Serikali imkamate Sheikh Mwaipopo, acheni double standards. Haya mambo ndio yanachochea chuki na kuligawa Taifa

Serikali imkamate Sheikh Mwaipopo, acheni double standards. Haya mambo ndio yanachochea chuki na kuligawa Taifa

kuna double standard sana kwenye hii nchi, ila angekuwa amesema kiongozi wa upinzani hiyo kauli nadhani saivi angekuwa magereza ila kasema mtu ambaye anaitetea na kuiongolea serikali ni kama hawamuoni wala hawajaskia habari zake. Polisi wachukue hiili ikitokea hii nchi ikawa kwenye chama kingine asee haya mambo yatawagharimu sana. teknolojia haipotezi kitu
 
Tulipofikia sasa nimekumbuka Biafra War .Haya haya yalianza hivi hivi.

Utawala ukishashindwa kusimama kujua wote tunaitaji kuwa wamoja.

Usitarajie hiyo serikali itafika kuwa moja.

hapa ndio kutaibuka matabaka,makabira,dini,mali na rasilimali kila mtu kuzigeuza kuwa taifa au mipaka.

CCM 😄 coming soon congo iliyopitia na Zimbabwe
 
Hili jeshi sasa rasmi limewekwa mfukoni na ccm.

Hili ndo peke yake ilikua limebakiza heshima ya inchi. Sasa rasmi wanaimba wimbo wa ccm.

Imagine wanaimba vitisho dhidi wanainchi wanaotaka kutimiza takwa.la kikatiba huku wakikalia kimya vikundi vya kigaidi vinavyo jitangaza mbele ya kamera.

Kwa taswira ya sasa. Hili jeshi linalinda katiba ya ccm na si ya inchi. Shame on Tanzania the country we used to love
 
Mwenye uhalali wa kumiliki vikosi ni Captain wa jeshi,na RPC sasa yeye Mwaipopo anaweza vipi kumiliki vikosi?
 
Wale wamemezwa na ccm ! Hakuna kitu, kila kitu ni maelekezo wanapewa
 
Back
Top Bottom