Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Umeanza hoja na mguu wa kushoto....Tanganyika iko wapi ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]Hivi ni kwanini kila Mzanzibari anapokuwa rais kunakuwa na upigaji mnada wa mali za Tanganyika?
Kuuza nchi ni nini ?!!!Wewe kwa ufahamu wako una ona kinachofanyika ni kipi? Bora wangekuwa wanauza nchi tunapata faida,ila kwa sasa wanaigaw bure.
Kwani Zanzibar ipo wapi?Umeanza hoja na mguu wa kushoto....Tanganyika iko wapi ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Full stop maana yake nini?!!!Ni ukweli usio nashaka kuwa watu wengi wa mwambao wa bahari kwa nchi yetu ya tanzania wana uwezo mdogo wa kuchuja mambo full stop ,hii nikutokana na sababu nyingi sana na zingine ni za kiimani huu ni ukweli mgumu na mchungu ila ndio ukweli
Ipo ilipo...ina mfumo mzima wa dola...Kwani Zanzibar ipo wapi?
Povu linakutoka mzee wa kutaka iendelee "status quo" pale bandarini....[emoji1787]Waraka wa kizalendo kabisa huu.
Dini inachangia bwana rejea wale wakristo wajinga wa lio fukiwa kule kenya utanambia wana akili wale? Na hawa wanao kimbizana kugombania mafuta ya mwamposa hapa bongo nao unaona wana akili? Dini kichocheo pia mzeeFull stop maana yake nini?!!!
Unataka "kujamba" halafu tusikwambie ?!!!
Dini /imani inahusiana vipi na INTELLIGENT QUOTIENT (IQ)?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Hebu nidadavulie kisomi kabisa.....
Dini /Imani ya mtu inaathirije IQ ya mwenye hiyo imani....karibu mkuu wangu!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
"Serikali imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu" Hili jiwe ni zito mnoo 🤣🤣🤣🤣🤣Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.
Hiki kinachoendelea ni fedheha kwa bunge na wabunge; kwamba pamoja na kupitisha kumbe wao siyo final bali kazi yao ilikuwa rubber stamp au kukamilisha ratiba.
Goma limekuwa gumu na endapo Mbowe na Safu yao wataingia uwanjani kwenye mikutano ya adhara kwa agenda hii upo uwezekano pakatokea mmomonyoko mkubwa na makundi kuhusu bandari.
Changamoto kubwa ya Watanzania ni wanafiki wazuri; wakiona unataka kusikia habari hoja fulani nao wanakupigia makofi ila moyoni wana ukweli na wewe ukijiongezea unagundua huna watu nyuma yako.
Magufuli alisifika ila waliokuwa wanamsifu angewaruhusi wapige kura ya siri angelalamika kaibiwa kura kwa sababu baada ya kuondoka tu watu walewale waliokuwa mgongoni mwake walijitokeza kumkataa.
Kama walimkataa hadharani akiwa ameondoka je, walimpigia kura sirini? Kwa kuwa alifahamu fika kwamba amewakosea Watanzani aidha akiwa na nia nzuri au mbaya ndipo akaona njia sahihi ni kuchafua uchaguzi.
Kwa mantiki hii, hakuna mwenye uhakika wa nani ambaye anamkubali kiongozi wa CCM sirini. Wote tumebaki kusikia uungwaji mkono wa majukwaani ila unapokuja sirini hakuna mwenye uhakika wa kutoboa. Hii inatokana na ukweli kwamba tumewaweka makovu Watanzania kwa muda mrefu kwa kuwaaminisha tunafanya uwekezaji wenye tija matokeo yake hakuna tija.
Kwa hatua za awali Mhe. Rais ameona walipokosea wasaidizi wake, amejifunza kwa ndani nini jamii inataka, amewasikia viongozi wa kijamii na imani wanasimamia nini, lakini amewasikia wale wasaidizi wake bungeni walichangia nini; obviously amebaini wanaompotosha na kumchonganisha na jamii siyo wapinzani bali wasaidizi wake.
Inatia hasira unapodhani una wataalam wazuri kisha unagundua kazi waliyofanya inapigwa vita na kila msomi; swali la kujiuliza, hao wasomi walioteuliwa kukusaidia wameelimika? Wana exposure au wapo kwa sababu wapo?
Naamini soon Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake watapisha ofisi kwa kilichotokea, vinginevyo ikibainika mkataba haukuwa shirikishi, pamoja na kiburi cha kibinadamu bora tuchelewe kufika kuliko tufike tukiwa siyo wamoja.
Padri Kutima ametueleza Somalia na Sudan, mimi nataka niongeze Loliondo na Tarime mgodini, je, tunadhani ni nia zote nzuri ni nia nzuri?
Dini yao ina maandiko yaliyosema wakafukiwe ?!!!Dini inachangia bwana rejea wale wakristo wajinga wa lio fukiwa kule kenya utanambia wana akili wale? Na hawa wanao kimbizana kugombania mafuta ya mwamposa hapa bongo nao unaona wana akili? Di kichocheo pia mzee
Kwanini Zanzibar iwepo lakini Tanganyika isiwepo kwani muungano ilikuwa baina ya nani na nani?Ipo ilipo...ina mfumo mzima wa dola...
Tanganyika iko wapi ?!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hongera sana kwa kuweka kichwa cha habari kizuri na cha ukwei. Na yule kiongozi wao a.k.a Betina siju anajisikije ssa. Amejawa na ujinga mpaka anashindwa kutofautisha mambo ya kitaifa na uchamaTuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.
Hiki kinachoendelea ni fedheha kwa bunge na wabunge; kwamba pamoja na kupitisha kumbe wao siyo final bali kazi yao ilikuwa rubber stamp au kukamilisha ratiba.
Goma limekuwa gumu na endapo Mbowe na Safu yao wataingia uwanjani kwenye mikutano ya adhara kwa agenda hii upo uwezekano pakatokea mmomonyoko mkubwa na makundi kuhusu bandari.
Changamoto kubwa ya Watanzania ni wanafiki wazuri; wakiona unataka kusikia habari hoja fulani nao wanakupigia makofi ila moyoni wana ukweli na wewe ukijiongezea unagundua huna watu nyuma yako.
Magufuli alisifika ila waliokuwa wanamsifu angewaruhusi wapige kura ya siri angelalamika kaibiwa kura kwa sababu baada ya kuondoka tu watu walewale waliokuwa mgongoni mwake walijitokeza kumkataa.
Kama walimkataa hadharani akiwa ameondoka je, walimpigia kura sirini? Kwa kuwa alifahamu fika kwamba amewakosea Watanzani aidha akiwa na nia nzuri au mbaya ndipo akaona njia sahihi ni kuchafua uchaguzi.
Kwa mantiki hii, hakuna mwenye uhakika wa nani ambaye anamkubali kiongozi wa CCM sirini. Wote tumebaki kusikia uungwaji mkono wa majukwaani ila unapokuja sirini hakuna mwenye uhakika wa kutoboa. Hii inatokana na ukweli kwamba tumewaweka makovu Watanzania kwa muda mrefu kwa kuwaaminisha tunafanya uwekezaji wenye tija matokeo yake hakuna tija.
Kwa hatua za awali Mhe. Rais ameona walipokosea wasaidizi wake, amejifunza kwa ndani nini jamii inataka, amewasikia viongozi wa kijamii na imani wanasimamia nini, lakini amewasikia wale wasaidizi wake bungeni walichangia nini; obviously amebaini wanaompotosha na kumchonganisha na jamii siyo wapinzani bali wasaidizi wake.
Inatia hasira unapodhani una wataalam wazuri kisha unagundua kazi waliyofanya inapigwa vita na kila msomi; swali la kujiuliza, hao wasomi walioteuliwa kukusaidia wameelimika? Wana exposure au wapo kwa sababu wapo?
Naamini soon Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake watapisha ofisi kwa kilichotokea, vinginevyo ikibainika mkataba haukuwa shirikishi, pamoja na kiburi cha kibinadamu bora tuchelewe kufika kuliko tufike tukiwa siyo wamoja.
Padri Kutima ametueleza Somalia na Sudan, mimi nataka niongeze Loliondo na Tarime mgodini, je, tunadhani ni nia zote nzuri ni nia nzuri?
Naunga mkono hoja maana kwenye hili ameonekana mbele front (dalali) live bila aibuHapa anayepaswa kuachia ngazi ni mmoja tu.
Yule top kabisa.
Na uninga wa wawaumini wake umechangia bwashee unakubalije mjinga mmjoja akuvike ujinga na wewe uukubali? Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba wafuasi wa mackenzie na wa mwamposa bila kusahau yule dada wa mwanz na wengine wafananao kuwa wana akili timamu.Dini yao ina maandiko yaliyosema wakafukiwe ?!!!
Dini yao haisemi kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA?!![emoji15]
Dini imetangulia kuwakumbusha umuhimu wa MATUMIZI YA AKILI...wao wakaamua kujiweka MSAMBWENI....sasa DINI ina kosa gani ?!!! Ukristo unalaumiwaje kwa alichokifanya mch.McKenzie ?!??[emoji15][emoji15]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hili ndiyo suluhisho. Ingepigwa kura 'huru' ya maoni juu ya uwepo wa muungano nina hakika asilimia 95 wangeukataa muungano huu.Why tusivunje huo Muuungano wenyewe??
Zanzibar ipo kidola....Kwanini Zanzibar iwepo lakini Tanganyika isiwepo kwani muungano ilikuwa baina ya nani na nani?
Umeona sasa unajibu mwenyewe....kwa hiyo ujinga ni wa mtu/watu na si DINI ?!!!Na uninga wa wawaumini wake umechangia bwashee unakubalije mjinga mmjoja akuvike ujinga na wewe uukubali? Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba wafuasi wa mackenzie na wa mwamposa bila kusahau yule dada wa mwanz na wengine wafananao kuwa wana akili timamu.
Aachie ngazi nani?!!Naunga mkono hoja maana kwenye hili ameonekana mbele front (dalali) live bila aibu
Mpaka ubakwe ndo utaelewa