DOKEZO Serikali imuangalie IGP Mstaafu Omari Mahita, anatoa silaha yake ovyo hadharani anaweza kumjeruhi mtu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Namuunga mkono
Huu mji umejaa washamba na wajinga wa maporini
Lazima uishe nao kinyamanyama wakuelewe na kukuogopa kama viboko na simba waliowakimbia huko maporini
 
Msijisahau kama hamumjui Omary mahita .. huyu ni IGP wa kutisha aliyefanya mission Kali sana na za kutisha wakati wa Rais mkapa huyu kukupoteza ilikua ni sekunde muda wote nimefanya kazi wakati wake katika baadhi ya sehemu ni mtu mwenye msimamo wa hatari sana wengi huku ni vijana wa 2005 hamjui huyu ingieni hata YouTube ..anaishi maisha ya kujihami sababu alitumikia jeshi kama IGP amepambana na wahalifu wengi hivyo kwa namna moja ama nyingine ni lazima aishi maisha hayo halafu kingine kijana huyu mzee huwa asahau anaweza kukufuata siku moja umuueleze kwanini ulifunga gari yake .. Anakuambia "Risasi moja mtu mmoja "

Ni IGP Pekee ambaye asilimia 95% ya safari zake alikua anatumia Ndege ..😁
Sasa wewe jifanye kuonyesha wafanyakazi wenzako sijui unajua maadili ya kazi sijui huogopi .. utapotezwa na boss wako atakukana.

Jifunze ni kuwa na lugha nzuri hao mnaowafungia magari halafu mnawajibu shit ipo siku mtavamia mtumbwi wa vibwengo hautarudi kamwe

Ukiambiwa ulitaka kumteka IGP mstaafu umuue unalakujibu?

Ulizia kilichowapata Pemba enzi zile za mkapa
 
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.

Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.

Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!

Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.

Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?

Badilika.
Wakati mwingine, ikiwa mtu anakuwa na bunduki inakuwa ni vema awe anafanya kama Mstaafu Mahita ikiwa kama sehemu ya kutoa tahadhari kwa watu wengine.

Maana kama ukianza uchokozi kwa Mzee Mahita, akiitoa bunduki na ukaiona, siyo rahisi kuendelea na utani. Utakausha.

Kuificha bunduki wakati ukichokozwa au kukerwa huwa ni hatari, kwani mchokozaji anaweza kufikia hatua ya juu hadi mwenye bunduki akakosa uvumilivu, akamtwanga.

Ova
 
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.

Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.

Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!

Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.

Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?

Badilika.
Yule Mzee busara ni 0
 
Lete video
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi sana. Wajuaji sana hao mbwa..ningetaka asogee umle shaba ya kichwa mmaaeh..
 
Walikuwepo watata zaidi yake enzi za nyuma, lakini leo hii wametulia au dunia imewalazimisha wawe wanyenyekevui.e. Dunia imewatiisha.
Ukiikuta gari yake popote basi tunakuomba uipige lock halafu ubaki hapo hapo ili dunia ikusaidie kumtiisha Mahita akija hapo hapo akukute. Halafu uje utupe mrejesho hapa either ukiwa hai ama maiti.
 
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.

Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.

Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!

Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.

Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?

Badilika.
Yupo sahihi mzee Majitaka. Vijana washike adabu
 
Msijisahau kama hamumjui Omary mahita .. huyu ni IGP wa kutisha aliyefanya mission Kali sana na za kutisha wakati wa Rais mkapa huyu kukupoteza ilikua ni sekunde muda wote nimefanya kazi wakati wake katika baadhi ya sehemu ni mtu mwenye msimamo wa hatari sana wengi huku ni vijana wa 2005 hamjui huyu ingieni hata YouTube ..anaishi maisha ya kujihami sababu alitumikia jeshi kama IGP amepambana na wahalifu wengi hivyo kwa namna moja ama nyingine ni lazima aishi maisha hayo halafu kingine kijana huyu mzee huwa asahau anaweza kukufuta siku moja umuueleze kwanini ulifunga gari yake .. Anakuambia "Risasi moja mtu mmoja "

Ni IGP Pekee ambaye asilimia 95% ya safari zake alikua anatumia Ndege ..😁
Sasa wewe jifanye kuonyesha wafanyakazi wenzako sijui unajua maadili ya kazi sijui huogopi .. utapotezwa na boss wako atakukana.

Jifunze ni kuwa na lugha nzuri hao mnaowafungia magari halafu mnawajibu shit ipo siku mtavamia mtumbwi wa vibwengo hautarudi kamwe

Ukiachiwa ulitaka kumteka IGP mstaafu umuue unalakujibu?

Ulizia kilichowapata Pemba enzi zile za mkapa
Naongezea sifa nyingine za mahita.
1. Akiwa rpc/OCD mbeya alikutana uso kwa uso na TUNDU LISU akiwa jkt itende mwaka 1986/7 wakajibishana kunya makavu live mbele ya mamia ya askari.
 
Kuna Mwamba wa kuitwa HASSAN BANTU (RIP) alimyoosha Mahita ktk ugomvi wao wa Shamba! Hv hv na ujinga wk wa kutoa toa Bastola... Mahita aliufyata
 
Laana ya kontena la Visu na Majambia alilosingizia ni la CUF bado imamwandama huyo.
 
Mkuu, Hilo Ni la Uhakika kama hatabadilika na kukubaliana na matokeo. Ajue na Atambue kwamba Amestaafu i.e. Hayuko Ofisini tena na pia Yeye sio IGP tena bali ni Raia sawa na raia wengine. Huko kumiliki gari na bastola na vitu vingine kama anavyo ajue kwamba hata raia wengine wanavyo vitu hivyo pengine hata kumzidi.
Hivi inakuwaje kwa huyo mwamba - anakwama wapi? haangalii hata Rais mstaafu Mh. J. Kikwete anavyoishi na Jamii ? CDF mtaafu anavyoishi na Jamii??? :KEKBye: anadhani hivyo vitu (gari na bastola)anavyotamba navyo wao hawana? Mbona wametulia?
Hata mm ningekuwa Mahita ningefanya the same,hawa jamaa wa minyororo wanaboa,huwezi elewa kama sio driver.
 
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.

Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.

Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!

Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.

Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?

Badilika.
Pia anapotez

a kumbukumbu sababu ya umri, wamuombe silaha irejeshwe mamlaka husika, ana hasira mno atawadhuru wenzake na hizo silaha
 
Back
Top Bottom