BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
🤣🤣🤣 huo ndiyo ukweli mkuuSasa wew unachuki na wahaya huna hoja...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 huo ndiyo ukweli mkuuSasa wew unachuki na wahaya huna hoja...
Ego na ubishi wa kuamini tunajua kila kitu. Unamchukua mtoto wa mjomba au shangazi yako kutoka nyumbani kabisa, akifika Dar anakuwa wa kwanza kukuhujumu hapo nyumbani.Tatizo lenu ni ego ! Yaani kila kitu unalaumu serikali.
Kilimanjaro imehujumiwa sana kuliko Kagera, iko mpakani kama Kagera, wana Kahawa kama Kagera tena Kagera wana Ardhi nzuri na kubwa zaidi, wasomi kama Kagera. Sasa tofauti iko wapi ? Ni utamaduni pamoja na kwamba kuna wasomi wengi Kilimanjaro wananchi wa Kilimanjaro wana wathamini zaidi wafanyabiashara kuliko wasomi. Pili Kilimanjaro kuna utamaduni wa harambee za shule, makanisa, na hata barabara za mitaani. Tatu watu wa Kilimanjaro wana wekeza nyumbani kwao na ku lobby ili wapate pesa za maendeleo. Nne Kilimanjaro wamewawezesha wanawake kwenye maendeleo kuanzia biashara hadi kilimo.
Hakuna hujuma mpaka makatibu wa CCM walitoka huko🤔 badala ya kulalamika jiangalieni wenyewe
Huwezi kujiona mpaka uambiwe ndiyo maana tulifuta uchifuuUkiona mtu anazungumzia Umalaya,mashoga, na uvivu kwamba ni sifa ya mkoa flan ndani ya tz, jua
1.akili yake kaifungia kwenye sanduku, alipo anatembea yeye tu,.
Hakuna mkoa haya Mambo hayapo
Kaliwe mbele hamna unachojua mpumbavu kabisaWe ni mpuuzi sio kawaida yangu jibiza na wapuuzi,unamtisha nani umekaa Mikoa mingi na kuja na matusi hapa mwanaharam mkubwa, Kama ni laana zako za ukoo kaa nazo huko,binfsi sio mtu wa matusi
We unahitaji kwenda kusoma kwa vile mshamba sana wa magorofa kaangalie kilimanjaro magofu kibao ila wananchi wake Wana kipato kizuri na ni WA pili kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja..
Umaskini upi? Life la Tanga lipo chini ambayo watu wanaaffoid ndo maana wanaita Tanga raha kwa mshahara wa laki na nusu unaishi.. unachoshindwa kuelewa hujitambui nn unaongea unasema bodaboda na baiskeli ndo uwezo wao huo ulifikia kaangalie na mkoa Kuna watu hWana hata chakula kabisa
Kule chakula sio shida nenda handeni ukaone mahindi ,vitu Bei chee umekariri kupiga picha kweny magorofa punguza ushamba umaskini haupimwi kiivyo nenda Kilimanjaro hakuna magorofa kaangalie standard ya Maisha ya watu ipo juu kwa mmoja mmoja
Huwezi nidanganya Tanga hata Ukitaja mikoa 20 maskini haipo! Kwa takwimu nnilizo nazo huwezi kuacha shinyanyaz lindi, kagera, mara,mtwara,katavi,singida,tabora,manyara,singida, mwanza,simiyu eti uje kutaja Tanga kuwa na akili timam
Wewe jamaa Shamba Sana alikwambia Kama mtu mmoja kipato chake sh 300 KWA siku na mwingine 500 KWA siku basi Hawa wote sio maskini ni nani,? Mnakuja na vipeperushi vya kuokoteza hapa ,Kaliwe mbele hamna unachojua mpumbavu kabisa
Kasome hyo report hujui kitu unajua umaskini nenda longido ukaone umaskin usidanganywe na magorofa investment za watu wa juu kabisa wachache
Fafanua mkuuujanja ni kuwa na akili ya utafutaji nje ya mfumo
🤣🤣🤣Acha mkwara tafuta wajinga wenzio ndo uwadanganye sio mbele yangu...kama hujielewi lazima ukumbushwe sio unaropoka Kuna watu kibao tafuta wenzio kuwadangany watuw anafanya research Kuna sehemu watu wanaoga mpaka mkojo wa ng'ombe ndo maisha yao unaongea ebu tembea uone uache kukaririWewe jamaa Shamba Sana alikwambia Kama mtu mmoja kipato chake sh 300 KWA siku na mwingine 500 KWA siku basi Hawa wote sio maskini ni nani,? Mnakuja na vipeperushi vya kuokoteza hapa ,
Hiyo ni Mikoa kiwango Cha umaskini akiwezi lingana ila Mikoa maskini ,
Alafu jitu linakuja na matusi alafu eti nimekaa Mikoa kibao,
Sasa nakuonya binafsi sio mtu wa matusi ,Sasa hutaki endelea na matusi upate haki yako live pitia hapa jf , wenda ipo laana ya ukoo inakutafuna , ni swala la kuiongezea
Kazi ya kwanza ya Serikali& viongozi wake ni kuwaletea wananchi Maendeleo . Na Hilo ndo Huwa wanaliombea kura! Huo ndio MKATABA WA SERIKALI NA WATU WAKE, SIO MKATABA WA WASOMI NA WATU. WASOMI wanaweza kushirikiana na Serikali ila HAWAWIWI kwa mjibu wa uongozi. Wanasiasa watata sana. Wanafanya agenda ya wasomi kumbe sio. SERIKALI itimize wajibu wake kwa wananchi wake na KUWAOMBA WASOMI kusaidia kwa Kisomo Chao.Kwa hiyo nyie wananchi wa Kagera mnajadili miaka Sita wapi mjenge soko na stand?
Mko very serious aisee
Amekurupuka na hana upeo. Kinana ndio kaongea ukweli chalamila jifunze kwa KinanaChalamila kawaambia ukweli mtupu.
Unatokea huko mkuu?Amekurupuka na hana upeo. Kinana ndio kaongea ukweli chalamila jifunze kwa Kinana
Yote uliyoandika, la maana ni hilo hasa ambalo hao wa kagera hawanaTatizo lenu ni ego ! Yaani kila kitu unalaumu serikali.
Kilimanjaro imehujumiwa sana kuliko Kagera, iko mpakani kama Kagera, wana Kahawa kama Kagera tena Kagera wana Ardhi nzuri na kubwa zaidi, wasomi kama Kagera. Sasa tofauti iko wapi ? Ni utamaduni pamoja na kwamba kuna wasomi wengi Kilimanjaro wananchi wa Kilimanjaro wana wathamini zaidi wafanyabiashara kuliko wasomi. Pili Kilimanjaro kuna utamaduni wa harambee za shule, makanisa, na hata barabara za mitaani. Tatu watu wa Kilimanjaro wana wekeza nyumbani kwao na ku lobby ili wapate pesa za maendeleo. Nne Kilimanjaro wamewawezesha wanawake kwenye maendeleo kuanzia biashara hadi kilimo.
Hakuna hujuma mpaka makatibu wa CCM walitoka huko🤔 badala ya kulalamika jiangalieni wenyewe
Basi endeleeni na vingereza vyenu na sifa za kijinga. Chalamila kawashauri mfanye kazi, nyie mnatokwa na povu!Ni imani yangu Mikoa mingi inapata viongozi ambao wao ubunifu, burasa katika kutatua kero nyepesi upo chini,
Siku moja nikashangaa katika Mapato eti Dodoma jiji ikawa juu ya Mwanza,!!
Leo Kagera, Ruvuma, Tanga , Tabora, kigoma ,KWA nini ziwe maskini? alafu unalaam Elim za watu,
Chalamila wakati anafundisha moja ya chuo hapo IRINGA, alikua anafundisha kwa KIBENA? maana vingereza hataki, na ni kwanini watoto wake awapeleke kwenye shule za kulipa, lengo siwajue vingereza
Kagera Kama ilivyo Mikoa mingine, vipo vyanzo vingi vya kuongeza mzunguko na Mkoa ukapaa ni swala la kuwa na viongozi wabunifu,
Fainal hata mfanyeje serikali ndo Ina uwezo kufanya mkoa fulani uwe juuu kwa vile kibongo hatuna matajiri wakubwa wakasimama kuwezesha mikoa, mfano kanda ya ziwa mwanza iwezeshwa kaskazini Arusha na pwani ni dar ,hyo ni plan ya serikali na sasa wanawezesha Dodoma ambapo mnadai wakazi wake ni omba omba ila mtakuja kuona maendeleo mpaka mshangae ..
Ujinga unabaki vichwani kwamba kagera hawaendelei ila wahaya Wana manyumba ya kifaharu sio kosa lao ni mpango wa serikali ... wajinga wengi mmekariri eti uchapa kazi sijui wengin wavivu maendeleo sio kiivyo ndo maana mnakufa maskini eti uchapakazii !!Hkuna sehemu iliyoendelea bila ya sapot ya serikali kama unabisha niambie ukitaka kujua maendeleo y watu binafsi angalia ubora wa makazi na per Capital income kama Kilimanjaro hapo ndo utajua kwamba wanafight hata kagera pia, ila kwa image ya mji mzima na mkoa ni juu ya serikali.
Changamoto zifuatazo, zinafanya Kagera tuwe nyuma. Tuache visingizio.Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla.
Huo ndio ukasuku na unafiki wa watawala wetu ambao tumezoea kwa miaka mingi sasa. Watawala wanajifanya kama hawajui chanzo halisi cha kile wanachokiita umasikini uliokithiri mkoani humo. Bila tafakuri yoyote ya "tafiti" zinazodaiwa kufanywa na Serikali, wanakuja tu na porojo za jumlajumla kuhusu "umasikini" huo. Tafiti hizo za kimangumashi hazielezei chanzo cha tatizo la mkoa wa Kagera.
Haziangalii matokeo ya vita vya Kagera na uharibifu wa usalama na miundombinu uliosababishwa na ugomvi wa Serikali na Iddi Amin. Kwamba shughuli za uzalishaji na kiuchumi zilikufa kabisa kutokana na vita hiyo.
Hawaoni kwamba serikali ilikosea (kwa makusudi) kutotangazwa kwa hali ya hatari mkoani humo, kwa maana ya kujenga miundombinu upya na kuwasaidia wanakagera kurudia maisha yao ya kabla ya vita. Hawasemi Serikali ilifunga mpaka na Uganda, hivyo kusitisha shughuli zote za kiuchumi, ambapo soko kuu la mkoa wa Kagera lilikuwa Uganda. Baada ya vita Ukimwi uliotokea Uganda ulimaliza nguvukazi kubwa ya mkoa huo kwa kupuputisha maisha ya maelfu ya nguvukazi wa Kagera.
Wanajifanya hawajui kwamba MV. Bukoba ilizama na kuua mamia ya watu, wengi wao wakiwa Wanakagera. Hapohapo, MV. Victoria "iliharibika" na kufanya Wanakagera kukosa kabisa usafiri wa kuwaunganisha na nchi yao, huku mazao yao ya kiuchumi yakishindwa kusafirishwa kwenda kwenye masoko makubwa ya kibiashara ya hapa nchini kama Mwanza na Dar es Salaam. Serikali haikuona umuhimu wa kuwapa Wanakagera vyombo vingine vya usafiri ili wajimudu kiuchumi.
Ndipo pia ulipoingia "Ugonjwa wa Mnyauko" wa migomba uliopigilia msumari wa mateso na umasikini wa wanakagera. Yapata sasa zaidi ya miaka 15. Je, Serikali ilichukua hatua gani kuwasaidia wakulima wa kilimo cha migomba mkoani Kagera? Hakuna! Wakati huohuo Wanakagera walikatazwa kuuza kahawa yao nchini Uganda ambako walikuwa wanapata bei nzuri kulingana na gharama za uzalishaji. Waliopatikana na uvushaji wa zao hilo waliadhibiwa, ikiwemo vifungo au kufilisiwa, huko kahawa ikilimbikiziwa "tozo" lukuki bila kutilia maanani gharama za wakulima za uzalishaji.
Hiyo ni mifano michache tu ya hujuma ya serikali dhidi ya mkoa wa Kagera kwa miongo mingi sasa. Matokeo yake ni nini, Wananchi wa mkoa wa wa Kagera waliona serikali ilikuwa haiwataki, haiwapendi. Wakasema isiwe taabu, wakaamua kuhamia mikoa nyingine nchini na kuwekeza huko. Je, serikali inajifanya haioni uwekezaji wao mkubwa na uliotukuka katika mikoa mingine nchini, ikiwemo Dar Es Salaam, Mwanza, Arusha na kwingineko?
Serikali imekuwa ikipiga kelele nyingi eti wahaya wameshindwa kujenga soko na kituo cha mabasi mjini Bukoba, ikijifanya haijui kwamba jukumu hilo ni lake na vyombo vyake, ikiwemo TAMISEMI. Kwani vituo vya mabasi na masoko ya Dodoma, Morogoro, Dar Es Salaam, Mwanza na kwingineko vimejengwa na nani kama sio Serikali? Nimalizie kwa kuishauri Serikali kwamba iwekeze mkoani Kagera kama ambavyo imekuwa ikiwekeza sehemu nyingine nchini.
Ikiwekeza Kagera, kama ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kufanya kwa kujenga kitengo cha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM), mkoani humo, basi itarajie kwamba maprofesa na PhD holders kutoka mkoani Kagera watarudi nyumbani kufaidi fursa za uwekezaji wa serikali. Ni matumaini ya wengi mkoani Kagera kwamba Mkuu mpya wa mkoa wa Kagera, Mhe. Chalamila ataelewa chanzo cha "umasikini wa mkoa wa Kagera."
Mkuu tatizo mnadanganywa na tafiti za Twaweza, wenda mnazungumzia tu kipi kinapatikana kule katika changia kwenye mfuko wa serikali kuu, kisa hivyo viwanda vichache vinavyofanya kazi
Maana vingi ni maghofu,
Pili utazungumzia labda kilimo Cha mkonge ambacho nacho kinasuasua, mashamba yale yaliyokua yakiajili watu wengi mengi yamebaki Kama sanam,ila wachache pitia hatimiliki walishachukulia mamikopo wanakula KWA urefu wa kamba zao,
Utazungumzia kilimo Cha machungwa, ambapo wengi wenye mashamba pale sio wazawa ni Wakinga, wazawa walisha uza
Bandari pia utaizungumzia lakin je imeajiri watu wanagapi?
Pale katika uchumi kwa mwananchi mmoja mmoja ni wakimaskini wa kutupa,ndo maana linaitwa jiji ila bodaboda za baiskeli ni Kama zote,
Sasa niambie nyie kipimo Cha umaskini katika mkoa mnaangalia kile mkoa inachangia katika mfuko wa serikali kuu au pato kwa mwananchi mmojammoja