wote wanaojitambua wanaachaNina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli binafsi za kumuingizia kipato hana, ameamua aache kazi afanye ishu zake.
Swali la kujiuliza, ni kweli hawa wote wana tamaa na hawaridhiki na mshahara wao? Au ni kweli huko serikalini maslahi hamna na unatoil vya kutosha??
Ndiyo huyu dikteta anatupeleka hukoHalafu kazi Serikali zinaenda kwa Wahamiaji haramu, hii Nchi itakuja kuwa Koloni la Burundi
Halafu kila siku mnalalamika ajira hakunawote wanaojitambua wanaacha
Sio Mama tena?😂Ndiyo huyu dikteta anatupeleka huko
Msichielewa ni kwamba maslahi ya serikalini yanakuwa madogo kutokana na mindset tu. Siku zote mfanya kazi unapigia mahesabu pesa ambayo haujaishika mkononi ila unauhakika utaipata japo ni kwa muda mrefu, so unaipangia matumizi yote hata kwa miaka mitano inayo, so as time goes on inaanza kuchoka kusubiri na unaona walio mtaani wanaraha kuliko wewe.Waswahili wanasema utamu wa ngoma uingie ucheze kiukweli ukiwa nje ya ajira za serikalini unakuwa na shauku sana ya kuajiriwa ila ukiajiriwa ukafanya kazi hata miaka 2 tu unatamani uache kazi na ujiajiri kutokana na maslahi madogo Tanzania wanaofaidi nchi ni wanasiasa tu mkija kugundua mmechelewa
Wakiacha kazi ndio vizuri wawaachie wengine.Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini.
Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli binafsi za kumuingizia kipato hana, ameamua aache kazi afanye ishu zake.
Swali la kujiuliza, ni kweli hawa wote wana tamaa na hawaridhiki na mshahara wao? Au ni kweli huko serikalini maslahi hamna na unatoil vya kutosha??