Awakijaribu kumdhibiti anawaambia nao wadhibiti wizi wa kura kwenye xhaguzi,ufisadi,na wizi wa mali za umma na rasilimali za taifa pia utekaji na mauaji holela,hivyo hapo ngoma inakuwa draw!Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?.
Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama Je chama cha CCM tunaruhusu aya mambo vipi kuhusu maadili ya chama cha mapinduzi yanasemaje ?
Tuache hizi double standards hizi ndo zinaleta mpasuko kwenye taifa kila mtu hawe anabeba msalaba wake ni mda wa Mwaipopo kubeba msalaba wake tofauti na hapo kuna mtu kamtuma kutamka ayo maneno.
Je, huyo aliyemtuma yuko juu ya sheria? Hizi ndo double standards ambazo bado kama wana CCM tunashindwa kuwadhibiti hawa wahuni wachache wanaharibu Image ya chama na Serikali tunaelekea wapi kama nchi wahuni wachache wanatushinda nguvu?
Pia soma Askofu Mwamakula: Unajua sababu za Sheikh Mwaipopo kutaka 'Kuwatahiri watu bila ganzi'?
Anakula sana hiyo MwaipopoNakazia
Kitima na chadema hapa wamehusikaje kwenye mambo ya mwaipopo? Au haya tuseme Erythrocyte ni mwanachedema ndio maana umeshawishika kusema hivyo huyo kitima yeye kahusikaje na mdomo msema hivyo mwaipopo?Jaribuni muone na kuijua maana ya vita.......maana chadema na kitima wenu inaonekana mmedhamiria hilo jambo lenu la sirini.
Sawa, enhe kwahiyo unaenda kumdhuru mwaipopo kwa kuilinda Tanzania, au sio? Karibu sana.Mwandiko wa mtu aliyeshiba kitimoto yenye mafuta
Sibiri ukue kwanza utaelewa, kwa Sasa wewe ni mdogo mnooo.Kitima na chadema hapa wamehusikaje kwenye mambo ya mwaipopo? Au haya tuseme Erythrocyte ni mwanachedema ndio maana umeshawishika kusema hivyo huyo kitima yeye kahusikaje na mdomo msema hivyo mwaipopo?
Tanzania haina serikali!Na huyu mtu ni kama ameagizwa nimeona video yake nyingine tena. Ina maana serikali haioni haya mambo kweli? Yaan hadi wakuu wa majeshi ya ulinzi hawasemi chochote ๐คฃ Mwaipopo ndo anatoa matamko !
Kwamba ana vijana kikundi kinaitwa mbwa mwitu, kataja hadi idadi wako 30k๐คฃ
Basi tu hatuna uthubutu wabongo yaan ilibidi pakichangamka tunamkamata tunamtandika bakora mbele ya Umma na waandishi na akiri kutoongea tena ujinga. Wasimuue wala kumuumiza
Fvk the beachee as much as he could be fvked!Yes, Iโm calling for him to be eliminated.
Or, in plain English, Iโm calling for him to be killed.
Na auliwe tu huyo mtu maana tayari keshaanza kutoa vitisho vya kuua.
Sasa kwa nini tusubiri mpaka aue?
Mambo ya kizamani hayo.
Dawa ya hawa watu ni risasi kwa risasi au panga kwa panga.
No more unyonge. No more being pussies.
Wewe Shehe Feki Mwaipopo kama upo humu, fucc you ๐.
Kama haupo, vikaragosi vyako vitakupatia ujumbe.
Si wewe tu na hao wapumbavu wenzio ndo wenye uwezo wa kushika panga au kuvuta kifyatuzi.
Mbwa koko na mceenge wa mwisho wewe ๐.
Yes, Iโm calling for him to be eliminated.
Sasa kwa nini tusubiri mpaka aue?
Si wewe tu na hao wapumbavu wenzio ndo wenye uwezo wa kushika panga au kuvuta kifyatuzi.
Ukisimama upande wa fazafaka wa Kizimkazi unaweza kusema (au kufanya) chochote unachopenda na Serikali haitasikia wala kuona!Yes, Iโm calling for him to be eliminated.
Or, in plain English, Iโm calling for him to be killed.
Na auliwe tu huyo mtu maana tayari keshaanza kutoa vitisho vya kuua.
Sasa kwa nini tusubiri mpaka aue?
Mambo ya kizamani hayo.
Dawa ya hawa watu ni risasi kwa risasi au panga kwa panga.
No more unyonge. No more being pussies.
Wewe Shehe Feki Mwaipopo kama upo humu, fucc you ๐.
Kama haupo, vikaragosi vyako vitakupatia ujumbe.
Si wewe tu na hao wapumbavu wenzio ndo wenye uwezo wa kushika panga au kuvuta kifyatuzi.
Mbwa koko na mceenge wa mwisho wewe ๐.
Kuna uwezekano hatari ya maanadamano ikipita wakapewa karipio kali na onyo kwa yeyote anayetaka kuanzisha vikundi. Tutakumbushwa kuwa kazi ya ulinzi na usalama ni ya jeshi la polisi na majeshi mengine.Nilichukulia poa tarehe 7/7 ila kwasasa naona kuna haja ya kutoka kweli, ikiwa watu hawatatoka hiyo siku basi tujue "Mbwa mwitu" wameshinda. Wataturarua haswa