Sawa ila wengi wanaenda wakijuwa wanaenda kufanya ukahaba, na hiyo $10,000, inalipika, na wao huenda kwa ridhaa zao.
Biashara hizi za utumwa, haziwezi kuisha kamwe, zipo tangu enzi, zinakua na kubadilika kimfumo kufuatana na jamii inavyobadilika.
Leo hii mcheza mpira ananunuliwa anauzwa, ili kutoa burudani, tunasema ni halali, huku maagent na mameneja wakivuta hela ndefu katika hiyo biashara. Jamii imehalalisha.
Ipo mifano mingi tu! Anayeamua kitu ni haramu ni beberu!
Everyday is Saturday.......................... 😎