DOKEZO Serikali imchunguze Mwalimu huyu wa Shule ya Mandimu (Singida), matendo yake ni tishio kwa Wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kiukweli walimu wanahitaji ushauri wa kisaikolojia maana inaonekana wana shida kubwa vichwani mwao hivyo wanaamini kumalizia stress zao kwa watoto kutapunguza changamoto walizonazo.

Wapo baadhi ya walimu wanaojitambua walishaapa hawatahangaika kuchapa mtoto wa mtu maana ikitokea bahati mbaya mtoto akadhurika basi kibarua chake kinaishia hapo hapo na jela inamchungulia.

Hivi walimu hawawezi kufanya kazi yao ya ualimu ambayo jukumu la kwanza ni kufundisha wakaachana na stress za kuadhibu watoto hovyo?

Sema walimu ni sikio la kufa kila siku wanapatwa na majanga kutokana na adhabu kwa watoto lakini hawajifunzi tu.
 
Hapo kijijini pana uongozi, mwenyekiti na mtendaji, pale shule pana mkuu wa shule.. Ulienda kuwaona Ili upate picha ya upande wa pili. Hizo ni stori za kijiweni
 
Nakubaliana nawewe no iwekwe hapa Haina haja ya pm tumshughulikie tu ataelewa
 
Nakubaliana nawewe no iwekwe hapa Haina haja ya pm tumshughulikie tu ataelewa
Sahihi kabisa. Kufikia muda huu namba haijawekwa kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ili tuanze kuchukua hatua za awali za kukomesha tabia hii mbaya ya baadhi ya walimu wasio na maadili ya kazi yao.

Tukikaa kimya kusubiri matukio ya vifo na ulemavu kwa watoto kutokana na vipigo vya kipumbavu kutoka kwa walimu vilaz,a haitasaidia kitu.

Prevention is better than cure. Huu usemi umebeba ujumbe muhimu sana.
 
Wewe kama premacy wa wanakijiji ulipaswa kuchukua hatua ya kumuona frenk umuulize kuhusu hizo tuhuma kisha upate uhakika.
Kuja hapa jukwaani kulalamika pasipo kumuona mhusika ni uoga na uongo.
Acha frank afundishe watoto wenu.
 
Kwenye kifo mbali sana mkuu. Ile hali ya mtoto kuacha masomo kwa sababu ya kipigo hii kifo tyr
Haiwezekani watoto waache shule kwa sababu ya kilaza mmoja asijua taaluma. NO Iwekwe hapa apigiwe simu
asbh mchana usiku,usiku wa manane na alfajiri.
 
Wewe kama premacy wa wanakijiji ulipaswa kuchukua hatua ya kumuona frenk umuulize kuhusu hizo tuhuma kisha upate uhakika.
Kuja hapa jukwaani kulalamika pasipo kumuona mhusika ni uoga na uongo.
Acha frank afundishe watoto wenu.
uko sawa mkuu ila hii ..........
Acha frank afundishe watoto wenu.
haikubariki kwa namna alivyo repot kama nikweli
 
Walimu wa aina hii wana mchango mkubwa sana katika Taifa hili, wawe wengi haswa shule za vijijini.
 
Kwenye kifo mbali sana mkuu. Ile hali ya mtoto kuacha masomo kwa sababu ya kipigo hii kifo tyr
Haiwezekani watoto waache shule kwa sababu ya kilaza mmoja asijua taaluma. NO Iwekwe hapa apigiwe simu
asbh mchana usiku,usiku wa manane na alfajiri.
Nafurahi kuona mwamko mzuri wa members wenzangu kuhusu haki za watoto.

Mtoto asipolindwa atafanyiwa ukatili wa kila aina na mtoto kubaki mnyonge huku akiona dunia chungu na kujiona hana mtetezi hivyo kupelekea mtoto kuwa mpweke.

Tuungane kwa pamoja kuwalinda watoto wetu dhidi ya ufedhuli wa wapumbavu wachache wasiojua maadili ya taaluma zao.

Shukrani sana mkuu kwa kuonesha uzalendo kwa watoto wetu.
 
Habari za Mwalimu Mkuu wa Mandimu Frank Boniphace Kalani zinasikitisha sana. Huyu jamaa ht ukiangalia profile fb ameweka picha ya mtoto kabebeshwa tofali inaonesha uhalisia wake. Serikali isilale...mkuu wa wilaya Ikungi, Thomas Apson na mkurugenzi Justice Kijazi tunaomba msimuache huyu mwalimu
 

Attachments

  • Screenshot_20241027_161212_Samsung Internet.jpg
    234.7 KB · Views: 4
Ni Stress sijui baadhi ya walimu wanayo..Kwanini umpe mtoto wa mtu mwingine kipigo kikali ??Ukiona ni mkorofi ameshindikana achana naye

Kujitafutia matatizo bure,mara umeua unajitafutia matatizo bure.
Naonewa tu kaka hakuna lenye ukweli Kuna mwalimu anapanga kunichafua tu na aliwaandaa Hawa watu wakanunulia mpaka miwa watu wale ili awahoji
Nimewaita katika kikao cha kamati ya shule wakasema wao hawakuhojiwa hivyo japo anasema alihoji vijana si ukweli aliwahoji wa mama
Kikubwa kazi naipenda siwe kurudi nyuma na siogopi uchunguzi I'm very hopeful sijafanya hivyo
 
Kaka sijafanya kitu kama hicho ni hivyo wenye nguvu wameamua kunichafua lakini naimani wananiimarisha
 
Afadhari ndugu yangu natuhumiwa kwa interest ya mtu mvivu kazini na ndiye alietengeneza haya
 
Mtoa mada ana aleji na walimu sijui tumemfanya nini?
Usikute ni wale form six au graduates majobless
 
Nataka kumleta mtoto wangu shule hiyo akae miezi miwili tu ili nidili na huyo ticha vizuri
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…