Ruto aliwaza kama hivi hiviHamna cha kuwafanya.
Watanzania hadi siku wataposhtuka unga kilo 6000 ndio yatapata akili. Kwa sasa acha CCM ajipigie tu.Ruto aliwaza kama hivi hivi
Inashangaza sana!Debt collect?
Hata kama hakununua tozo/Kodi ya nyuma ilikuwa ni 1500 ...2000 imaingiaje hapo!??Mwezi wa 6 ulinunuwa umeme? Isije kuwa unadaiwa kodi ya miezi miwili.