KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwamba haya mambo ndio yamemvutia sana Mch Msigwa hadi ameona ccm inaleta maendeleo kwa kasi na I awali wananchi.
Hizo ndio zinaitwa akili za ndezi!
Jamaa amejidhalilisha sana, mimi hata sielewi uchungaji wake ni wa nini?

Mwenzake Natse alisavebterm moja tu ya Ubunge Karatu akasema siasa siyo wito wake anarudi kanisani, sasa inashangaza Msigwa anakwenda kuungana na watesi wetu badala ya kurudi kanisani.

Inshort Msigwa ni mchumia tumbo tu na hawezi kuishi bila madaraka na anaamini ni yeye tu ndio anastahili.
 
Mkuu, mimi kwenyenyumba ya kulala nakomaa na SOLAR tu.
 
Tuendelee kujifunza, madhara ya kuwaachia viongozi tusiwachagua, kisa eti hatupendi kujihusisha na siasa.
Siasa ni maisha kuamua kama jamii tuongozwe na nani atuongoze vipi na aheshimu wananchi. Na bado
 
Hata mimi nilinua umeme wa elfu 9000 nikitegemea kupata unit 60+ sababu nipo matumizi madogo na nimetoa service charge. Cha ajabu nilipata unit 57 tena bila maelezo ya makato. Hatari sn hii.

Ila suala la ndugu yetu ni kwamba atakuwa aliingiza umeme kwenye nyumba yake na akapewa unit za kuanzia km 30. Hivyo, Hilo deni huwa wanakata hiyo elf 6 kwa kipindi cha mwaka 1. Labda akiona meseji hii atakuja kithibitisha niliyosema au atoe ufafanuzi.
 
Zinaenda kwa mama abdul
 
Yaan Mimi ilibidi ni note kabisa kiasi Cha pesa kilichosalia bank baada ya siku ya kwanza kuhisi makato ni makubwa sasa Jana ndio naenda kutoa fedha nikagundua 7500 imekatwa kutoa 300,000
Mkuu umeomba wakupe statement kuangalia hela imekatwa kwa sababu gani..?
 
Kuna mbunge alitaka waarabu waje kuzaa na watz ili wapatikane machotara.
Mimi nataka tuzae na wadada wa kikenya tupate watoto ambao wana damu ya wakenya wanaojua kupambania haki zao hata wakiwekewa mtutu wa bunduki
 
Hii serikali katili sana. Wanachukua hela kuwahonga akina Msigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…