Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera.

Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando.

Wanafunzi.jpg

Maendeleo hayana vyama!
 
EiMA9RKWkAAL3nk.jpg

Ibada ya Maombi ya kuwaombea marehemu wa ajali ya moto iliyotokea usiku wa kuamkia Septemba 14 katika shule ya msingi Byamungu na kupelekea vifo vya watoto 10 na majeruhi sita imefanyikaa Leo wilayani Kyerwa.

Viongozi mbalimbali wa dini na viongozi wa serikali wameudhuria.
 
Inasikitisha sana yani watoto wadogo wamefariki kwa ajali mbaya ya kuungua moto!!!
 
Serikali ifanye uchunguzi kugundua chanzo cha kuungua kwa moto kwa shule.
 
Inauma sana watoto hao wadogo kufa kifo cha mateso makali, ajali za moto ktk shule hizi za kiislam zichunguzwe kwa kina, majibu mepesi ya hitilafu za umeme hayatoshi.
 
Back
Top Bottom