Serikali imetoa Tsh. Bil. 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho

Serikali imetoa Tsh. Bil. 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho

Seriously, mimi nilikuwa naamini was just a political game, na ndipo hapa nakumbuka yale ambayo tuliongea sana hapa JF siku Magufuli anatangaza serikali kununua korosho!!!

Na kuna uwezekano mkubwa serikali iliuza kwa hasara zile korosho, na tena kama waliuza zote basi manake hawa jamaa kwa mbwembwe, angekuwa amepatikana potential buyer, kungewekwa hadi kipindi maalumu pale TBC!!
Ws geuze kwa faida wangerudia tena biashara, sasa hivi waisikia korosho ni kama wameneza makaa ya moto
 
Mlisema waliokosa malipo wengi ni kangomba sasa mmekubali kuwalipa?
 
Magufuli anawalipa korosho gani kwani serikali ilikwishasema imemaliza kuwalipa wakulima.
 
Hizo pesa zimepitishwa katika bajeti ipi?

Naunga mkono asilimia 100 wakulima kulipwa haki zao, lakini najiuliza huu uwezo wa Magufuli mwenyewe kuamua kutoa mipesa hazina na kufanya anachotaka bila kuziomba hizo pesa bungeni anautoa wapi!
 
19 Jul 2020
Mtwara, Tanzania

Serikali imetoa shilling bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho. "Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara na Kibiti kwa ajili ya waliokuwa wamelipwa nusu, waliolipwa kiasi na wasiolipwa kabisa. Fedha hizi zitaanza kulipwa kesho asubuhi," Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa kauli hii leo (Jumapili, Julai 19, 2020) wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Msingi (AMCOS) cha Matogoro na wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara alikoenda kuhamasisha maandalizi ya msimu wa ununuzi wa korosho.

Source : Azam TV
Kwanza wametoa banki ya TIB kama mkopo kwa serikali.
Sasa miaka mitatu unakalia fedha zao unawapa leo lama vile unwagaia sio hali yao?
Kusini hawababaiki tena.
Mbunge Bwege anasema ujanja wa kulipa madeni wanaujua.
Mara hii hata PM nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
19 Jul 2020
Mtwara, Tanzania

Serikali imetoa shilling bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho. "Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara na Kibiti kwa ajili ya waliokuwa wamelipwa nusu, waliolipwa kiasi na wasiolipwa kabisa.

Fedha hizi zitaanza kulipwa kesho asubuhi," Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa kauli hii leo (Jumapili, Julai 19, 2020) wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Msingi (AMCOS) cha Matogoro na wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara alikoenda kuhamasisha maandalizi ya msimu wa ununuzi wa korosho.

Chanzo: Azam TV

Kwa hiyo rasisi ni mfanya biashara wa korosho , na analipa madeni aliyokopa?
Au vipi ? mbona mimisifahamu fahamu?
 
19 Jul 2020
Mtwara, Tanzania

Serikali imetoa shilling bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho. "Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara na Kibiti kwa ajili ya waliokuwa wamelipwa nusu, waliolipwa kiasi na wasiolipwa kabisa.

Fedha hizi zitaanza kulipwa kesho asubuhi," Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa kauli hii leo (Jumapili, Julai 19, 2020) wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Msingi (AMCOS) cha Matogoro na wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara alikoenda kuhamasisha maandalizi ya msimu wa ununuzi wa korosho.

Chanzo: Azam TV

Rushwa za wazi mchana kweupeeeeeee!!
 
sio vizuri kutesa wananchi kwa malengo ya kisiasa, JPM alijua mapema sana kua ameharibu biashara ya korosho mapema kabisa, let say hakujua lakini bado wapinzani walimwambia akaamua kukausha. It means alifanya makusudi kuharibu ili wakulima waumie then kipindi hiki akija kuwalipa wamuone mtu wa maana. CCM sio poa kabisa mnachofanya.
 
hivi inawezekana mimi nikawa mpumbavu? na nitakubali kuwa mpumbavu. Ni Raisi anatoa hela kwenye mfuko wake binafsi au ni hela za walipa kodi? wakati mwingine inabidi tuwatambue, tuwakubali na tuwatie moyo walipa kodi wajameni na mimi ni mmojawapo. Inatia kichefuchefu kuzungusha kauli na ili iweje?. Ni kama lile daraja la kigamboni, eti walisema ni NSSF wametoa baadhi ya pesa kwenye ujenzi (THIS IS BULLCRAP). hivi NSSF wana hela kweli? kweli? mnashindwa kuwatambua wanachama wao, what if wanachama wakaomba warudishiwe pesa zao? hiv hiyo ilikuwa inaitwa NSSF si ingebidi ikakope world bank au IMF kulipa wanachama wake? kipaumbele kiwe ELIMU,ELIMU, ELIMU na si bora elimu kama ambavyo ilivyo sasa bali elimu bora, tuazime walimu kutoka nje na tuwapele walimu wetu nje ya nchi tofauti tofauti ili wapate exposure. NAOMBA KUELIMISHWA.
 
Waziri Mkuu Majaliwa amesema Serikali imetoa Tsh. Bil 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho“JPM ametoa hizi fedha kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara & Kibiti kwa waliolipwa nusu, kiasi na wasiolipwa, zitaanza kulipwa kesho”

-----

Serikali imetoa shilling bilioni 20 za kulipa madeni ya wakulima, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho. "Rais Magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara na Kibiti kwa ajili ya waliokuwa wamelipwa nusu, waliolipwa kiasi na wasiolipwa kabisa.

Fedha hizi zitaanza kulipwa kesho asubuhi," Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa kauli hii leo (Jumapili, Julai 19, 2020) wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Msingi (AMCOS) cha Matogoro na wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara alikoenda kuhamasisha maandalizi ya msimu wa ununuzi wa korosho.

Chanzo: Azam TV

Mambo mengine unaweza kucheka...
Yani ni KAMA HISANI VILE!!!
DANGANYA TOTO
 
Back
Top Bottom