Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Hili gonjwa lilinitisha mwanzo wakati nafatilia kwa kina kipindi limeshika kasi huko uchina, saiv hofu imeisha siogopi tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hivyo vifo kidogo unaweza kuwa wewe. Mungu Tunusuru
Hii nchi ni shida sana, mwaka 2015 waliweza kununua magari ya washawasha 700 ili kusaidia ccm kuiba kura kwenye uchaguzi mkuuhivi kumbe na ZNZ hamna maabara ya kupimia
Hatari!China plaza kariakoo kuna mchina inasemakan ana dalili za corona, amekuja kama wiki mbili zilizopitaView attachment 1391643
Wao ndio wameleta samurai Dsm......wanakanusha nini?!
Mmeshachelewa,ilitakiwa mlijue hilo mapema. Tumepiga kelele sana mipaka na viwanja vifungwe. Ilijulikana tu tumeutafuta kwa nguvu kutoka kwa hawa wageni wanaoingiaHakimu Mfawidhi,
Kuna haja ya kufunga mipaka kwa muda!
PM Majaliwa katoa taarifa kulingana na majibu ya maabara....sasa wanapinga nini?!Kuletwa sampuli haimaanishi kwamba wagonjwa wameongezeka kwa kuwa vipimo ndivyo huzungumza - hata baadhi ya mikoa wapo suspects ambao wako Karantini, wanachukuliwa sampuli yet hatuwezi sema ni wagonjwa.
Hata hivyo sipingani na wengi wenu juu ya umuhimu wa kuchukuwa tahadhali kwa ugonjwa huu
Hii ya jana, tarehe 17/2/2020.
Unaweza kufunga milango ya nyumba usichangamane na wengine ukiwa kila kitu unategemea nje?Hakimu Mfawidhi,
Kuna haja ya kufunga mipaka kwa muda!
Ha ha!Kuna watu walisema Corona ilishaingia Bongo kitambo ila serikali ikagoma kutangaza... Bado natafakari kauli hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
PM Majaliwa katoa taarifa kulingana na majibu ya maabara....sasa wanapinga nini?!
Wanakanusha wakati Jana waziri wao wa afya wa Zanzibar alitangaza kuwepo watuhumiwa wawili na vipimo kupellekwa darso PM Majaliwa kadanganya uma wa watanzania???
Vipimo vililetwa Dsm bwashee!Wanakanusha wakati Jana waziri wao wa afya wa Zanzibar alitangaza kuwepo watuhumiwa wawili na vipimo kupelekwa Zanzibar
Ni kweli... Hakuna uzushiSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekanusha muda huu kuwa huo ni uzushi hakuna jambo kama hilo
Sent using Jamii Forums mobile app