GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
πππKongole kwa nasaha π π zilizosheheni hekima.
Nionngezee tu hapo kwamba Mamlaka iliyo mwajiri huyo kijana (kama sikosei ni Manispaa au..)Kama huko nako kuna kiongozi wa tabia aina ya mahita anaweza kumshitaki mahita kwa madai ya kuidhalilisha Mamlaka.
sijaelewa hapo mkuu.πππ
Atakuwa mpumbavu tu kama alichofanya kinakinzana na mwongozo wa kazi yake. Lakini kama alilofanya ni hitaji la Kisheria, basi anastahili pongezi. Ameiheshimu kazi yake na ameukataa unyonge.Kwa nchi zetu hizi za kujuana sana.
Kufunga lock gari ya IGP mstaafu ni kujitafutia matatizo tu. Huyo mfunga lock ni mpumbavu pia.
IGP mstafu huwezi kwenda kumshitaki popote ukamshinda.
Anaweza akawang"ata chezea ile suraππ na ule mdomo kama wa samaki jodariWatoto wamkamate baba yao?
Sometimes anakuwa peace Sana,Kuna siku Tupo na kigari chetu porini kikakwama katikati ya barabara,jamaa alikuwa nyuma yetu,katukuta tumekwama akashuka na watu wake,katupa pole na akatusaidia kusukuma Gari mpaka likatoka.Alikuwa very cool that dayMahita mtata kitambo
Uzushi mtupuBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Huko ni Kuchanganyikiwa aniona hali ya mtaani pale mwanzo milango yote ilikuwa wazi anapopita kila kitu kinafunguka sasa mambo ni moto ndio maana anatoa silaha yake na bado atatoa hata rocket ranger sio poa kaka ni moto fire.Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Hata mimi nikiwa na Bastola hawa wazee wa parking lazima nifyatue Lock zao kama sio miguu yaoBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Mzee yuko sawa kabisa kufanya hivyo na ilibidi aje amnase makofi ya kutosha [emoji16] sio kenya hapaBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Hao watia loki na wamezidi kuvizia, angejitokeza alambwe risasi ya makalio.Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Jambazi hiloBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Hayo unayoyasema ni vitisho vya kizamani huu ni ulimwengu wa kidigital huwezi kujitamba kwamba wewe ni mtu hatari sana sijui nini na nini jambo la pekee ishi na watu vizuri usalama wako unategemea watu wengine ,alafu busara zikuongozeInaonekana kijana aliwaaminisha wenzake ngoja kwa niifunge gari ya mahita ... Nyie sini mnamuogopa.π Arafu kijana mwenyewe ni huyu huyu muanzisha mada hii..
Halafu makosa mengi kama hayo ya kufunga gari unakuta hata vile vibango vya Katazo havipo au kukiwepo kimeanzishwa makusudi ili usikione au kimewekwa mazingira ambayo si rahisi kukiona
Sababu wanajua kabisa watakosa hela..
Labda kwa taarifa kijana ambazo hazijui Omar mahita ni mtu hatari sana na aina ya wafu wenye misimamo mikali sana enzi zake za utumishi
Suala hapo ni tabia ya umimi na afya ya akili ndio kiini cha matendo yake kuendelea.Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Safi sana mzee Ngunguli! Huyo kenge hajui wewe enzi hizo uliweka maisha yako rehani ili baba na mama yake wapate amani ye azaliwe?Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Hapa pia nukupa support, Kuna kizee kimoja kinatembea na Hilo la kufungia hapa DSM mtaa wa Livingston, kinaudhi sana, hakuna parking ila analazimishia wrong parking how!? Ila hizi halmashauri na mamea sijui wanasimamia kitu Gani!! FoolishHawa wajinga muda mwingine wanakera sana kufunga funga magari ya watu wakitaka rushwa, ni usumbufu tu.