Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Kwani IGP mstaafu alikuwa na haraka gani? Kimsingi huyo mwamba si IGP tena kwa sasa u-IGP ulishaexpire. Halafu, huyu IGP mstaafu si ndo huyu huyu aliyekuwa (enzi zake) akiwasisitiza raia wawe na Utii wa Sheria bila shuruti? Inakuwaje kwa mfano sasa yeye hapo katika tukio hili anaonesha mfano gani kwa raia ambao walikuwa wanamsikia kipindi akiwa upande wa uongozi Serikalini ila kwa sasa yupo upande wa wale aliokuwa akiwataka kutii sheria bila shuruti?Huu muda wote kwa IGP mstaafu unatoka wapi??
Mpaka anakata hiyo lock kwa vyovyote kijana aliyeyuka baada ya kuingia ubaridi,anatafutwa haonekani.
Angefunga kisha amsubiri mbona angefungua mwenyewe kawaida tu???