Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

Kazaliwa 2003.

Chekechea na Primary: Shule ya English Medium...

O- level : Private

Advance : Private.

Kafika chuo kanyimwa bumu( boom)

Hajawa allocated.

Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo ambayo ni ndogo Kuliko ile aliyo kuwa analipa kwenye shule za private.

Kumbe mzazi wake alikuwa ana bana Bana tu hana hata hela masikini ni kapuku.

Binti Sasa hivi yupo mwaka wa pili. Mwaka wa kwanza Kuna mitihani kaifanya kama special kwa sababu hiyo hiyo ya changamoto ya ada.

Mwaka huu Kuna mtihani pia hajafanya na yupo chupu chupu kusimamishwa Chuo.

Ada yenyewe anayo takiwa kulipa semester hii ni shilingi laki 4 tu mzazi kakosa kapata laki 2 wameikataa

Ombi langu Kwa serikali mruhusuni binti huyu afanye mitihani Yake.

Wapeni bumu watoto waliosoma shule za EMs na private Kwa sababu wazazi wao wengi hawajielewi wanajibana bana tu kulipa shule za EMs lakini ni masikini WA kutupwa.

Na ninyi wazazi msio na uwezo acheni kuharibu future za watoto wenu Kwa kijitutumua kulipa Ems wakati hamna uwezo .

Wakifika Chuo wanasumbuliwa na kwenye wana sumbuliwa pia.
sasa kama private alimudu kulipa 3m annually kwa masomo ya mwanae,

kumlipia 2-3m university anaweza kabisa kumlipia pia.
Nadhani ni vizuri kua wangwana tu ndugu zangu wadau 🐒
 
Kazaliwa 2003.

Chekechea na Primary: Shule ya English Medium...

O- level : Private

Advance : Private.

Kafika chuo kanyimwa bumu( boom)

Hajawa allocated.

Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo ambayo ni ndogo Kuliko ile aliyo kuwa analipa kwenye shule za private.

Kumbe mzazi wake alikuwa ana bana Bana tu hana hata hela masikini ni kapuku.

Binti Sasa hivi yupo mwaka wa pili. Mwaka wa kwanza Kuna mitihani kaifanya kama special kwa sababu hiyo hiyo ya changamoto ya ada.

Mwaka huu Kuna mtihani pia hajafanya na yupo chupu chupu kusimamishwa Chuo.

Ada yenyewe anayo takiwa kulipa semester hii ni shilingi laki 4 tu mzazi kakosa kapata laki 2 wameikataa

Ombi langu Kwa serikali mruhusuni binti huyu afanye mitihani Yake.

Wapeni bumu watoto waliosoma shule za EMs na private Kwa sababu wazazi wao wengi hawajielewi wanajibana bana tu kulipa shule za EMs lakini ni masikini WA kutupwa.

Na ninyi wazazi msio na uwezo acheni kuharibu future za watoto wenu Kwa kijitutumua kulipa Ems wakati hamna uwezo .

Wakifika Chuo wanasumbuliwa na kwenye wana sumbuliwa pia.
Una pepo la umaskini wewe mleta nada
 
Unapomsomesha mtoto shule za ada kubwa ni ujinga na upunguani kama hautaweza kumalizia kumsomesha Chuo Kikuu kwenye ada ndogo kuliko kule chini
Hii inashangaza sana

Vyuo vyetu hivi vya serikali Ada ya chuo Kikuu kwa Mwaka haizidi Milioni 2.
Vyup vya private kidogo viko juu hadi milioni 5.

Kama umemsomesha kwa gharama zaidi ya milioni 5 primary school ukashindwa chuo. Then Ujinga hautakaa uishe
 
Chuo Ada Mil 1.5 maximum hafu miaka 3 wakati uko Chekechea ada hadi Mil 4 kwa mwaka, primary 7 years secondary 4 years + 2 years za Advance.

Wazazi waache janja janja wamsomeshe mtoto wao.
Usisahau hiyo 4m mtoto anakula na kulala huko huko na bima juu yao.

Chuo hiyo 1.5 tuition fees tu na unasema chuo bei rahisi. Sikatai kuna kozi bei rahisi pia.

Wangempa Hata nusu mazazi apambane na nusu.

Pia private Zina saidia serikali katika ajira walimu wengi hawana kazi.
 
Sasa hivi Hali tete na Huko alikuwa anajitumua tu alijua akifika Chuo wanafunzi wanalipwa
ni kweli wanalipiwa masomo na fedha za kujikimu, lakini kwa kuzingati historia ya hatua za masomo yake ya awali, lakini pia vigezo na masharti mahususi kwa wannao stahili.

Ni wazi huyo hastahili huduma hiyo 🐒
 
Kuna kitu naona mna comment bila kuelewa

Kumbuka kipindi mzazi anamlipia maybe sekondari 1.5mio ilikuwa inajumuisha ada, chakula , malazi matibabu na vitu vingine ndani ya installments moja tuu!

Sasa akifika chuo....

Kuna direct fees.... Inategemea na chuo husika hapa Ila sio chini ya 150k
Per semester

Kuna tuition fees kwa ada hiyo hiyo ya 1.5mio atatakiwa kulipia 1.05mio ambayo ni laki tisa ya ada kwa semester one na laki moja na nusu kama direct fees kwa semester one!

Hapo je atalala wapi ? Kama hosteli ni hela ! Jee atakula nn ? Na mahitaji mengine...... Mengi

Huoni hiyo hela inazidi ile mzazi aliyokuwa anatoa kule sekondari na sekondari ni kwa awamu ?

Kwangu kama Hana ada pamoja na boom apige chini atafute mishe ya kufanya atateseka chuo ikiwa wazazi wake hawana uwezo wa kumudu hizo gharama kwa sasa....

Punguzeni mihemko

Wapo hata kayumba kibao wamekosa mikopo huku private wengine wakiambulia asilimia fulani za mkopo na wengine zote
.
 
Huyo mzazi pamoja na wazazi wote vilaza kama huyo ni WA kutiwa viboko tu pumbavu kwanini unamtesa mtoto wako namna hiyo.

WA Kayumba WaPo wanasoma Chuo yeye binti Yake anakosa masomo
Tatizo sio mzazi Bali serikali ya CCM , inakuwaje unam judge mtu sasa Kwa Maisha yake ya kipindi cha nyuma? Hapo serikali inatakiwa kutoka mkopo Kwa wanafunzi wote bila kujalisha kama kasoma private ama serikalini, Kuna shule za private ada 30000 Kwa mwezi kwahiyo huyu akifanikiwa kufika chuo watamnyima?
 
Huyo mzazi ni mpumbavu
Mama Samia sijawahi kukusikia ukirusha matusi namna hii. Imekuwaje leo? Naomba tumsaidie tu huyo binti aendelee na masomo. Ikiwa uliweza kuwapatia Simba na Yanga sh. Mil. 5 kwa kila goli walilofunga kwenye mashindano ya kimataifa, bila shaka unaweza pia kumsaidia huyu binti.
Huenda wakati baba yake anamsomesha huko nyuma uwezo wake wa kiuchumi ulikuwa vizuri na sasa uchumi umeyumba. Maisha ni safari. Safari haiwezi kuwa barabara iliyonyooka siku zote. Kuna kupanda na kuna kushuka.
 
Kuna kitu naona mna comment bila kuelewa

Kumbuka kipindi mzazi anamlipia maybe sekondari 1.5mio ilikuwa inajumuisha ada, chakula , malazi matibabu na vitu vingine ndani ya installments moja tuu!

Sasa akifika chuo....

Kuna direct fees.... Inategemea na chuo husika hapa Ila sio chini ya 150k
Per semester

Kuna tuition fees kwa ada hiyo hiyo ya 1.5mio atatakiwa kulipia 1.05mio ambayo ni laki tisa ya ada kwa semester one na laki moja na nusu kama direct fees kwa semester one!

Hapo je atalala wapi ? Kama hosteli ni hela ! Jee atakula nn ? Na mahitaji mengine...... Mengi

Huoni hiyo hela inazidi ile mzazi aliyokuwa anatoa kule sekondari na sekondari ni kwa awamu ?

Kwangu kama Hana ada pamoja na boom apige chini atafute mishe ya kufanya atateseka chuo ikiwa wazazi wake hawana uwezo wa kumudu hizo gharama kwa sasa....

Punguzeni mihemko

Wapo hata kayumba kibao wamekosa mikopo huku private wengine wakiambulia asilimia fulani za mkopo na wengine zote
.
Hakuna kayumba anae kosa mkopo Chuo Nakataa kwa asilimia zote
 
Back
Top Bottom