Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Jibu limepatikana. Huyo mhubiri anakuja kutafuta wakristo awasilimishe. Lakini Uarabuni ni marufuku mkristo kumhuburi hata tu kumtaja Yesu. Chuki, mauaji ugaidi na uislam ni Pete na kidole.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ sijataja taja tu hayo yote kwa kuropoka nina aya specific zinazopoint hayo yote vipi unataka nikuwekee ? Nasubiri jibu lako
Hueleweki. Biblia imeandika makosa na kuonya, ulitakaje isionye. Manabii walipoonya waliruhusu, ushoga, uzinzi nk. Kuna amri 10 zinazokataza dhambi. Je, MUNGU alipoziandika alitahadharisha au aliruhusu. The same na Quran ilipoandika maovu yasifanywe.
 
Lakini wazungu waje sio au waislamu tu
 
Huyo muhubiri apigwe marufuku,ni moja ya mawakala wa ugaidi,tuwe makini nae kukaribisha watu kama hawa nchini ni kuleta mtafaruku hasa ukizingatia mada yake imekaa kichochezi na leo ovu nyuma yake.
Kuna ushahidi wowote wa kigaidi ulionao dhidi yake? Kuhusu mada yake usihofu, kwa maana imeandikwa kwenye Biblia Takatifu ya kwamba kila kinywa kitakiri ya kwamba Yesu ni Bwana! Sasa Bingwa vitamkiri vipi kama havimuongelei?
 
Kwa hiyo kwenye mahubili yenu huwa hamuwaongelei manabii hao?
 
Amealikwa na nani? Mdahalo utaendshwaje? Nani ataenda kuwa upande wa Yesu? Au Kanisa la Wasabato kama kawaida Yao?
 
Jibu limepatikana. Huyo mhubiri anakuja kutafuta wakristo awasilimishe. Lakini Uarabuni ni marufuku mkristo kumhuburi hata tu kumtaja Yesu. Chuki, mauaji ugaidi na uislam ni Pete na kidole.
Stereotype, stereotype, stereotype
 
"India also has reciprocal extradition arrangements with the following 10 countries: Fiji, Italy, Papua New Guinea, Singapore, Sri Lanka, Sweden, Tanzania, Thailand, Croatia and Peru."

 
Pumbafuuu Kabisa Huyo gaidi anakuja kufanya Nini Kwetu,,Mambo ya Yesu Sijui Mohammad yanatusaidia Nini Sisi!??? please Serikali kataeni upuuuzi Huo..Kazi kuingilia Dini za Watu Tuu.Tuache ..Takataka Hiyo hatuitaki Hapa.
Wewe kama nani? Nenda kwa mwamposa ukanunue udongo wa milioni moja ili upate utajiri. Atakuja na Wakiristo wenye akili wataenda kumsikiliza ,tena uwanja utajaa
 
Waisilam hawajawahi kumshindanisha Yesu na Muhammad kwa sababu kwa mujibu wa uisilam wote walikuwa manabii wa Mungu wenye daraja sawa.
Ok. Sasa waweza fahamu huu muhadhara una mantiki gani? Na je ushawahi hudhuria mihadhara ya namna hiyo kipindi cha nyuma?
 

Nimeona alivyopigwa maswali nchini Kenya, muhubiri Dr. Zakir Naik amepanick sana, ana dharau kwa wauliza maswali, anadharau elimu ya wauliza maswali, anadharau ya asili ya mtu, anadharau na imani ya mtu ... ni mtu anayelenga kukosoa imani ya mtu na siyo kuhubiri imani yake anayoamini ..

26 December 2024
Nairobi, Kenya

Lecture : Prophet Muhammad in the Bible - Dr. Zakir Naik | Talk + Q&A | Kenya, East Africa

View: https://m.youtube.com/watch?v=C4jvfQRrXg8
 
Usishangazwe na hilo ..........pia hapa si alikuja yule mturuki mwenye ugomvi na Erdoğan.........anaitwa fetula gulen ...........mbona hakukamatwa na wala hakukuwa na ugomvi kati ya Tanzania na uturuki...............tena jamaa alitaka kupindua serikali ya Ankara kabisa ........ila ikashindikana
 

Hata Sheikh wetu nchini Tanzania, mwanazuoni Sheikh Abuu Iddi ambaye ni Msaidizi wa Mufti wa Tanzania aliwahi kuonya juu ya dhehebu moja kuanza fitna, misuguano, kutishiana n.k dhidi la dhehebu jingine, wakati wote ni dini moja ya ki-Islamu..

19 January 2023
Dar es Salaam, Tanzania

SHEIKH ABUU - HATARI INAKUJA TUSIPOTOA TAHADHARI KWA HAYA YANAYOENDELEA


Sheikh Abuu Iddi ambaye ni Msaidizi wa Mufti wa Tanzania ametoa tahadhari hiyo kwa kuwa inaweza kupelekea amani kuvunjika nchini Tanzania.

Sheikh Abuu Iddi CV (wasifu) yake imesheheni nyadhifa kadha wa kadha sawia na maktaba yake binafsi iliyosheni mabuku juu ya mabuku ya elimu duniya na ilm ya dini pia ktk utumishi ulitukuka kwa dini na jamii.

Pia sheikh Abuu Iddi ni imamu mkuu msikiti wa Masjid Mnyamani Buguruni jijini Dar es Salaam. Pia kwa miaka 16 amekuwa akiendesha kipindi ktk kituo cha televisheni cha Channel Ten kutoa daawa na darsa, mratibu Al Risala Foundation, Mratibu wa Kudumisha Amani katika mkoa wa Dar es Salaam, Mwandishi wa kitabu kinachokwenda kwa jina Misingi 15 ya amani, mwandishi wa makala katika gazeti kubwa la Mwananchi pia ni Mshauri wa dini na jamii wa Mufti Mkuu wa Tanzania.

Sheikh Abuu Iddi ameelekeza tahadhari hii hususan kwa madhehebu ya Sunni Saudia na Shia linaloegamia Iran, Pakistani, India yanayo shambuliana kupitia propaganda kutoka maeneo mbalimbali ya dunia ya mitandao ya kijamii wakiongozwa na viongozi wao wenye ushawishi wa kisiasa wa ndani na nje ya nchi kuchochea misuguano
 
Nifafanue nini na Watu wake wenyewe huko India hawamtaki,wanamuona ni Mchochezi?.kwamba sisi ndio tupo smart sana tusiwaamini India?.
Anakuja akitokea uganda.. ugaidi gani kafanya Uganda?..yaani unawaamini wahindi, unajua kiendeleacho india Kati ya wahindu (serikali) na waislam?
 
Mnapenda kujitia hofu,huyo kishafika,kama una swali kamuulize
 
Huyuu jamaa ni alqaida ni gaidi sana asije Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…