Serikali ikiondoa unafiki na chuki bado Kagera inaweza kuchomoza, Chalamila unatakiwa kujua haya

Taasisi zote za kiserikali ambazo zipo mkoani Kilimanjaro zililetwa na wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro?
 
Vita ya Kagera ilitokea Kilimsnjaro?unajua ushawishi wa Hawa watu,Cleopa Msuya,Sumaye,na gavana wa kwanza wa BOT?
Unamjua Sir George Kahama,mapinduzi aliyotaka kufanya Kagera,Nyerere na ccm yake wakaogopa wakayazima kabisa!!
Umaskini wa Kagera,unaletwa na Siasa mbovu za ccm kuingilia soko na uuzaji wa zao la kahawa!
Umaskini ulioletwa Kagera,ndio aliofanya Shetani JPM kule kusini kwenye zao la korosho
 

Kila siku historia lakini mnashika mkia kimaendeleo. Muache tabia ya ulalamishi na kufanya maendeleo
 
Umejadili uhalisia kwa utaalamu kabisa. Hawa wengine wanarukaruka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…