Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ugonjwa umetukuzwa mno.
Bado sana
we unatakaaje
Baada ya hapo mnanza kurekodi vifo mmoja mmoja sasaUbaya wa Corona, leo mkigundua 1, kesho 10, keshokutwa 439, mtondogoo 3290, mtondo 8439.
Unforgetable
Wanaanza kufa lini watu wa Lumumba?Nilijua tu Dar haiwezi kukosa mgonjwa wa Corona ila muda wa kutangaza ulikuwa bado.
Akili yangu haiishi kisiasa.Wanaanza kufa lini watu wa Lumumba?
Leo tar 18...
Samahani mkuu, kwani Aga Khan hawakutoa taarifa? Majuzi tu Regency pia walitoa.
Hatuheshimu proffesions za watu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ni maisha wewe.Akili yangu haiishi kisiasa.
Nimependa grammar ya huyo Fred tecnoChina plaza kariakoo kuna mchina inasemakan ana dalili za corona, amekuja kama wiki mbili zilizopitaView attachment 1391643
Ubaya wa Corona, leo mkigundua 1, kesho 10, keshokutwa 439, mtondogoo 3290, mtondo 8439.
Unforgetable
Eti ni kweli huyo wa Dar ni mtalii na alikuwa Masaki?Ukisikia "UPEPO WA KISULISULI" ndio hii Corona sasa, dah. Huyo wa Dar ikisemekana alipanda kwa kugombania "MWENDO KASI", itakua kasheshe.
Kesho utasikia wamepatikana wagonjwa 5 wa kisulisuli, wawili Tandale, mmoja Mbagala, na wawili Manzese.
Kwa hiyo utaona raha idadi ikiongezeka?Maana hautakuwa miongoni mwao?Then inafika 7854677 mwishowe 52,000,000
Hahaha Huyo Mungu ni mpuuziTunaweza tukawa na maswali magumu na mengi sana kama vile waliingiaje, na wakati wanaingia hawakupimwa? Maswali kama hayo kwa sasa hayawezi kuepusha hili. Atakayeweza kutuepusha na hili janga ni Mungu wa mbingu na nchi.