Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

Unadhani au unajua?

Magufuki hakusema kwamba hatatoa chochote kwa sababu serikali haikusababisha tetemeko?

Sasa kwenye moto serikali imesababisha moto?
Wewe huoni tofauti kati ya tetemeko na moto?!
 
Yani250k?
Huyu Dr Aleksanda si anahonga mpaka mahoteli kweli hii ndio rambi rambi.
Wawafungulie uamshobkwa sababu wanajua kwa mini haya yote yanatokea
 
Wewe huoni tofauti kati ya tetemeko na moto?!
Magufuli alisema serikali haitatoa chochote kwa sababu haikusababisha tetemeko.

Nimeuliza hivi, kwani huu moto umesababishwa na serikali?

Hujanijibu.
 
Poleni sana wafiwa.

R.I.P watoto wetu.

Serikali Mungu azidi kuwabariki kwa moyo huu mwema mlio nao.
 
Rushwa hiyo....Why iwe sasa mbona kuna majanga kibao mabaya yanatokea wako kimya? Mbona kipindi hiki cha kampeni?
 
Unadhani au unajua?

Magufuki hakusema kwamba hatatoa chochote kwa sababu serikali haikusababisha tetemeko?

Sasa kwenye moto serikali imesababisha moto?
Hii ni thread ya suala la ajali ya moto, wewe unaleta story za tetemeko za miaka ya zamani.

Tafuta thread ya tetemeko uongelee hayo masuala yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…