Lyaule Kitundu
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 758
- 1,029
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgonjwa wa Sita atatangazwa punde
Waziri alituambia tusipanic sasa sijui yeye kafanyaje hapa na hii hesabu ya chekechea.
Unafunga mpaka wakati kila kitu unategemea kutoka nje. Umelifikiria Hilo kweli?Kati ya kitu serikali hawataki kusikia ni huu ushauri!
Hao Sita wametoka wapi wakati mpaka jana tuliambiwa wako watatu? Ukijumlisha watatu wa jana Na wa leo wawili inakuwa Sita? Au kuna mgonjwa hajawekwa wazi?
Unafunga mipaka wakati asilimia 90 ya mahitaji yanatoka nje. Sanitizer tu zimeagizwa kutoka nje siku ya Jana. Zitakujaje?Kwaiyo bado hawajafunga mipaka?
Kwa hiyo hao wanaoingia ndo wanatuletea vitu tunavyohitaji?Unafunga mpaka wakati kila kitu unategemea kutoka nje. Umelifikiria Hilo kweli?
OK, mie Arusha nilijua ni Isabella tu.
Unaachia mipaka maambukizi yanaaongezeka ilihali hamna lolote mlilojiandaaa zaidi ya kushinda kwenye media na kudanganya umma ukizingatia nchi yenu maskini hadi katika fikra za viongozi. Umelifikiria hilo kweli?Unafunga mpaka wakati kila kitu unategemea kutoka nje. Umelifikiria Hilo kweli?