GOD my watcher
JF-Expert Member
- Oct 9, 2019
- 298
- 271
Tamaa ya fyeza tu.... Bado wanakusanyakusanyaHivi jamani hawa viongozi wetu wanasubiri nini kupiga marufuku watu kuingia nchini?
Mbona was...nge sana hawa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamwangalie sana huyu Babu/Bibi vinginevyo Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki, Kati na Kusini kufungua chapter mpya ya Coronavirus manake hivi virusi vina chuki sana na vizee!! Yaani utadhani vinawaonea gere hawa wazee kwa kuendelea kudunda duniani wakati wameshazeeka! Wakati c wenyewe binadamu tunaona poa tu ku-compete Oxygen na hivi vizee lakini Corona wanaumia kweli kweli vikiona jamaa wanaunda tu!!... na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na Corona pia”
hawajui kuna biashara zetu zita dorora,Nchi ya Chad, ambayo bado haijapata mgonjwa au mshukiwa wa virusi vya Corona, imefunga mipaka yake yote na viwanja vya ndege ikiwa ni sehemu ya juhudi kuhakikisha virusi hivyo vinadhibitiwa.
NB:Idriss Deby ni raisi diktekta wa kweli sio wale uchwara..maana alipindua Chad toka 1990 mpaka leo raisi ...lakini anafunga mipaka ya nchi yake ili watu anaowaongoza wasife...Hapa kwetu viongozi hawana huruma na watu wanaowaongoza ...
Mapato kwenye afya.Tutapoteza mapato mzee
Dar ndio nchi ilipo.......Dodoma ni sehemu ya kuhifadhia nyaraka za serikaliHivi kumbe na ZNZ hamna maabara ya kupimia
Na idadi ya wanaougua corona bado,tuvute subira...uongo na ukweli haviwezi kukaa pamojaNilijua tu Dar haiwezi kukosa mgonjwa wa Corona ila muda wa kutangaza ulikuwa bado.
Ndege zilizozuiwa ni za ATCL tu zisiende China zikaongeza ugonjwa ambao tayari unapungua kwa kasi huko. Wachina ni rafiki zetu viongozi wetu wamesema hatuwezi kuwazuia wasiingie nchini ila wabongo wasiende China. Tunahitaji watalii kwa gharama yoyote!Huwezi kuona na hutawahi kuona Logic kwa vile wewe ni sehemu ya huu mfumo dhalimu ambao upo tayari kuweka rehani maisha ya Watz 50m + kwa kisingizio Cha Utalii...!
Hivi kwa kumbukumbu zako katika hatua alizotangaza Majaliwa ay Ummi umesikia ZUIO LOLOTE LA NDEGE ZA ABIRIA KUINGIA NA KUTOKA NJE YA TANZANIA? Hii ni hatua muhimu Sana lakini mazwazwa ya CCM yamekaa kimya....!!!
Mungu asimamie upande wetu na jinsi tulivyokuwa hohe hahe mwee familia ya watu sita vyumba viwili nyumba ina vyumba sita wakaaji 16 choo kimoja bafu moja nawaza mbali mwenzenu sijui tuanze kupungua mjini kurudi vijijini manake kule hakuna mbananoInaanzaga hivi hivi mwisho inafikia elfu 10.