Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Kwani kunajadiliwa nini kwenye hayo mahubiri ambacho hujenga chuki?
 
Waislamu wengi ni wabaguzi sana
 
Kwanini huko malaysia hawapati matatizo mpaka kafika hapa bongo kapita transist ngapi hajakamatwa wacheni kujitia wasi wasi kwa mambo yasiyo wahusu!
Wewe Fala hakuna unachojua hata uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo mno, Baki na CCM yako Tu haya mambo ya kimataifa ni mtihani kwako
 
Kwahiyo mkuu unataka waislamu wasimzungumzie Jesus japo wanamtambua kama mtume kwao?
 
Kupingwa, kukosolewa, comedy za dini au hata kukejeliwa dini yako sio chuki, ni sehemu ya free speech. Chuki ni kuhamasisha vurugu(violence) pamoja na utengano kama alivyofanya huyu sheikh hapa
View attachment 3187549
Nioneshe neno lolote linalo onesha huyu muhubili akihamasisha vurugu dhidi ya dini nyingine.
Huwezi kukejeli dhidi ya kitu unacho kipenda na kukiheshimu.
Kitendo cha wakristo kushinda humu wakuanzisha mijadala ya kishifa dhidi ya waisilam inawakilisha chuki zao dhidi ya waisilam.
 
Kwa hiyo hukuandika kua Unahisi? hili gazeti haliwezi kubadili hoja ya wewe kuandika kwa kuhisi na sio kwa kujua.
Naandika kwa ushahidi wa kutosha na kwa kuishi maeneo hayo na kwa hapa Dar kuna kundi kubwa sana la wadada wa kizaramo,wakwere na wadengereko wanao OKOKA na kuolewa na vijana wa kikristo

Nimehudhuria harusi kama 14 ndani ya mwaka huu ambapo mabinti wa kiislam wanabadili dini na kuwa wakristo ili kuoleka

Leo ukienda kwenye Makanisa mengi hasa haya ya kinabii,utakuta kuna Wamama wengi sana wa kiislam wameokoka
 
Waislam wakifanya mkutano wakapata majanga wenyewe au WAKRISTO wakifanya mikutano wakafa huko sioni walivyoingilia Imani ya mwingine. Shida ni pale mkristo atakapoandaa mkutano mahususi kuwasema waislam je, anaweza kufanya hivyo Uarabuni ? Kama NJ I tatizo au haiwezekani mkristo kufanya mikutano huru kwa uislam mbona iwe ruhusa na rahisi kwa muislam kuandaa mkutano wa kukashifu ukristo na kulindwa na serikali ? Huko Nigeria hamjasikia chuki iliyopondwa na Boko Haram wanavyochinja WAKRISTO kama kuku na kuteka wanawake na kuwabaka kama mateka wa ngono ?
 
Huwezi kukejeli dhidi ya kitu unacho kipenda na kukiheshimu.
Kitendo cha wakristo kushinda humu wakuanzisha mijadala ya kishifa dhidi ya waisilam inawakilisha chuki zao dhidi ya waisilam.
Members wa hili jukwaa sio Wakristo na Waislamu tu, kuna Atheists na waumini wa dini za kienyeji pia.
Umewahi kulijua hili??
 
Mbona serikali imerasimisha utapeli na unyanganyi kupitia mgongo wa mitume na manabii na hujawahi kuona kama ni tatizo?
Waisilam kujadili yesu sio jambo la ajabu kwa sababu wap wanamtambua kama nabii na alivyo Muhammad.
 
hakuna athari zozote kidiplomasia dhidi ya mataifa yetu huru, haya mawili ya kihistoria.

infact,
huyo muungwana huenda akawa na uraia wa nchi nyingine pia kitu ambacho kama taifa huru hakituhusu kabisa.

Tanzania kama taifa huru lisilofungamana na upande wowote duniani, halipo taifa jingine la kutuchagulia rafiki au la kuielekeza Tanzania isimkaribishe rafikia au mgeni ambae kwa wengine ni adui.

Taifa letu na sio la kidini, na wananchi wake wako huru kuabudu wanachoona kinafaa.

na kwahivyo,
hakuna haja wala sababu hata moja ya kumzuia muhubiri au kiongozi wa dini kutoka popote duniani ikiwa ameingia nchini kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi
 
Hivi unaelewa hata ulichokiandika lakini?
 
Punguza chuki za kijinga wewe Kafiri,

Hakuna hoja uliyoiweka hapa zaidi ya chuki za kijinga,hakuna hoja ya kujibu hapa.
Asante kwa matusi. Hebu kanusha kuwa Boko Haram (waislam) hawachinji WAKRISTO na kubaka wanawake Nigeria na kwingineko. Nihakikishie mimi mkristo naweza kupata kibali Uarabuni kumhuburi Mohamed vibaya na kumuinua Yesu. Nihakikishie kama naweza kufungua Kanisa Somalia sawa na wewe unavyoweza kuanzisha msikiti hapa. Hapo kati yetu nani ana chuki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…