KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hiyo imekula kwa dereva๐Ÿค”
 
Ndio jitu kama hilo unaweza kuta limevimbiwa sa hz linashushia na kabia
 
Nchi inaviongozi wa hovyo na wezi pia
Kwa nini wafanye kimya kimya kama sio wizi ni nini
 
Kinachoniuma ni kwamba hatuna cha kuwafanya.
 
Ni kweli wanasema tulikuwa na deni
 

Attachments

  • Screenshot_20240701_212504_Messages.jpg
    396.1 KB · Views: 3
Mzee si walipeleka bajeti bungeni, ikajadiliwa na wabunge, ambao ni wawakilishi wetu.
Wakaipitisha.
Mkuu hao ni wabunge walioteuliwa na Mwenyekiti wa CHAMA DUME, chenye umri wa miaka zaidi 60; ndani ya Chama na nje ya Chama.
 
Huo sasa ni upuuzi,serikali inakua kama mwanamke malaya asiyeridhika na mwanaume mmoja
 
Wewe imefanya nini ambae sio zuzu
 
Mimi hizo sim banking nilishaachana nazo, kuna siku nililimwa sh 40,000 sitaki tena.
Wakati kenya wanaincourage cashless kwenye kwenye maisha yao ya kila siku. Huku ndo kwanza watu wapafanya wapakimbie.
Wakati cashless inaongeza thamani ya pesa na kupunguza money laundering
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ