Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

Hadi baada ya saa 6 ndio ninaanza kedi na matusi kama yako....asubuhi hii mkuu....I second you.....

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unalaana si bure haiwezikani kila mtu anamashaka na huu mkataba mpaka alioungia we umebaki anaupiga mwingi mamaye watu ka nyny hatakutolewa kafara haifai
 
Sawaaa na kitambulisho cha utanganyika ndo kitumike kutoa umiliki wa ardhi,kupata kazi n.k
Tanganyika imezikwa...ni marehemu siku nyingi....imeshajiozea huko kaburini....

Ili ulewe ni mpaka utulize akili kujifunza UJAMAA WA KIAFRIKA...uuamini kupitia "MATAMBIKO ya kisiasa ya kiafrika" na "mizimu yetu ya kisiasa ya kiafrika" ndipo hapo unapopanda ngazi ya ENLIGHTMENT ya kuufia Muungano huu....

Ngazi hiyo itakufunulia elimu kuwa TANGANYIKA iko katika "Spiritual state iitwayo Occultation".....hii ni "African spiritual state" ni imani kali sana...kali sana ina nguvu kubwa iliyoje.....

Muungano utadumu milele ,amen[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakashike madaraka kwao,kwao hawataki ushirikiano wao wanataka kwetu ,tu...!!mnataka vya watu tu..
Nyie ndo wale changu changu,chako cheti
#Kataa Muungano,Muungano ni utapeli
 
Kusema kweli mimi huwa namuombea sana Ndugu Rais SSH. Hii nchi ina aina ya binadamu wagumu mno ambao wameamua kwa makusudi kabisa kuacha kutumia akili zao na kumshauri Rais vizuri.

Mungu aendelee kumlinda na kumpa hekima ya kuiongoza hii nchi.
 
Hapo ndo ninnapo waona nyie wanzibar mna shida,
Mkiletewa hoja mnakimbilia kwenye dini na uarabu,sisi tuna waisilamu pia,namm tuna kaka,dada ,ndugu wakiislam pia ...
Huarabuni hamna walichotukosea ,
Hoja ni mikataba ya ulagai,inayochochewa na katiba mbovu na Muungano wa kinafki,
Hamna hoja ya dini hapa....
Mzanzibar hawezi kuwa na uchungu na Tanganyika,wala Mtanganyika hawezi kuwa na uchungu na zanzibar,
Mikataba inajieleza wazi...
Zanzibar iwe mkoa au tuvunje Muungano,
#Kataa Muungano,Muungano ni utapeli
 
Hili ndiyo suluhisho. Ingepigwa kura 'huru' ya maoni juu ya uwepo wa muungano nina hakika asilimia 95 wangeukataa muungano huu.
Muungano ni imani yetu yenye nguvu zaidi ya kitu chengine hapa ardhini(maisha ya dunia)...

Wajamaa wa kiafrika tunaamini sana katika asili ya UDONGO....udongo wa Tanganyika ukachanganywa na Zanzibar....spiritual udongo wa kila eneo iliokuwa Tanganyika umebadilika na Zanzibar hivyohivyo....kule Zanzibar udongo wao ambao toka 1964 ni mchanganyiko wa udongo wa iliokuwa Tanganyika...SASA KILA ENEO BARA NA PWANI lina UDONGO CHOTARA....hapa "mahobobo" "mandwanye" wagonjwa wa akili ,wenye matatizo ya kisaikolojia (Post-traumatic stress disorder) secondary to "CHILD ABUSE" wanaweza wasinielewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ninaelezea kuwa imani yetu ya ujamaa wa kiafrika na mizimu yake na matambiko yake ikaamuliwa Tanganyika iende katika "spiritual occultation state" na kuzaliwa CHOTARA wa kipekee kabisa....

CHOTARA anaishi...ndio hii Tanzania....sisi sote tuliozaliwa 1964 kuja juu tumekula virutubisho vipya kutoka ardhi hiyo chotara...miili yetu imejaa MINERAL SALTS "CHOTARA" ,VITAMINS "CHOTARA" PROTEINS"CHOTARA"...ukitaka utumalize tusiwepo na "tuhiliki sote" hebu jaribu kuurudisha UDONGO wa mama Tanganyika halafu uone tutakavyokuwa wanyafuzi ,tukakaukiana ,tukapata "mineral deficiencies ,protein deficiencies ,avitaminosis" kifupi mdororo wa Kinga zetu za mwili (U.KI.MWI)....

Mwenye kuutaka kuuvunja muungano avunjike yeye kiuno.,aaamen aamen aaamen [emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Eti muungano ni imani?! Tena African spiritism?! Ndio maana watakuambia suala la kubinafsisha bandari ya Dar ni imani na kweli nimeona wabunge wetu hawana hoja za kimantiki bali wana amini tu DP World watafanya muujiza pale bandarini.
 
Acha "argumentum ad hominem" katika hoja.....

Mimi si mzanzibari .....thibitisha uzanzibari wangu....nasubiri UTHIBITISHO kabla sijaendelea zaidi.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Eti muungano ni imani?! Tena African spiritism?! Ndio maana watakuambia suala la kubinafsisha bandari ya Dar ni imani na kweli nimeona wabunge wetu hawana hoja za kimantiki bali wana amini tu DP World watafanya muujiza pale bandarini.
Imani ni lazima kufanya miujiza ?!!!

Kwanini Muungano wetu usiwe imani ilihali ulichanganywa mchanga wa pande mbili?!!!

Unadhani mchanganyiko ule ulikuwa ni mbwembwe tu za sherehe ?!!!

Najua unajua nguvu ya mchanga/udongo kwa maisha yetu wanadamu....

Muungano ni IMANI YENYE NGUVU SANA...MNOO...MNOO...

Narudia kusema kuwa si imani ya KIDINI...

Ila wana imani ya DINI za kikristo na kiislamu wanafanyia ibada zao na kuendelea kuamini dini zao juu ya HUU MCHANGA WA ARDHI(CHOTARA) ulio na "African spirituality & Enlightment and consciousness" ukisukumwa na IMANI kali sana ya UJAMAA WETU WA KIPEKEE WA KIAFRIKA....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ni uongo? Kwani Loliondo haijauzwa? Mwinyi anaonewa kwa hilo?
 
Naunga mkono hoja,waweke na hoja ya katiba mpya,na kuukataa Muungano
Viva Ccm
 
Mkataba unanufaisha Zanzibar zaidi, ni mkataba wa kinyonyaji sana.
 
Acha "argumentum ad hominem" katika hoja.....

Mimi si mzanzibari .....thibitisha uzanzibari wangu....nasubiri UTHIBITISHO kabla sijaendelea zaidi.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tafuta sehemu nilipo sema,mtoa mada ni mzanzibar,
Nimeongea lugha jumuishi "wazanzibar"
Halafu usiepuke hoja ,usilete hisia jikite kwenye hoja
 
Hivi Elieza Feleshi AG bado yuko ofisini anakula kodi yangu!? Ninakulaani hadi kizazi cha nne!
 
Thibitisha uzanzibari wangu...

Nithibitishie hapa kuwa mimi ni mzanzibari....[emoji15][emoji15]

Mwenye kuutaka kuuvunja muungano atavunjika yeye kiuno....hakitavunjika kwa kupigwa na askari bali "mizimu yetu ya ujamaa wa kiafrika wa juu ya pande la ardhi la Tanzania utamvunjilia mbali kiuno na uti wa mgongo wake....

Hivi UAMSHO wako ?!!!

Hivi G55 wako ?!!!

Unatumikia maslahi ya wasiotakia mema Tanzania?!!![emoji15]

Nje ya MUUNGANO kuna :-

1)UGAIDI WA KIDINI (dini yoyote inaweza kutumiwa mifano iko tele duniani )

2)UGAIDI WA KIKOMUNISTI (Afrika ni eneo linalopiganiwa na mataifa makubwa kwa ajili ya raslimali )

3)UZANZIBARA NA UZANZIBARI

4)SIASA ZA KIKABILA ,KIKANDA NA KIDINI

Nje ya Muungano hiyo "Tanganyika" kamwe haitosimama kuwa moja.....

Nje ya Muungano kamwe hiyo Zanzibar haitokuwa moja.......

Hivi mnakwenda shule kusomea "kupakana ma...ta na kuwa wangse"?!!![emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…