cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Generation Z wakorofi sana ukicheka nao,utashangaa wanakuomba Hela ya guest na kondom[emoji1787][emoji1787] kamanda hataki zereuuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Generation Z wakorofi sana ukicheka nao,utashangaa wanakuomba Hela ya guest na kondom[emoji1787][emoji1787] kamanda hataki zereuuu.
Ndo huyu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa Ngunguri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa Ngunguli[emoji16]
Mfunga gari aliingia cha kike Afu cha walemavu [emoji23]
View attachment 3025929
Ndiyo mshike adabu sasa! Siyo kukaa mnatunyanyasa sisi wazee! Hata mimi nikistaafu nitakuwa natembea nacho hadharani, ukileta ujinga tu nakuvunjavunja huto tu milonjo twako! Kwa nini wafunge gari ya igp mstaafu? Ina maana wao hawamjui?Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Wala siyo kweli, mzee Mahita hana njaa kama ya kwako mkuu!Depression is real na inamkumba mtu yoyote
Itakuwa stress tu atakaa Sawa I hope
Hayo madhara ya serikali ya ccm kuwapa watu vyeo kwa vigezo vya itikadi ya kisiasa. Huyo Mhita hakufaa hata kuwa coporal. ila kwasababu alikuwa mpenzi wa ccm akapewa cheo kwa masirahi ya chama.Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
🤣🤣🙌Kusema kweli una lock gari ya IGP mstaafu...Watanzania wenzangu kulala na kuamka salama sio jambo dogo...kuna watu hawalali ili sisi tulale na tuamke vyema...yupo sahihi sana imagine amepiga chuma bila kuathiri tairi la gari mlitazame hili..yupo makini kiasi gani...hongera mahita
𝐾𝑎𝑘𝑎 𝑚𝑛𝑎𝑘𝑒𝑟𝑎𝑔𝑎 𝑚𝑘𝑖𝑓𝑢𝑛𝑔𝑎 𝑚𝑎𝑔𝑎𝑟𝑖...𝑛𝑒𝑥𝑡 𝑡𝑖𝑚𝑒 𝑎𝑡𝑎𝑘𝑢𝑠𝑢𝑏𝑖𝑟𝑖 𝑢𝑤𝑒 𝑗𝑖𝑟𝑎𝑛𝑖 𝑛𝑑𝑜 𝑎𝑙𝑖𝑏𝑢𝑡𝑢𝑒 ℎ𝑖𝑙𝑜 𝑐ℎ𝑢𝑚𝑎 𝑙𝑎 𝑀𝑟𝑢𝑠𝑖Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Mkuu kufuli imevunjwa na x IGP,unaweza fungua kesi mtoza ushuru alipwe,kama itashindikana tukupe namba ya mahita umueleze kwamba kafanya jambo la hovyo,kutufokea sisi hapa badala umfate mwenyewe ni dalili ya ugonjwa wa moyo.Narudia, hayo ni maombi ya kipumbavu. Huwezi kushabikia ex police officer kuvunja sheria kisa eti aliitumikia nchi. Hii siyo karne ya mawe. Aliyepaki gari ndiye mwenye makosa na huyo mkusanya ushuru alikuwa anatekeleza wajibu wake. Kama ana kibali cha free parking basi huwa vinawekwa ndani ya gari kwa mbele kwenye dashboard ili akija mkusanya ushuru akione. Kama anacho na hakuweka ni kosa lake. Kama hana basi anatakiwa kulipa kama raia wengine kwa sababu analipwa fedha nyingi sana kuliko raia wengi wanaolipa. Kilichonifanya niseme ni maoni ya kipumbavu ni wewe kusema eti mkusanya ushuru ana kosa kwa sababu alitakiwa ajue (sijui angeota) kuwa hilo ni gari la Mahita na aliache.
Mzee anatembea na full magazine ! Big up kamanda watu wasilete mazoeaNi full undava wakikuzoea wanakushukuru Kawambwa.
Kwani hiyo gari aliiegesha eneo gani na alikwenda wapi.Au kijana alifanya makusudi kwa kufanya wivu na hapo anapoingia IGP mstaafu.Huyo kijana alikwendaje kufunga gari ya mahita hana adabu kabisa
Kwani hiyo gari aliiegesha eneo gani na alikwenda wapi.Au kijana alifanya makusudi kwa kufanya wivu na hapo anapoingia IGP mstaafu.Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Najua sana Mpaka machimbo yake ya lumesule nayajuaWala siyo kweli, mzee Mahita hana njaa kama ya kwako mkuu!
Kwa hiyo mwanangu Ndege tukubaliane kwamba lile zee haliwezi kulia njaa hata siku 1!Najua sana Mpaka machimbo yake ya lumesule nayajua
Je, kama alikuwa hajui ni ya nani angelifanyaje? Hata huyo mwamba inawezekana alipishana na huyo kijana alipokuwa anakuja kwenye gari yake. Si hamjui au hawajuani?Huyo dogo kazingua sana, kwa status ya utumishi aliyofikia Mahita katika taratibu za utumishi wa umma anakuwa immuned na priviledged to some regulations kama hizo.
Kufunga gari ya huyo Mzee ni kumfedhehesha na kutweza utu na status yake.
Achilia mbali status ya Mzee Mahita, inamaana huyo dogo ameshindwa hata kuheshimu tu umri wa huyo Mzee?
Sijafoka bali nimejadili. Nimechukuwa hii nafasi kukuelimisha ni nini maana ya utawala wa sheria. Kama hutaki maoni yako yapingwe basi jiondoe kwenye JF au uwe unasoma tu.Mkuu kufuli imevunjwa na x IGP,unaweza fungua kesi mtoza ushuru alipwe,kama itashindikana tukupe namba ya mahita umueleze kwamba kafanya jambo la hovyo,kutufokea sisi hapa badala umfate mwenyewe ni dalili ya ugonjwa wa moyo.