KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Yaan Mimi ilibidi ni note kabisa kiasi Cha pesa kilichosalia bank baada ya siku ya kwanza kuhisi makato ni makubwa sasa Jana ndio naenda kutoa fedha nikagundua 7500 imekatwa kutoa 300,000

Aiseee haya MABANK ni wezi sana ndiyo maana wanapata FAIDA kubwa sana ,inatakiwa BOT waingilie kati kudhibiti huu wizi.
 
Huyu mama hatakagi kukosolewa !!
Nenda taratibu watu washaanza kutekwa tena
 
Hiyo siyo bei ya umeme, ni kodi ya jengo.

Kama unaishi nyumba ya kupanga na una mita ya peke yako maana yake unamlipia kodi mwenye nyumba.

Hawa mwisho wao hauko mbali, Mungu amewatia upofu hawataamini ikifika punda anapogoma.
Hata kama huna mita ya peka yako lakini unachangia kununua umeme kwani haulipi? Ukinununua umeme kama kuna hilo deni utalipa tu hata kama sio mwenye nyumba.
Pia kwa wale wapangaji wenye mita zao kila mtu lakini nyumba ni moja, hapo kuna double payment
 
Tanesco ni shamba la Bibi, mafisadi ndio nyumbani kwao!!!
 
Halafu leo anatokea mtu smart kama Msigwa anakwenda kuungana na genge la waporaji, inashangaza sana.
Mkuu hujasikia kuwa mtu ukiwa na akili sana, ina weza kukusababishia kutenda matendo ya kuwa shangaza watu?
 
Huwa unakatwa shingapi? Maana meta zinadaiwa kutoka reading meter zilivyowekwa luku kila ukinunuwa umeme wanakata.

Je unatumia hiyo meter muda mrefu? Na huwa unakatwa kiasi gani?
Huwa nakatwa kiasi cha kawaida tu mkuu na sidhani kama nina deni la nyuma. unaweza kuona hapo mwezi june.
 
Watanzania wanaelewa chochote kinachoendelea au walidhani Wakenya hawajui wanachopinga?

Kuna haja ya kuzaliana na Wakenya tuchanganye damu tukifute kizazi cha mazezeta.

Wazanzibar nao wanakatwa hivihivi?
Kenya mbali. Zalianeni na watanzania wa Kaskazini hasa Wachagga. Wengi wana damu za Kenya.
 
Serikali itafanya inavyotaka maana hakuna watu raha kuwatawala kama watanzania, ndiyo maana Msigwa kaamua kwenda CCM maana watanzania hata uwapiganie vipi hawatakuelewa. Watanzania ni zaidi ya maiti, ni wafu waliolala hata kilichoandikwa hapa hakiwahusu, wao wanaendelea na maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…