Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

Wewe kwa ufahamu wako una ona kinachofanyika ni kipi? Bora wangekuwa wanauza nchi tunapata faida,ila kwa sasa wanaigaw bure.
Kuuza nchi ni nini ?!!!

Kuuza nchi ni kupi ?!!!

Hivi tumemalizana vyema kabisa na WAZUNGU kule Mwadui ,North Mara ,Bulyanhulu na kwengineko?!!

Nako unasema ni kuuza nchi kwa kuwa tulikuwa tunapata mrahaba 3% hadi juzi hayati JPM alipokuongeza kidogo ?!!!

Miaka yote hiyo ya usuajisuaji huko tunauza nchi ?!!! Mikataba aliingia/ameingia mh.Rais SSH ?!!!

Imeingia awamu hii ya 6 ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni ukweli usio nashaka kuwa watu wengi wa mwambao wa bahari kwa nchi yetu ya tanzania wana uwezo mdogo wa kuchuja mambo full stop ,hii nikutokana na sababu nyingi sana na zingine ni za kiimani huu ni ukweli mgumu na mchungu ila ndio ukweli
Full stop maana yake nini?!!!

Unataka "kujamba" halafu tusikwambie ?!!!

Dini /imani inahusiana vipi na INTELLIGENT QUOTIENT (IQ)?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hebu nidadavulie kisomi kabisa.....

Dini /Imani ya mtu inaathirije IQ ya mwenye hiyo imani....karibu mkuu wangu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Full stop maana yake nini?!!!

Unataka "kujamba" halafu tusikwambie ?!!!

Dini /imani inahusiana vipi na INTELLIGENT QUOTIENT (IQ)?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hebu nidadavulie kisomi kabisa.....

Dini /Imani ya mtu inaathirije IQ ya mwenye hiyo imani....karibu mkuu wangu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Dini inachangia bwana rejea wale wakristo wajinga wa lio fukiwa kule kenya utanambia wana akili wale? Na hawa wanao kimbizana kugombania mafuta ya mwamposa hapa bongo nao unaona wana akili? Dini kichocheo pia mzee
 
Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.

Hiki kinachoendelea ni fedheha kwa bunge na wabunge; kwamba pamoja na kupitisha kumbe wao siyo final bali kazi yao ilikuwa rubber stamp au kukamilisha ratiba.

Goma limekuwa gumu na endapo Mbowe na Safu yao wataingia uwanjani kwenye mikutano ya adhara kwa agenda hii upo uwezekano pakatokea mmomonyoko mkubwa na makundi kuhusu bandari.

Changamoto kubwa ya Watanzania ni wanafiki wazuri; wakiona unataka kusikia habari hoja fulani nao wanakupigia makofi ila moyoni wana ukweli na wewe ukijiongezea unagundua huna watu nyuma yako.

Magufuli alisifika ila waliokuwa wanamsifu angewaruhusi wapige kura ya siri angelalamika kaibiwa kura kwa sababu baada ya kuondoka tu watu walewale waliokuwa mgongoni mwake walijitokeza kumkataa.

Kama walimkataa hadharani akiwa ameondoka je, walimpigia kura sirini? Kwa kuwa alifahamu fika kwamba amewakosea Watanzani aidha akiwa na nia nzuri au mbaya ndipo akaona njia sahihi ni kuchafua uchaguzi.

Kwa mantiki hii, hakuna mwenye uhakika wa nani ambaye anamkubali kiongozi wa CCM sirini. Wote tumebaki kusikia uungwaji mkono wa majukwaani ila unapokuja sirini hakuna mwenye uhakika wa kutoboa. Hii inatokana na ukweli kwamba tumewaweka makovu Watanzania kwa muda mrefu kwa kuwaaminisha tunafanya uwekezaji wenye tija matokeo yake hakuna tija.

Kwa hatua za awali Mhe. Rais ameona walipokosea wasaidizi wake, amejifunza kwa ndani nini jamii inataka, amewasikia viongozi wa kijamii na imani wanasimamia nini, lakini amewasikia wale wasaidizi wake bungeni walichangia nini; obviously amebaini wanaompotosha na kumchonganisha na jamii siyo wapinzani bali wasaidizi wake.

Inatia hasira unapodhani una wataalam wazuri kisha unagundua kazi waliyofanya inapigwa vita na kila msomi; swali la kujiuliza, hao wasomi walioteuliwa kukusaidia wameelimika? Wana exposure au wapo kwa sababu wapo?

Naamini soon Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake watapisha ofisi kwa kilichotokea, vinginevyo ikibainika mkataba haukuwa shirikishi, pamoja na kiburi cha kibinadamu bora tuchelewe kufika kuliko tufike tukiwa siyo wamoja.

Padri Kutima ametueleza Somalia na Sudan, mimi nataka niongeze Loliondo na Tarime mgodini, je, tunadhani ni nia zote nzuri ni nia nzuri?
"Serikali imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu" Hili jiwe ni zito mnoo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dini inachangia bwana rejea wale wakristo wajinga wa lio fukiwa kule kenya utanambia wana akili wale? Na hawa wanao kimbizana kugombania mafuta ya mwamposa hapa bongo nao unaona wana akili? Di kichocheo pia mzee
Dini yao ina maandiko yaliyosema wakafukiwe ?!!!

Dini yao haisemi kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA?!![emoji15]

Dini imetangulia kuwakumbusha umuhimu wa MATUMIZI YA AKILI...wao wakaamua kujiweka MSAMBWENI....sasa DINI ina kosa gani ?!!! Ukristo unalaumiwaje kwa alichokifanya mch.McKenzie ?!??[emoji15][emoji15]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.

Hiki kinachoendelea ni fedheha kwa bunge na wabunge; kwamba pamoja na kupitisha kumbe wao siyo final bali kazi yao ilikuwa rubber stamp au kukamilisha ratiba.

Goma limekuwa gumu na endapo Mbowe na Safu yao wataingia uwanjani kwenye mikutano ya adhara kwa agenda hii upo uwezekano pakatokea mmomonyoko mkubwa na makundi kuhusu bandari.

Changamoto kubwa ya Watanzania ni wanafiki wazuri; wakiona unataka kusikia habari hoja fulani nao wanakupigia makofi ila moyoni wana ukweli na wewe ukijiongezea unagundua huna watu nyuma yako.

Magufuli alisifika ila waliokuwa wanamsifu angewaruhusi wapige kura ya siri angelalamika kaibiwa kura kwa sababu baada ya kuondoka tu watu walewale waliokuwa mgongoni mwake walijitokeza kumkataa.

Kama walimkataa hadharani akiwa ameondoka je, walimpigia kura sirini? Kwa kuwa alifahamu fika kwamba amewakosea Watanzani aidha akiwa na nia nzuri au mbaya ndipo akaona njia sahihi ni kuchafua uchaguzi.

Kwa mantiki hii, hakuna mwenye uhakika wa nani ambaye anamkubali kiongozi wa CCM sirini. Wote tumebaki kusikia uungwaji mkono wa majukwaani ila unapokuja sirini hakuna mwenye uhakika wa kutoboa. Hii inatokana na ukweli kwamba tumewaweka makovu Watanzania kwa muda mrefu kwa kuwaaminisha tunafanya uwekezaji wenye tija matokeo yake hakuna tija.

Kwa hatua za awali Mhe. Rais ameona walipokosea wasaidizi wake, amejifunza kwa ndani nini jamii inataka, amewasikia viongozi wa kijamii na imani wanasimamia nini, lakini amewasikia wale wasaidizi wake bungeni walichangia nini; obviously amebaini wanaompotosha na kumchonganisha na jamii siyo wapinzani bali wasaidizi wake.

Inatia hasira unapodhani una wataalam wazuri kisha unagundua kazi waliyofanya inapigwa vita na kila msomi; swali la kujiuliza, hao wasomi walioteuliwa kukusaidia wameelimika? Wana exposure au wapo kwa sababu wapo?

Naamini soon Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake watapisha ofisi kwa kilichotokea, vinginevyo ikibainika mkataba haukuwa shirikishi, pamoja na kiburi cha kibinadamu bora tuchelewe kufika kuliko tufike tukiwa siyo wamoja.

Padri Kutima ametueleza Somalia na Sudan, mimi nataka niongeze Loliondo na Tarime mgodini, je, tunadhani ni nia zote nzuri ni nia nzuri?
Hongera sana kwa kuweka kichwa cha habari kizuri na cha ukwei. Na yule kiongozi wao a.k.a Betina siju anajisikije ssa. Amejawa na ujinga mpaka anashindwa kutofautisha mambo ya kitaifa na uchama
 
Dini yao ina maandiko yaliyosema wakafukiwe ?!!!

Dini yao haisemi kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA?!![emoji15]

Dini imetangulia kuwakumbusha umuhimu wa MATUMIZI YA AKILI...wao wakaamua kujiweka MSAMBWENI....sasa DINI ina kosa gani ?!!! Ukristo unalaumiwaje kwa alichokifanya mch.McKenzie ?!??[emoji15][emoji15]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na uninga wa wawaumini wake umechangia bwashee unakubalije mjinga mmjoja akuvike ujinga na wewe uukubali? Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba wafuasi wa mackenzie na wa mwamposa bila kusahau yule dada wa mwanz na wengine wafananao kuwa wana akili timamu.
 
Kwanini Zanzibar iwepo lakini Tanganyika isiwepo kwani muungano ilikuwa baina ya nani na nani?
Zanzibar ipo kidola....

Tanganyika haipo kidola....baba wa taifa aliifutilia mbali....akaizika....dola lake liko wapi ?!!!

Akatueleza Muungano wetu ni wa KIPEKEE...bila ya kuukubali kuwa ni wa KIPEKEE utaendelea kupata shida kifikra kwa kule kufananisha miungano ya nchi nyingine.....

Muungano wetu uko "kiimani" si imani ya DINI....imani ya kiafrika iliyoanzia kwa baba wa taifa hayati Nyerere na mzee Karume....kupitia IMANI HIYO tukaipeleka Tanganyika katika "spiritual state" iitwayo "occultation"....

Ni imani inayohitaji "African spiritualism and awakening" kuamini MIZIMU YETU YA AFRIKA NA MATAMBIKO YETU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usiwe mjinga fazili...

Acha kutanguliza HISIA zaidi ya UHALISIA uliopo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Na uninga wa wawaumini wake umechangia bwashee unakubalije mjinga mmjoja akuvike ujinga na wewe uukubali? Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba wafuasi wa mackenzie na wa mwamposa bila kusahau yule dada wa mwanz na wengine wafananao kuwa wana akili timamu.
Umeona sasa unajibu mwenyewe....kwa hiyo ujinga ni wa mtu/watu na si DINI ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwani ana mpango wa kugombea kweli!! Sidhani.
 
Back
Top Bottom