoa, ndoa zote iwe imefungwa kikristo, kiuslam na kimila zinasimamiwa na sheria ya nchi ya ndoa hivyo sheria ya talaka pia hutolewa kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya nchi na sio ya kanisa.Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula!
ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji!
Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo!
Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza!
Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu rahisi wa kuachana (Talaka) kwenye ndoa za kikristo!
Hivyo imewafanya wakristo wanaofight divorce kuishi maisha hatarishi zaidi kutokana kwa wenza wao, mbali na migogoro mikubwa ya kupigana na kufumaniana pengine wengine hadi wanaletewa magonjwa kama ukimwi kwa kukosa namna ya kupata talaka
Mfano
Kuna scenario ya mama mmoja ambaye ameishi na Mme wake na kupata watoto watatu kwa kuvumilia, lakini uvumilivu umefika mwisho baada ya mmewake amekuwa ni wa kumpiga, matusi na kumdhalilisha, Mama huyo kariporti Mara kadhaa polisi lakini hajui afanyeje ili apate talaka kisheria!(divorce)
Pamoja na kipigo na masimango, malalamiko mengine ya yule mama ni mmewe kuwa na vimada wengi hadi na mabinti wa kazi ambayo yote kayavumilia lakini hili la kupigwa mme wake anaporudi kalewa limemshinda.
Hivyo kwa mateso ya mama yule, ni dhahiri yupo hatarini kufanya au kufanyiwa mauaji mda wowote!
Lakini kungekuwa na utaratibu mwepesi wa talaka wangeachana kwa Amani! Lakini hajui afanyeje!
Wahanga wa ndoa za kikristo ni wengi sana! Wanandoa wengi wa kikristo wametengana hadi makazi lakini huwa wanafuatiliana ili kufumaniana! (FUMANIZI kwa mgongo wa cheti cha ndoa)
Ndoa zenye migogoro mkewe/mme wanaotengana makazi miezi sita, au mwaka au miaka miwili kila mtu yuko kivyake, lakini kwasababu wanamiliki vyeti vya ndoa hufuatiliana kufumaniana kwasababu HAKUNA TALAKA! (Ili kuprove wrong kwa jamii mmoja amchafue mwenzake)
wahanga wakubwa zaidi wa hili ni wanawake kwasababu ya ushahidi wa tumbo wanapopata wenza wapya na pengine kupata mimba huko!
Nitoe rai kwa serikali Ione umhimu wa kuboresha sheria za ndoa za kikristo kupeana talaka isiwe jambo gumu la kutoana uhai kama kesi za ardhi!
Serikali itambue haina dini, hivyo itengue na mambo ya iman yabaki kiimani, kama vyeti vya ndoa inatoa serikali basi iruhusu pia kutoa talaka kuliko ilivyo ngumu sasa.
Ilivyo sasa inahitaji watalaam sana kufuatilia talaka kwa Wakristo hususani kwa wanandoa wasiona uwezo/ueleewa na sheria.
dmkali hii ni sababu ndoa za kikristo watu wanatangulizana. Ulichosema ni kweli lakini kama mtu hajui utaratibu wa kuvunja ndoa za kikristo atadhani unalalamika tu. Jiulize kwanini Ben Paul alibadilisha dini ilikukimbia ndoa."Hadi kifo kitutenganishe"
Mtu anaamua kumtanguliza mwenzie ili kutimiza maandiko.
Unakuta huyo ni Social worker au Hakimu kwenye kesi yako ya ndoa. Utajuta.Sasa namuelewa mtoa mada anayeomba serikali iingilie kati talaka iruhusiwe kwenye ndoa za kikristo. Mkuu hata nilichokiandika hapo ina maana hujakielewa? Soma tena, kama bado hujaelewa unijulishe nitafute namna rahisi ya kukuelewesha.
Mkuu kwani wewe ulisikia wapi kuwa ndoa ya kikeisto haina talaka?
Yah nimekuelewa, vijana wa sasa wanakurupuka sana, mwishowe anajivalisha mkenge unakuta anaingia kwenye ukoo wa wasio olewa alafu yakisha mkuta anaishia kulia na kusaga meno,turudi kama zamani tutumie mabalozi kupata wachumba wazuriMtu Kama uliolewa mwenyewe.kwa hiari yako na muuaji ulitarajia Nini?
Kuoa na kuolewa mtu anatakiwa ashirikishe Mungu
Sasa Kama ulikurupuka tu ukalipata uaji .Hilo chaguo lako unavuna ulichopanda
Cheti unachopewa cha ndoa ni cha serikali siyo dini.Serikali haiwezi kuingilia mambo ya kidini zaidi na kikatiba wananchi wamepewa uhuru wa kuchagua dini wazitakazo ikiweno kufunga ndoa katika dini wazipendazo.
HakikaCheti unachopewa cha ndoa ni cha serikali siyo dini.
Kimsingi Kuna utata mkubwa kwenye issue ya ndoa za kikristo. Naunga mkono kwamba dini za kikristo na serikali ziangalie upya Sheria hii.
Kwa vile ule ni mkataba, mmoja Kama hataki kuendelea na mkataba wa mahusiano uvunjwe kwa masharti rafiki.
Serikali inahusika nini na masuala ya ndoa ya kikristo?Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula!
ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji!
Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo!
Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza!
Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu rahisi wa kuachana (Talaka) kwenye ndoa za kikristo!
Hivyo imewafanya wakristo wanaofight divorce kuishi maisha hatarishi zaidi kutokana kwa wenza wao, mbali na migogoro mikubwa ya kupigana na kufumaniana pengine wengine hadi wanaletewa magonjwa kama ukimwi kwa kukosa namna ya kupata talaka
Mfano
Kuna scenario ya mama mmoja ambaye ameishi na Mme wake na kupata watoto watatu kwa kuvumilia, lakini uvumilivu umefika mwisho baada ya mmewake amekuwa ni wa kumpiga, matusi na kumdhalilisha, Mama huyo kariporti Mara kadhaa polisi lakini hajui afanyeje ili apate talaka kisheria!(divorce)
Pamoja na kipigo na masimango, malalamiko mengine ya yule mama ni mmewe kuwa na vimada wengi hadi na mabinti wa kazi ambayo yote kayavumilia lakini hili la kupigwa mme wake anaporudi kalewa limemshinda.
Hivyo kwa mateso ya mama yule, ni dhahiri yupo hatarini kufanya au kufanyiwa mauaji mda wowote!
Lakini kungekuwa na utaratibu mwepesi wa talaka wangeachana kwa Amani! Lakini hajui afanyeje!
Wahanga wa ndoa za kikristo ni wengi sana! Wanandoa wengi wa kikristo wametengana hadi makazi lakini huwa wanafuatiliana ili kufumaniana! (FUMANIZI kwa mgongo wa cheti cha ndoa)
Ndoa zenye migogoro mkewe/mme wanaotengana makazi miezi sita, au mwaka au miaka miwili kila mtu yuko kivyake, lakini kwasababu wanamiliki vyeti vya ndoa hufuatiliana kufumaniana kwasababu HAKUNA TALAKA! (Ili kuprove wrong kwa jamii mmoja amchafue mwenzake)
wahanga wakubwa zaidi wa hili ni wanawake kwasababu ya ushahidi wa tumbo wanapopata wenza wapya na pengine kupata mimba huko!
Nitoe rai kwa serikali Ione umhimu wa kuboresha sheria za ndoa za kikristo kupeana talaka isiwe jambo gumu la kutoana uhai kama kesi za ardhi!
Serikali itambue haina dini, hivyo itengue na mambo ya iman yabaki kiimani, kama vyeti vya ndoa inatoa serikali basi iruhusu pia kutoa talaka kuliko ilivyo ngumu sasa.
Ilivyo sasa inahitaji watalaam sana kufuatilia talaka kwa Wakristo hususani kwa wanandoa wasiona uwezo/ueleewa na sheria.
Serikali na mambo ya dini wapi na wapi kama hauelewi huko njo katika uislam unaweza kuoa Leo 4 kesho ukawaacha wote ukaoa wengineSerikali ilitazame hili kwa jicho la dharula!

Lakini cheti cha ndo kinachotolewa kanisani na kusainiwa na pande zote ni cha serikali. Basi irahisishe kwamba wao wabaki na dini zao lakini kiserikali ndo ivunjwe na cheti cha ndoa kilichotolewa na mfungisha ndoa kwa niaba ya serikali kifutwe na kirudishwe serikalini. Nao ndoa iwe imeisha kiserikali.Serikali haiwezi kuingilia mambo ya kidini zaidi na kikatiba wananchi wamepewa uhuru wa kuchagua dini wazitakazo ikiweno kufunga ndoa katika dini wazipendazo.
Wazo zuri sanaLakini cheti cha ndo kinachotolewa kanisani na kusainiwa na pande zote ni cha serikali. Basi irahisishe kwamba wao wabaki na dini zao lakini kiserikali ndo ivunjwe na cheti cha ndoa kilichotolewa na mfungisha ndoa kwa niaba ya serikali kifutwe na kirudishwe serikalini. Nao ndoa iwe imeisha kiserikali.