KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wakuu habarini za jioni,
Naomba kuuliza mnieleweshe ni kwamba ile kodi ya pango inayotozwa kwenye umeme imeongezeka au nini kimetokea

Nimezoea nikinunua umeme mwanzo wa mwezi nakatwa 1500 nashangaa leo nimekatwa 2000

Je kuna mtu amekutana na hii leo au ni mimi tu au ndo tushaongezewa tozo tayari kimya kimya
Hiyo imekula kwa dereva🤔
 
Sidhani kama huu ushauri ungeweza kumpa ndugu yako wa karibu unayempenda. Binadamu tunajiamini sana tukiwa wazima na bado hatujatokewa na mabaya sisi wenyewe au katika circle yetu ya karibu. Ila umeongea ki low-mided sana, umetumia akili ya level ya chini sana.
Ndio jitu kama hilo unaweza kuta limevimbiwa sa hz linashushia na kabia
 
Serikali inatekeleza ushauri wa Wananchi

1000011194.jpg
 
Nchi inaviongozi wa hovyo na wezi pia
Kwa nini wafanye kimya kimya kama sio wizi ni nini
 
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.

Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?

Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?

Hali hii itaendelea mpaka lini?

View attachment 3030797
Kinachoniuma ni kwamba hatuna cha kuwafanya.
 
Ni kweli wanasema tulikuwa na deni
 
Attachments

  • Screenshot_20240701_212504_Messages.jpg
    Screenshot_20240701_212504_Messages.jpg
    396.1 KB · Views: 3
Mzee si walipeleka bajeti bungeni, ikajadiliwa na wabunge, ambao ni wawakilishi wetu.
Wakaipitisha.
Mkuu hao ni wabunge walioteuliwa na Mwenyekiti wa CHAMA DUME, chenye umri wa miaka zaidi 60; ndani ya Chama na nje ya Chama.
 
Huo sasa ni upuuzi,serikali inakua kama mwanamke malaya asiyeridhika na mwanaume mmoja
 
Mazuzu yanalia mitandaoni tu, lkn Gen Z wa Kenya wanamuamrisha rais wao.

Mazuzu hoyeé! Na bado. Subiri makato ya 30k kwa ajili ya bima ya afya kwa wote kwenye mishahara itakayokatwa kuanzia mwezi huu, tutasema tu.

Pendekezo la Shabiby limechukuliwa kama lilivyo.
Wewe imefanya nini ambae sio zuzu
 
Mimi hizo sim banking nilishaachana nazo, kuna siku nililimwa sh 40,000 sitaki tena.
Wakati kenya wanaincourage cashless kwenye kwenye maisha yao ya kila siku. Huku ndo kwanza watu wapafanya wapakimbie.
Wakati cashless inaongeza thamani ya pesa na kupunguza money laundering
 
Back
Top Bottom