Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Nasikia ukikiri nchi yako ina corona who wanaleta fungu la hela[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ndo maana now tunatangaza.
Sasa zenji wao wameona kuwa itaua utalii na ndip roho yao ndo maana wanakanusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia "UPEPO WA KISULISULI" ndio hii Corona sasa, dah. Huyo wa Dar ikisemekana alipanda kwa kugombania "MWENDO KASI", itakua kasheshe.

Kesho utasikia wamepatikana wagonjwa 5 wa kisulisuli, wawili Tandale, mmoja Mbagala, na wawili Manzese.
Eti ni kweli huyo wa Dar ni mtalii na alikuwa Masaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…