Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

Kizimkazi Effect.
 
Serikali ya Kikwete haikukumbatia kabisa mambo ya Udini

Katika hili JK apewe maua yake
Tangu Uhuru, ulijengwa msingi wa kitaifa kwmba taifa na serikali haina dini Ila wananchi wana dini zao.
Changamoto ni kwamba watu wenye uoni mfupi wana nafasi za maamuzi katika taasisi za uma na siasa.
Matokeo ya watu wasioona mbali kupata nafasi za maamuzi yanayohusu uma, ni kubomoa misingi ya utaifa.
 
Umenena jambo zito mkuu.
Huwa kuna viongozi wako uchi, tatizo hawajijui kuwa wako uchi, na wasaidizi waliokaribu wanaogopa kuwaambia wako uchi.
 
Swala linaloongelewa ni kuchanganya Serkali na Imani za kidini mkuu inapswa Vingine Uvielewe..
Hupaswi kukaza Shingo..

Serkali haipaswi Kuongeza nguvu katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
 
Tukianzisha Udini soon Tutaanza kupigana sisi kwa sisi na Vita lazma iongezeke..
Tunakukumbuka NYERERE
 
JAMANI WATANZANIA, JAPO DINI HULETA USTAARABU, LAKINI TUSIIFUNGAMANISHE NA SUALA LA ELIMU YA KIUTAALAMU, TUMEKOSEA, TENA TUMEKOSEA SANA, TUSAHIHISHE HILI.
 
Tukianzisha Udini soon Tutaanza kupigana sisi kwa sisi na Vita lazma iongezeke..
Tunakukumbuka NYERERE
Ni fikra za wajinga wachache wanataka kutuletea shida.
Watanzania wa dini zote wameunganishwa na sera za serikali kukosa dini.
Waislamu kwa wakristo wanaoana, wanazaa na ushirikiano wa kila aina.
 
sirikALi haina DiNi bAli WaTu waKe wAnAdiNi............................................................
 
Swala linaloongelewa ni kuchanganya Serkali na Imani za kidini mkuu inapswa Vingine Uvielewe..
Hupaswi kukaza Shingo..

Serkali haipaswi Kuongeza nguvu katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
View attachment 2940739
Na
Swala linaloongelewa ni kuchanganya Serkali na Imani za kidini mkuu inapswa Vingine Uvielewe..
Hupaswi kukaza Shingo..

Serkali haipaswi Kuongeza nguvu katika Kueneza Dini kwa Njia yoyote ile Ni kinyume cha Katiba..
View attachment 2940739
Nafikir hapa ww, na waleta threat ndio hamuelewi. Upeo wenu ni mdogo sana wa kuelewa. Mleta thread, hoja yake, anasema kwa kuruhusu islamic knowledge na divinity kwenye Combination, ni kueneza dini. Huo ni uelewa mdogo na ufinyu wa mawazo.Kwanza huyu mbumbu lazima haelewe kuwa masomo hayo yamekuwa yakisomwa secondary muda mrefu Ila hayakuwa kwenye combination na hata kwenye admission za vyuo. Kwa sasa yamewekwa, kwenye combination na admission za vyuo. Je, ndio kueneza udini?? Huo ni ufinyu wa akili na mawazo. Hoja yangu ya msingi,nilisema status za admission vyuoni ni masomo mawili tu yawe na minimum point nne.mfano umesoma Mfano:Combination mpya hiz:economic, business studies na islamic knowledge. Chuo kikuu utaenda na masomo mawili either economic na business studies au business studies na islamic knowledge au economic na islamic knowledge. Je, udini umeenezwa wapi??? Ukienda na economic na islamic knowledge waweza soma religions course. Udini ni upi sasa? Au ukisoma divinity, Kiswahi na English. Utaweza kwenda na kiswahi na English, au divinity na kiswahi., au English na divinity. Udini umeenezwa wapi? Lowasa (2015) , elimu,! elimu,! elimu!
 
badala tuweke mkazo kwenye vitu vyenye tija maishani kama elimu kuhusu kilimo, technology, rasilimali nyingi lakin bado tumebaki mazuzu, Dini itatusaidia nin wakat wa dhiki. tazama Palestine Dini inawasaidia nin kwenye hii vita . wangewekeza kwenye technology wangejinasua japo kwa sehemu

hawa viongozi weusi ni laana kabisa
 
Sibishani na shoga ,mnuka mavi .

Toeni masomo ya muziki ,toeni ya sayansi sio kila mtu anapenda ,kwani kuna sehemu umalazimsihwa ?

Kauze huko kwa wanaume.!
Lazima utakuwa graduate wa madrasa!
Hongera kwa kufaulu vizuri ulichofundishwa!
 
Wakati ule tunasema makanisa haua yanayoibuka kwa wingi ni projects za serikali ambaso zipp engineered na ‘Idara’ wengi hawakutuelewa.
Seriksli ilifanikiwa kuwa compromze waislam na kuwaundia BAKWATA, ikashindwa kabisa kuwa compromise Wakristo. Haikukata tamaa, wakaja na njoa nzuri zaidi ya kuwa compromise wakristo ambapo ikaanza kwa kutengeneza Makanisa mengi ya Masafa ya FM huku wakihubiri mambo ya ajabu, wakifanya mambo ya ajabu lakini serikali ikichekelea bila ya kuchukua hatua. Ikumbukwe, makanisa hayo si sehemu ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hizo ni State Made Churches.
Lengo ni kuzipotezea dini ushawishi, seriksli na CCM wana long plan project ya kutengeneza Dini zao ili wanamchi waziabudu hizo.
 
We jamaaa huwa li jinga fulani unaandika tu hovyo hovyo kwenye hoja za kisomi
Upumbavu wenu wa athiest pelekeni kwa wajinga wenzenu ...Hamna msaada kweny nch hakuna tajiri atheist nyie wapumbavu hamna msaada kazi kulewa tu.
 
Acheni dini ifundishwe misikitini na makanisani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…