Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanesco wala hawausiki unawaonea bure, huyo ni Mwigulu Nchemba na wahuni wenzake kwenye bunge la Tulia.TANESCO njooni mtoe maelezo tofauti na hapo luku lenu nalibandua ukutani kwangu. Staki kabisa.
Kwani kwenye "FINANCE BILL YA 2024/2025" hii haikuwepo na wabunge wa Bunge la CCM hawakuipitisha?Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?
Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?
Hali hii itaendelea mpaka lini?
View attachment 3030797
Halipo mkuu Nina uhakikiaKwani kwenye "FINANCE BILL YA 2024/2025" hii haikuwepo na wabunge wa Bunge la CCM hawakuipitisha?
Kama imeingizwa kinyemela tu bila kupitia bungeni hilo ni kosa la jina na Waziri wa Fedha anapaswa kuwajibika kisiasa na kisheria yeye mwenyewe au aliyempa nafasi hiyo!!
Hapa ulipata umeme kweli au ulilipa Hela ya pango.Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 1500.00
TOTAL 2,000.00 23/06/24 11:21
Sasa kwa nini wasitoe taarifa kwa umma watu wakajua nini kinaendelea, hii nayo ni taharuki kwa wananchi. Watu wanaichukulia jero kimasihara sana hawa.
Hii ni dharau kubwa sana kwa wananchi mimi naipenda CCM ila kwa hili hapana.angalau wananchi tungepewa taarifa.
Taarifa zipo wala hakuna jambo jipya, tuko bize na komasava kwanza na Simba na Yanga.Sasa kwa nini wasitoe taarifa kwa umma watu wakajua nini kinaendelea, hii nayo ni taharuki kwa wananchi. Watu wanaichukulia jero kimasihara sana hawa.
Kwahiyo wewe unataka watu wafanyaje kwani umekatazwa kuupinga nenda ikulu si unaijua ilipo sio unabweka humu watu kuongelea simba na yanga wamekuzuia nini unataka nani akupambanie kama sio wewe mwenyeweTaarifa zipo wala hakuna jambo jipya, tuko bize na komasava kwanza na Simba na Yanga.
Watu wengi wanadhani wale Wakenya ni wajinga, waliupinga muswada kabla ya kupitishwa, sisi tunashangaa kitu ambacho kimepitishwa bungeni.
Hii haipoti hata kama wamesainiTaarifa zipo wala hakuna jambo jipya, tuko bize na komasava kwanza na Simba na Yanga.
Watu wengi wanadhani wale Wakenya ni wajinga, waliupinga muswada kabla ya kupitishwa, sisi tunashangaa kitu ambacho kimepitishwa bungeni.
Toa press release ya tanesco kwa hii issue mkuu. Sio kweli kwamba tunafuatilia simba vs yanga kupitiliza, japo kwa haya madudu unaona bora utafute furaha kwingine.Taarifa zipo wala hakuna jambo jipya, tuko bize na komasava kwanza na Simba na Yanga.
Watu wengi wanadhani wale Wakenya ni wajinga, waliupinga muswada kabla ya kupitishwa, sisi tunashangaa kitu ambacho kimepitishwa bungeni.
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?
Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?
Hali hii itaendelea mpaka lini?
View attachment 3030797
Ingekuwa ana deni, angekatwa 3,000 (1,500 ya mwezi uliopita na 1,500 ya mwezi huu)Mwezi wa 6 ulinunuwa umeme? Isije kuwa unadaiwa kodi ya miezi miwili.
Press release ya nini wakati leo ni tarehe 1 July? Ni mwaka mpya wa serikali.Toa press release ya tanesco kwa hii issue mkuu. Sio kweli kwamba tunafuatilia simba vs yanga kupitiliza, japo kwa haya madudu unaona bora utafute furaha kwingine.
Halipo mkuu Nina uhakikia
Kwa sasa bora tu useme mi5 tena 😂🤣🤣 Sitaki kukuchosha wakili wangu
Ukiwa free ndio nitasema hiko kitu hadharani sasa
Ha ha ha mbona huko nyuma tulikuwa tunapa unit 73 kabla ya kuanzishwa TOZO ya nyumba. Au wewe matumizi madogo na kuondoa service charge unaelewa nini.Sh 9000 unapata unit 57? Ni umeme upi huo? Zanzibar au Rea?