Babu Kingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 431
- 164
HAWA NI WAGENI WAMEKUJA KWETU. KARIBUNI SANA WAGENI.Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na Corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari yupo kwenye uangalizi, na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na Corona pi
China iliweza kuthibiti kusambaa zaidi kwa Corona kwa kuufunga mji wa Wuhan kuingilika na kutoka kwa watu.
Ndiyo maana hatusikii wachina kusambaza kwenye mataifa mengine tofauti na hao wapuuzi waliofuata raia wao Wuhan ili wanaonekane wanajali sana watu wao.
Hii ya jana lakini!
Hapana. Taarifa hii kutoka zenji ni ya jana!Inamaana PM Majaliwa kaongopa??
Tukifunga mipaka tutadhoofisha utaliiHivi kama Ghana,Cameroon na nchi nyingine wamefunga mipaka, sisi sijui tunasubiri nini.Yaani seriously kabisa tunaendelea kupokea wageni kutoka nchi zilizoathirika. Eti wanapimwa joto airports halafu wanaachwa wajichanganye na general population.
Nasikia kuna mtu amesema China ni nchi rafiki hatuwezi kuwazuia kuingia! As if viruses wanajua mambo ya urafiki wa binadamu.
Anyways Europe, US, Iran na Italy ni marafiki zetu pia! Lete maneno.
Mkuu kama nakuelewa,Tatizo la uelewa nchi hii limekuwa kubwa sana!
Umewafikia kutokea wapi? Si hao waliofuata raia wao Wuhan ndiyo wanasambaza.
Inaonekana hii ndio sababu, lakini ni counterproductive. Hivi nchi ikiwa na wagonjwa wengi, kuna watalii watakuja kweli? Tayari naambiwa watalii wengi wamecancel bookings, hawaji, wanasubiri hali itulie.Tukifunga mipaka tutadhoofisha utalii
ππππ
Kwenda zako huko na sura yako kama malapa ya tejaIkiwa mama yako analo na nimezaliwa naye mimi nani nisiwe nalo.
Hayo matani ya watoto imeonesha jinsi gani ulivyo kitoto.Kwenda zako huko na sura yako kama malapa ya teja
Mkuu pakaywatek nadhani katika mambo serious kama hili janga la CORONA tuache mzaha kabisa. Je Zanzibar ina waziri Kiongozi? Je Mh. Kassim Majaliwa si ni Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania (Including Zanzibar) ?. Mkuu tuache mzaha.
Ahsante
Naona kuna global panic.Huu ugonjwa umetukuzwa mno.
Ukisikia "UPEPO WA KISULISULI" ndio hii Corona sasa, dah. Huyo wa Dar ikisemekana alipanda kwa kugombania "MWENDO KASI", itakua kasheshe.
Kesho utasikia wamepatikana wagonjwa 5 wa kisulisuli, wawili Tandale, mmoja Mbagala, na wawili Manzese.
Funga kwanza milango yako ubaki ndani na familia yako tuone kama unao uwezo wa kumudu hata wiki moja. Kama ilivyo milango kwa nyumba yako ndivyo ilivyo mipaka kwa nchi. Huna dawa, huna kila kitu ndani unategemea kitoke nje then ufunge milango?Wanasubiri hadi iwe janga Tz ndio wafunge mipaka, kuna uzembe sana kwenye maamuzi dhidi ya hili janga kwa TZ.