Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Madhila humpata mtu popote hata akibakia ndani humpataSababu wanaenda kufanya uzinzi haina shida acha wapate stahiki zao, ila kama ingekuwa wameenda kwa ajili ya shughuli nyingine kama za kielimu na mfano wake, hapo ningeunga mkono hoja.
Lakini watoto wa kike kwani lazima kwenda kutafuta maisha nje ? Na huku kila siku wanaambiwa kuna madhila ya kila aina ?
Umewahi ona wapi njaa iliishinda pesaLipo genge la wahuni hapa Tanzania na huko waendako.
Ni network fulani hivi ya biashara. ,
Kuna Tatizo kubwa sana ktk airport na borders zetu. ,
Hili suala kingekwisha.
Mkuu ,,ngoja nikufumbuwe macho.Wengi tu msingi kiuno akirudi ana mtaji wa kutosha then ugeuka madalali na kuwachukua wengine kuwauza nje.
Kama huna asili ya ukahaba hata ukienda nje utakuwa vipi kahaba sasa,yaani ukose hata akili ya kuomba msaada wa mteja akusaidie?
Mtu mzima afanyapo Jambo huwa ameamua mwenyewe Kama ni watoto lipo la kuongeaMawakala kwa kutetea upuuzi hanjambo.
Nonsense.
Mbona wanauza tangia Bongo? Halafu sasa hivi wanawake wengi wanauza ila hawajarasmisha tu.Hivi kuna wanaoondoka Tanzania kwa kujua kuwa wanakwenda kuwa makahaba?
Tungekuwa na sera nzuri za ajira Hakuna angeenda nje,mbona madada wa kiarabu wao hawaji afrika kufanya kazi za ndani.Shida ni sisi tunawafanya watu wawe masikini kwa Kuuwa sekta binafsi.Sasa Kama ndani ni moto na njaa,na nje ni moto pia lakini unaingiza utachagua wapi.Mkuu ,,ngoja nikufumbuwe macho.
Kuna wadada na wanaume wapo ughaibuni.
Wao wapo tayari kuwagharamia kila kitu hao warembo.
Kwa matumaini ya kupata faida Mara dufu.
Mfano atamgharamia mwanamke dola 2000$.
hyo mrembo anapaswa arudishe 8000$ au 10000$.
Ndipo anakuwa huru..
-Akifika atapokonywa passport.
-- mwenyeji atawajulisha wateja wake kwamba kuna mzigo mpya umeingia.
Mara nyingi inchi za kiarabu mfano Oman watu wanakuwa na sehem zao maalum,,wanaume wanakuja na kuchaguwa amtakae na kuburudika,,huku malipo akipokea mwenyeji..
Bongo wapo mademu wa kichina wanauza mbunye, wapo mademu wa kiarabu wanauza mbunye, hii ni biashara haram kama cocaine tu, siku zote biashara haram ndio zinalipa faster.Tungekuwa na sera nzuri za ajira Hakuna angeenda nje,mbona madada wa kiarabu wao hawaji afrika kufanya kazi za ndani.Shida ni sisi tunawafanya watu wawe masikini kwa Kuuwa sekta binafsi.Sasa Kama ndani ni moto na njaa,na nje ni moto pia lakini unaingiza utachagua wapi.
Sawa ila wengi wanaenda wakijuwa wanaenda kufanya ukahaba, na hiyo $10,000, inalipika, na wao huenda kwa ridhaa zao.Mkuu ,,ngoja nikufumbuwe macho.
Kuna wadada na wanaume wapo ughaibuni.
Wao wapo tayari kuwagharamia kila kitu hao warembo.
Kwa matumaini ya kupata faida Mara dufu.
Mfano atamgharamia mwanamke dola 2000$.
hyo mrembo anapaswa arudishe 8000$ au 10000$.
Ndipo anakuwa huru..
-Akifika atapokonywa passport.
-- mwenyeji atawajulisha wateja wake kwamba kuna mzigo mpya umeingia.
Mara nyingi inchi za kiarabu mfano Oman watu wanakuwa na sehem zao maalum,,wanaume wanakuja na kuchaguwa amtakae na kuburudika,,huku malipo akipokea mwenyeji..
Mijamaha inaroho Mbaya Mpaka imemfanya TAL awe PungaKuna wadada walikwenda Arabuni na kufanikiwa kufanya kazi za utumishi wa ndani ma wamerudi katika nchi wakizotola wakiwa salama.
Ninadhani dhana muhimu ni kuwafahamisha wadada wanao kwenda huko kuhakikisha kuwa kila mkataba ni halali kisheria.
Kujiunga na mtandao wa telegram, ukianza kunyanyaswa post location ya mahali ulipo.
Waarabu sio watu wazuri dada zetu hawasikii, unaendaje nchi ya mbali bila kua na info zozote. Nawaonea huruma lakini imeandikwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Yaani hao Waturuki wana roho mbaya sana sana
Unakubali kuna uzembe ? Unakubali kuna kujitakia ? Sasa hapa naongelea madhila ya sababu hizo mbili, ndiyo maana nikaandika huko ya kuwa kama wapo wanaopata madhila kinyume na hao basi naunga mkono hoja ya kuwa serikali iingilie kati.Madhila humpata mtu popote hata akibakia ndani humpata
Kuna wadada walikwenda Arabuni na kufanikiwa kufanya kazi za utumishi wa ndani ma wamerudi katika nchi wakizotola wakiwa salama.
Ninadhani dhana muhimu ni kuwafahamisha wadada wanao kwenda huko kuhakikisha kuwa kila mkataba ni halali kisheria.
Kujiunga na mtandao wa telegram, ukianza kunyanyaswa post location ya mahali ulipo.
Kuna nchi za Kiarabu zisizotumia WhatsApp, Facebook wala Instagram.Well said, ila suala hapa ni: Akina dada wangapi wanajua kwamba kuna messaging apps aina ya telegram? ni wachache sana wengi wao app wanayoijua ni Whatsapp, basi.
Hivi mkuu mfano kuna mtu anasaka mashoga kuwauza ulaya,,Tungekuwa na sera nzuri za ajira Hakuna angeenda nje,mbona madada wa kiarabu wao hawaji afrika kufanya kazi za ndani.Shida ni sisi tunawafanya watu wawe masikini kwa Kuuwa sekta binafsi.Sasa Kama ndani ni moto na njaa,na nje ni moto pia lakini unaingiza utachagua wapi.
Sio kweli MKyUU,wapo warembo wengine wanapelekwa kama kutafuta maisha,,au kutembea.Sawa ila wengi wanaenda wakijuwa wanaenda kufanya ukahaba, na hiyo $10,000, inalipika, na wao huenda kwa ridhaa zao.
Biashara hizi za utumwa, haziwezi kuisha kamwe, zipo tangu enzi, zinakua na kubadilika kimfumo kufuatana na jamii inavyobadilika.
Leo hii mcheza mpira ananunuliwa anauzwa, ili kutoa burudani, tunasema ni halali, huku maagent na mameneja wakivuta hela ndefu katika hiyo biashara. Jamii imehalalisha.
Ipo mifano mingi tu! Anayeamua kitu ni haramu ni beberu!
Everyday is Saturday.......................... 😎
Hivi hata babu zetu kumbe walijitakia wenyewe kuuzwa?Mtu mzima afanyapo Jambo huwa ameamua mwenyewe Kama ni watoto lipo la kuongea
Hakika mkuu.Umewahi ona wapi njaa iliishinda pesa
Mkuu hakuna kitu kibaya kama kuchafuliwa utambulisho wako.Mbona wanauza tangia Bongo? Halafu sasa hivi wanawake wengi wanauza ila hawajarasmisha tu.
Nitumie na ya kutolea una wanaume sita tofauti wewe ni kahaba tu.