DOKEZO Serikali imchunguze Mwalimu huyu wa Shule ya Mandimu (Singida), matendo yake ni tishio kwa Wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe kama premacy wa wanakijiji ulipaswa kuchukua hatua ya kumuona frenk umuulize kuhusu hizo tuhuma kisha upate uhakika.
Kuja hapa jukwaani kulalamika pasipo kumuona mhusika ni uoga na uongo.
Acha frank afundishe watoto wenu.
Nitetee ndugu yangu
Kosa ni kufundisha kwa kujituma na mwaka huu Kuna wastani wa 197+B na 100%
 
0764884896 ni mimi Frank niko tayari kukusikiliza
Karibu sana Mandimu na karibu kwa mahojiano nitajibu tuhuma zangu zinazo nikabili
 
Wewe kama premacy wa wanakijiji ulipaswa kuchukua hatua ya kumuona frenk umuulize kuhusu hizo tuhuma kisha upate uhakika.
Kuja hapa jukwaani kulalamika pasipo kumuona mhusika ni uoga na uongo.
Acha frank afundishe watoto wenu.
Afadhari kaka na kafika kuongea na Akina mama si vijana na walimwambia aje shule hakutaka kuja shuleni akidai njia inamchanga
Kapangwa kunivurugia kazi na mwalimu mmoja mzembe sana kazini ndo kwanza hawezi nirudisha nyuma rejea matokeo ya mandimu s.m kwa mwaka huu utaona Kuna kitu si sahihi
 
Kafika kijijini kahoji kingine kaandika kingine Kuna kitu hakipo Sawa Kuna mtu yuko nyuma ya hili jambo
Kahoji Akina mama tena baada ya kuwanunulia miwa kariport vijana
Kahoji jamii na kuhukumu bila kumhoji mwalimu ili hali
So kila linalo tolewa na watu wa mtandao ni sahihi alitakiwa afike shuleni baada ya mahojiano na aliowanunulia miwa
Pili alichohoji si kile alichoandika inanipa mashaka na taaluma yake au Kuna mtu kampanga ili kuivuruga shule ambayo imeanza kuwa tishio kitaaluma japo haina umeme wala maji
Ushauri usihukumu kwa jambo usilolijua ama ukasikiliza kesi ya upande mmoja
Kama anaweza aje ofisini kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 12:30 jioni ajionee kazi inabyopigwa shuleni alafu atapata Malibu
 
Kapangwa huyu maana tarehe 13.11.2024 niliitisha kikao cha dharula cha kamati ya shule walichokisema aliowahoji si kile alichokiandika na katika muhtasari wangu wamesaini tena kwa dole gumba mbele ya kamati
Acha aendelee kuniimarisha
 
Kwenye kifo mbali sana mkuu. Ile hali ya mtoto kuacha masomo kwa sababu ya kipigo hii kifo tyr
Haiwezekani watoto waache shule kwa sababu ya kilaza mmoja asijua taaluma. NO Iwekwe hapa apigiwe simu
asbh mchana usiku,usiku wa manane na alfajiri.
0764884896 FRANK KALANI BONIPHACE
NAINGOJA SIMU YAKO MUDA WOWOTE
NIKO TAYARI KUJIBU RUMORS HIYO
 
0764 884 896 MIMI MWL MKUU MANDIMU
FRANK KALANI BONIPHACE
 
Story nzima imebase kwenye concept ya nilisikia , ulitakiwa ukamhoji kabla ya kuandika hapa ili usikie upande wa pili
 
Mwalimu Frank anatakiwa kuzidhibiti stress zake za maisha, na pia anatakiwa kuachana na hizo sifa zake za kijinga.
Sioni kama ana sababu ya msingi ya kutaka kuharibu kazi, kwa mambo ya kipuuzi kama hayo.
Alieandikwa Kapangwa na mwl mzembe kazini
 
Alieandikwa Kapangwa na mwl mzembe kazini
Safi sana mwalimu. Ila kupitia hizi shutuma, huna budi sasa kuchukua tahadhari mapema ili kuepukana na majungu.

Kiufupi Walimu wa shule za kata mnapitia majaribu mengi sana. Maana mnatakiwa kufaulisha watoto walioshindikana na wenye uwezo mdogo! Na wakati huo huo mkitumia njia mbalimbali za kuwanyoosha, mnaingia tena kwenye 18 za hawa wazushi wanaojifanya ni watetezi wa haki za binadamu.
 
Una asili ya umbea, umeenda kutafuta mashamba ukapata mafamba ya vijiweni tayari uzi hata kabla ya kuhoji vizuri.
 
Hi
Ungepata email au namba ya simu ya afisa elimu msingi au mkurugenzi wa Ikungi ingesaidia kuliko humu ndani ambapo wazazi pekee wanaweza kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…