johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lissu ni waziri wa Tamisemi?!Wamshukuru Lissu
Tungekuwa na Tume Huru,wananchi tungeheshimika sana.
Unajua maana ya ubani yakhe?!Kwani serikali ndiyo iliyoleta moto?
Laki mbili ni dharau sana kwa wafiwa .Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera.
Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando.
Maendeleo hayana vyama!
Mh!!!!!!!Laki mbili ni dharau sana kwa wafiwa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Laki mbili ni dharau sana kwa wafiwa .
Kwani ilitakiwa watoe kiasi gani hili kuweza kuwarudisha marehemu waishi maisha yao kama kawaidaLaki mbili ni dharau sana kwa wafiwa .
Mbatizaji tunajua huna macho wala masikio. Jaribu kupapasa basLissu ni waziri wa Tamisemi?!
Unadhani au unajua?Nadhani zilikuwa billion 2.5