2000 ni tozo ya Nini?Labda miezi zaidi ya mitatu coz tozo ya 2000 imeanza July
Hiyo namba ya mita ni ya nyumbani kwako halafu unaiweka humu24215612581
9002241922014596431
11.2KWH
3706 9710 9756 6366 7594
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00
Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Kodi ya jengo mkuu.. serikali inakusanya kupitia luku2000 ni tozo ya Nini?
Miezi minne mara 1500/ kodi bado ni 1500 hio 2000 ilikatwa mara moja kwa baadhi ya watu ambao hawakukatwa pindi ilivyopanda from 1500/mpaka 2000/Labda miezi zaidi ya mitatu coz tozo ya 2000 imeanza July
Did you have to say this?Chura kiziwi pengine kawa kipofu pia,asikii wala haoni.
Umejuaje? Au umejitungiaHujanunua umeme miezi mitatu iliyopita. Yani mara ya mwisho ulinunua mwezi wa 4. So wamechukua tozo ya miezi mitatu shilingi 2000 kila mwezi jumla 6000
24215612581
9002241922014596431
11.2KWH
3706 9710 9756 6366 7594
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00
Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??@£^<<[%^>><
Deni alikwepeki best waambieUmejuaje? Au umejitungia
Ichukue uileHiyo namba ya mita ni ya nyumbani kwako halafu unaiweka humu
Hiyo debt collected ni kodi ya nyumba ya TRA.Ulikuwa hujalipa miez kadhaa24215612581
9002241922014596431
11.2KWH
3706 9710 9756 6366 7594
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00
Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Kuna watu wana bil 7 ndani huku wengine wakikamuliwa mpaka utumbo24215612581
9002241922014596431
11.2KWH
3706 9710 9756 6366 7594
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00
Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
HIIII MTR TUNAENDAA KUIKAGUAAAAKwa kupiga hesabu, umetumia elfu 10 ila umeme umepewa wa elfu 4 na elfu 6 wamechukua deni.
Kwa watumiaji wa kawaida, umeme wa buku tunapata unit 2.8 so kwa buku 4 ni sahihi 11.2 unit.
Swali ni, elfu 6 imeenda wapi?
Either una deni au uwa unapitisha miezi mingi bila kununua umeme (ie kulipa 1500 yao).