Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Mgonjwa wa Sita atatangazwa punde

Huyu Mama apishe hii wizara haiwezi.

jamani tuseme ukweli kabisa. kuna wizara zingine zinahitaji wanaume shupavu miili ya binadamu ina limitation

Huyu mama hawezi kupambana peke yake ni dhaifu sana.

Tunataka waziri wa Afya mwingine. huyu apumzishwe.
 
mod hana cha kufanya kwa maana taarifa ya waziri wa Afya ni 6.

Huyu mwingine labda maluhani!
 
Hao Sita wametoka wapi wakati mpaka jana tuliambiwa wako watatu? Ukijumlisha watatu wa jana Na wa leo wawili inakuwa Sita? Au kuna mgonjwa hajawekwa wazi?

Hivi uliwahi kujua kwamba hakuna Serikali ya WAONGO,WABISHI na watu wenye PROPAGANDA za Hali ya Juu Kama CCM??
Never ever trust any CCM Statistics or info, they're purely propagandas to fool Tanzanians and the world at large.....!!!
 
Mzalendo2015,
Ulichokiandika sijaona kama kina logic Kwa sababu moja kumbuka hjii nnchi Kila waziri ana majukumu yake kumbe ulitaka kuona hatua zikichukuliwa huku wakionyesha na makamela?

Watanzania sijui mnakwama WAP , haya una uthibitisho gani kama hawajachukua hatua yoyote? Mnavunga mnaijua Serikari kuliko waliopo kwenye uongozi huo wa serikari
 
Unafunga mpaka wakati kila kitu unategemea kutoka nje. Umelifikiria Hilo kweli?
Kwa hiyo hao wanaoingia ndo wanatuletea vitu tunavyohitaji?

Unaweza kufanya uungwana ukatuambia hivyo vitu tunavyovihitaji kutoka huko nje kiasi Cha kutuzuia kufunga mipaka?

Hivi Uganda na Kenya wao hawategemei vitu vya nje eti?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
WHO wanasema takwimu za Africa hazileti picha halisi ya tatizo la Corona kwa sababu testing is not robust kama South Korea na Japan.

Sasa kuna tatizo lingine kwenye Banana Republics, kupika takwimu na siku hizi kuficha takwimu. Sasa huu ugonjwa unahitaji uwazi hasa, nakumbuka hata waziri wa afya wa Japan alisema uwazi kwenye kutoa taarifa kumewasaidia sana kupunguza maambukizi mapya.
 
Unafunga mpaka wakati kila kitu unategemea kutoka nje. Umelifikiria Hilo kweli?
Unaachia mipaka maambukizi yanaaongezeka ilihali hamna lolote mlilojiandaaa zaidi ya kushinda kwenye media na kudanganya umma ukizingatia nchi yenu maskini hadi katika fikra za viongozi. Umelifikiria hilo kweli?
 
Back
Top Bottom