DOKEZO Serikali imuangalie IGP Mstaafu Omari Mahita, anatoa silaha yake ovyo hadharani anaweza kumjeruhi mtu

DOKEZO Serikali imuangalie IGP Mstaafu Omari Mahita, anatoa silaha yake ovyo hadharani anaweza kumjeruhi mtu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu muda wote kwa IGP mstaafu unatoka wapi??

Mpaka anakata hiyo lock kwa vyovyote kijana aliyeyuka baada ya kuingia ubaridi,anatafutwa haonekani.

Angefunga kisha amsubiri mbona angefungua mwenyewe kawaida tu???
Kwani IGP mstaafu alikuwa na haraka gani? Kimsingi huyo mwamba si IGP tena kwa sasa u-IGP ulishaexpire. Halafu, huyu IGP mstaafu si ndo huyu huyu aliyekuwa (enzi zake) akiwasisitiza raia wawe na Utii wa Sheria bila shuruti? Inakuwaje kwa mfano sasa yeye hapo katika tukio hili anaonesha mfano gani kwa raia ambao walikuwa wanamsikia kipindi akiwa upande wa uongozi Serikalini ila kwa sasa yupo upande wa wale aliokuwa akiwataka kutii sheria bila shuruti?
 
ukija mjini kaa kwanza uwajue wazee, kijana kapata zero ya form four unaleta stress mjini
Dah! "Ole" ni kwetu sisi ngurumbili tusomiliki cha moto. Basi kaeni na Moro yenu huko bhana mtuache sisi tujichungie ng'ombe zetu huku ambazo silaha yake kubwa sanasana ni teke au kichwa.
 
Miongoni mwao IGP bora,huyo hatakag ujinga isee na ndio ukamanda inavyotakiwa hata ccm walimwogopa huyo sema raia wanakaririshwa tuu fulani mbaya fulani mbaya.kuna idara au taasisi hata uwe vp lazima uchafuliwe,Wizara ya mambo ya ndani,wizara ya elimu,wizara ngumu gizo.huyo sio kama ernest Mangu au siro waliojikita kwenye akili nyingi nguvu kidogo mwishowe ccm na chadema wakawa wanawashika ndevu,.mzee alitisha
 
Kwani IGP mstaafu alikuwa na haraka gani? Kimsingi huyo mwamba si IGP tena kwa sasa u-IGP ulishaexpire. Halafu, huyu IGP mstaafu si ndo huyu huyu aliyekuwa (enzi zake) akiwasisitiza raia wawe na Utii wa Sheria bila shuruti? Inakuwaje kwa mfano sasa yeye hapo katika tukio hili anaonesha mfano gani kwa raia ambao walikuwa wanamsikia kipindi akiwa upande wa uongozi Serikalini ila kwa sasa yupo upande wa wale aliokuwa akiwataka kutii sheria bila shuruti?
Huyu hajawahi kuwa muumini wa siasa kabisa linapokuja swala la usalama,uongozi wake ulikuwa na kibabe haswa,muumini wa kutii sheria bila shuruti ni mwema mrithi wake baada ya huyu.
 
Kwani IGP mstaafu alikuwa na haraka gani? Kimsingi huyo mwamba si IGP tena kwa sasa u-IGP ulishaexpire. Halafu, huyu IGP mstaafu si ndo huyu huyu aliyekuwa (enzi zake) akiwasisitiza raia wawe na Utii wa Sheria bila shuruti? Inakuwaje kwa mfano sasa yeye hapo katika tukio hili anaonesha mfano gani kwa raia ambao walikuwa wanamsikia kipindi akiwa upande wa uongozi Serikalini ila kwa sasa yupo upande wa wale aliokuwa akiwataka kutii sheria bila shuruti?
Talk is cheap

Umenikumbusha kisa cha mzee mmoja hapa ofisini alipewa nafasi ya uongozi. Sasa kuna ka allowance fulani tulikuaga tunapewa tukifanya kazi fulani, yeye akasema hiyo allowance ifutwe!

Sasa baadae muda wake wa uongozi ulipoisha, ikatokea nayeye kuna siku amefanya ile kazi. Haraka haraka akajaza form za ku claim allowance. Kuzipeleka anaambiwa mzee mbona hiyo allowance siku hizi hatutoi? Mzee kaanza kung'aka "Inakuaje allowance imefutwa hii kazi ni ngumu haiwezekani mtu aifanye asilipwe chochote" watu hawakumkopesha wakamuambia mzee mbona hii allowance ni wewe uliifuta?
 
Wakati wa Magufuli Kuna traffic alikamata gari ya mke wa waziri wa mambo ya nje na east Africa akapandishwa cheo. Ila kwa sasa serikali ya mama lazima wenye vyeo vyao wawanyanyase wenye vyeo vidogo na wasiokuwa na vyeo.
Kwenye serikali ya Magu hakuna aliyekuwa juu ya Sheria ila alivyokufa misimamo yake pia ikauawa.

wakati wa magu makonda alivyovamia clouds alichukuliwa hatua gani?

makonda alivyoleta makontena ya masofa alichukuliwa hatua gani?

makonda alivyopora watu magari alichukuliwa hatua gani?

hapo ndipo tutajua hakuna aliye juu ya sheria wakati wa magu.

nape nauye alivyoingilia sakata la makonda kuvamia clouds alichukuliwa hatua gani?

majibu ya haya maswali yanaonesha magufuli mwenyewe alikuwa na double standards
 
Back
Top Bottom