mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Mkuu hasira humuumiza anayeihifadhi.Hilo kubwa jinga lina majigambo tangu miaka hiyo naona linazeeka na ujinga wake wakati wenzie wameandika memoir na kuomba radhi kwa waliyofanya ndivyo sivyo.
Hiyo inatupa picha watu gani CCM inawapenda ili iendelee kuwepo madarakani.
Liliwahi kusema CUF waliiingiza kontena la machete ili kuleta machafuko 2005.
Mwanae kaingizwa PoliCCM alikuwemo kama askari mpelelezi kwenye kesi ya ugaidi ya kubumba ya Freeman Mbowe.View attachment 3025638
Mahita na ugaidi wake anafikia 75 wewe unaweza usitoboe 40 sababu magonjwa ya moyo na hasira za kijinga.