[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anapaka wanja lol.Halafu hawa askari wanaanza kusimamisha magari wakati mwenzao ndo kwanza anapaka wanja.
Kuna haja ya kufanya utafiti kujua misafara hii ya viongozi inasababisha hasara kiasi gani kwa taifa na kwa mtu mmoja mmoja
Wee mzee wa chura unaiongelea TZ hii au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania bhna!"Eti hamna huruma"?
Yaani CCM washindwe kukuonea huruma ndani ya miaka 60 ya uhuru kwenye suala la huduma ya msingi kabisa ya maji na umeme waje kukuonea huruma kwenye ishue za misafara?
Halafu huenda Mtanzania ndiye binadamu mjinga kuliko wanadamu wote duniani.Serikali ni mtumwa wa wananchi kwa sababu imeajiriwa na wenye nchi ambao ni wananchi.
Sisi ndiyo boss na wao ndiyo waajiriwa kwa sababu sisi ndiyo tunawatuma serikali watufanyie kazi na kisha tunawalipa ujira.
Sasa kati ya boss na mwajiriwa ni nani anapaswa kumuonea mwenzake huruma?Boss anaemtumikisha mwajiri wake au mwajiri anaetumikishwa na boss?Anaepaswa kuonewa huruma ni anaetumikishwa au anaetumikisha?
Wewe kwa akili zako unataka mtumwa amuonee huruma boss.Yaani anaepigwa mijeledi na kulishwa uji(Serikali) ndiye amuonee huruma anaetandika mijeledi(boss).Ni akili za wapi hizi?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fikiria hili
Mtu kazaliwa anaiona Bahari, leo hii umpeleke Jangwani pasipo na bahari hata ziwa. Mtaelewana kweli!?
Dunia nzima principle ni moja,serikali ni mtumwa na wananchi ambao ndiyo wenye nchi ni maboss.Wee mzee wa chura unaiongelea TZ hii au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ChanjoooooooooKweli Mama haitaki Dodoma
Sherehe za Uhuru.wa Tanganyika zinafanyika kesho ambapo tokea Tanganyika huru ipewe uhuru wake na Uingereza miaka 60 iliyopita. Miaka mitano iliyopita kulikuwa na mabadiliko makubwa sana ikiwemo serikali kuhamia Dodoma na shughuli zote za kitaifa kufanyika huko. Lakini kwa mwenendo uliopo Mama...www.jamiiforums.com
DaaahSukuma Gang Chato inasemaje huko?
1:Gharama kwa serikali isiyo na sababu.Toa sababu angalau nne kuonesha kwamba halikuwa jambo lenye tija
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app