Serikali iingilie kati ukatili dhidi ya Watanzania waishio Uturuki na nchi za Kiarabu

Bongo wapo mademu wa kichina wanauza mbunye, wapo mademu wa kiarabu wanauza mbunye, hii ni biashara haram kama cocaine tu, siku zote biashara haram ndio zinalipa faster.
Kinachokataliwa hapa ni kushurutishwa,,

Hao wanaowaleta wanawake mfano waafrica,au wahindi,,hata wachina ni wa kukamata kabisa..

Human traffic is forbidden.
 
Tunatak maendeleo Kila kona lakn sio. Kila. Sehem unawez kwenda
 
Kuna dada namfahamu alikwenda uarabuni kufanya kazi za ndani,nilikuwa namuona akipost kama miaka miwili ya mwanzoni kwenye facebook,sasa hivi huu ni mwaka wa 4 hakuna post mpya sijui kama yuko salama...
 
Muarabu mweusi naona wamekugusa hadi Umetoka shimoni kutema chechee
 
Mi siwalaumu hao Waarabu/Waturuki/Wahindi na Wazungu. Nawalaumu hao mnao waita dada zetu, kina wawasha nini kwenda huko? Kwanini wasitulize misambwanda yao huku huku tujenge nchi yetu?
Naunga mkono hoja yako.
Dada zetu hawasikii kabisa hata ukiwashauri. Wao wanachowaza kutoka nje ya nchi, mengine yatajiset hukohuko wakifika. Matokeo yake wakisharipoti kwa human traffickers wanapokonywa passport na kuwa watumwa, mpaka wamalize mikataba yao ya kutumikishwa.
 
Muarabu mweusi naona wamekugusa hadi Umetoka shimoni kutema chechee
Hayo ni mawazo yako,mimi nimechangia mada,mkiitwa weusi na Mzungu mnasema racism ila wewe naona unapayuka tu kama vile akili zako umeziweka kwenye mfuko wa shati,

Mechi ya PSG na ile team ya Uturuki iliahirishwa kisa refa namba 3 alimuita jamaa wa team ya Uturuki black,wewe hapa unarudia lile lile! halafu una uhakika gani na my skin colour?

Ni aibu kuongelea mambo ya rangi ya ngozi au ukabila kwa Dunia ya leo,bado unaishi shimoni naona.
 
suala la mabint kupenda kwenda Arabuni mm napendekeza serikali isijishughulishe nalo kabisa sababu wanajitakia, kila siku matatizo ni nchi za kiarabu dhidi ya wadada wa tz na yanaripotiwa lakini bado wanaendelea kwenda kwa wingi,,,, wapambane na hali zao.
 
Sijui wapewe elimu gani hao madada
Maana wanalilia kwenda huko ila wakifika huko
Wanaanza kulialia kutaka msaada wa kurudishwa
Maana huko ni kuliwa tg mwanzo mwishooo

Ova
 
Hizi siyo stori mpya, ni hadithi zinazosemwa kila siku, kila mahali,
Mtu humjui hakujui hana uchungu na wewe unakubalije kwenda kutembea nae manchi ya watu??

Wachache sana 1 kati ya 200 ndiyo huwa hajui RISK halisi ya kwenda huko.

Wacha yawakute ndiyo wapate akili, na hakuna kulaumu serikali, serikali ikiwazuia kwenda tunalalamika wanatumia K zao binafsi kwa hiyari yao, kujiingizia kipato na kusaidia families. Yakiwakuta basi serikali iwapiganie!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mi siwalaumu hao Waarabu/Waturuki/Wahindi na Wazungu. Nawalaumu hao mnao waita dada zetu, kina wawasha nini kwenda huko? Kwanini wasitulize misambwanda yao huku huku tujenge nchi yetu?
Na mimi nashangaa unaenda nchi ya watu kufanya umalaya unategemea nini? hapa bongo walishawahi kuchapwa na kusombwa sasa lini jipya wanalofanya huko. Ukienda nchi ya watu fuata sheria zao kama wakija hapa wanatakiwa kufuata sheria. kuna suki sijui wa kabila gani wale wachina walikamatwa kuna mitaa walikuwa wanajiuza sasa hapa utawalaumu nini?
 
Nakubaliana nawe kabisa, nguvu za serikali zielekezwe tu kwenye elimu, huko mashuleni na mitaani, waelemishwe, wanaoenda waende tu kwa tamaa zao na shida zao na raha zao.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hivi hata babu zetu kumbe walijitakia wenyewe kuuzwa?
Kabisa tena ilitakiwa wachapwe kabisa viboko, mwafrika ndie aliyeshiriki kumuuza mwafrika mwenzake kwa mtu mweupe,inakuaje watu watoke bara Hadi pwani Makundi kwa Makundi waswagwe Kama ng'ombe na weupe wachache Hali wanapita vijijini tena vyema watu bila kutoa msaada.
 
Hata hapa mataifa yote yanauza hazina zao kwa wachaguzi wa ladha,hili ni tatizo la dunia.
 
Human trafficking ni janga la kidunia nchi zote ni waathirika.Thus ufanywa kwa Siri, muhimu waendao nje kwa ahadi zigeukazo uongo wapate elimu tambuzi.Kama wakiingia kwenye mitego wajinasue vipi hapa ni suala la elimu nn ufanye kupata msaada, msaada no 1 ni mawasiliano.
 
Unakubali kuna uzembe ? Unakubali kuna kujitakia ? Sasa hapa naongelea madhila ya sababu hizo mbili, ndiyo maana nikaandika huko ya kuwa kama wapo wanaopata madhila kinyume na hao basi naunga mkono hoja ya kuwa serikali iingilie kati.
Wenye mikataba sahihi ni nadra kupata madhara, serikali iingilie Kati kupunguza risk ya watu kutumia njia za panya kwenda huko.
 
Naanza kwa kuwaonea huruma. Wanakimbilia nn huko. Wanaume hapa wapo hata kama wanalipwa vijisenti wakubali kuliko mateso
 
ubaguzi wa kimakabila upo na ubaguzi wa rangi upo sana, labda ujivue akili tu ukatae , kisa mwarabu kasemwa...Huko Sudan, Misri, Tunisia japo ni 'waafrika' wenzetu ila wanambagumgua mtu mweusi ile mbaya, wewe unakuja kutetea
ubaguzi upo nchi zote na jamii zote lakini kuna baadhi ya nchi zinafanya juhudi kubwa kuondoa kabisa ubaguzi ila nchi nyingine ubaguzi ni kama sehemu ya utamaduni wao, na nchi hizo ni nchi za kiarabu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…