Clip video ipo wapi tukamchukulie RBHakuna kauli wala polisi yoyote mwenye kumzuia mwaipopo.
Kinachotengenezwa sasa mnataka kuona vikundi ambavyo mumenyamaza kuzani mnakomoa chadema.
Polisi kama mpo JF mkamateni mwaipopo na matamko yake.
kwa simu yako ni ya tochiClip video ipo wapi tukamchukulie RB
HuelewekiYanga?
Atavuna anachopandaMwaipopo atajutia
Naamini amechukua njia mbaya sana
Jaribuni muone na kuijua maana ya vita.......maana chadema na kitima wenu inaonekana mmedhamiria hilo jambo lenu la sirini.Wala hamna haja ya kusononeka, huyu Mhuni anayelindwa na Serikali atakamatwa na Wananchi na. kuhukumiwa na Umma
Dawa ya moto ni moto
Mwandiko wa mtu aliyeshiba kitimoto yenye mafutaJaribuni muone na kuijua maana ya vita.......maana chadema na kitima wenu inaonekana mmedhamiria hilo jambo lenu la sirini.
NakaziaMwandiko wa mtu aliyeshiba kitimoto yenye mafuta
Wala hamna haja ya kusononeka, huyu Mhuni anayelindwa na Serikali atakamatwa na Wananchi na. kuhukumiwa na Umma
Dawa ya moto ni moto