DOKEZO Serikali imuangalie IGP Mstaafu Omari Mahita, anatoa silaha yake ovyo hadharani anaweza kumjeruhi mtu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ndio ukome, tena ungeifungia gari yangu ningekunyoosha.


Mnafungia gari na eneo hilo hakuna kibao cha Katazo mnaondoa maksudi ili mpate hela sasa mwenzako aliacha kazi kwa kupigo alichopata hadi muajiri wake akamkana

Unafunga gari na eneo hilo vibao mmeviondoa nitafahamu vipi?
 
Mahita yupo morogoro wayback sidhani kama hata aliwahi kutoka. Mtu yyte lazma uijue gari ya huyu bwana, else wise ni dharau. Na hiyo ndio kazi ya bastola. It is too risk kufunga gari ya mtu kama huyo, risk kwake na kwako mfungaji.
Mimi tu nakushtua utumbo ukifanya hivo kwenye gari yangu kama na wadhfa wake.
Kila mtu moro anamjua mahita. Huyo nani kalifunga.
Mzee hana stress. Kama kuna wazee wanaenjoy maisha ni mahita. Kafanya kazi yake na anaenjoy muda wake.
 
Uzwazwa mwingi sana kwenye aya maelezo
 
Nanukuu: "Mtu yyte lazma uijue gari ya huyu bwana, else wise ni dharau. Na hiyo ndio kazi ya bastola."
Mkuu, Hiyo gari yake ina utambulisho(Identity) gani wa kipekee kiasi kwamba mtu yeyote ni lazma aijue? Mbona ss huku umasaini ndani ndani huku hatuijui au sisi sio watu?
Je, kazi ya bastola ni kufungua lock za magari? Tafakari.
Huyo mwamba mstaafu inabidi ajitambue(Kama bado akili iko vizuri) kwamba ni muda wake sasa wa kupumzika na kuyafurahia mema ya nchi na sio kuendeleza ubabe. Wahenga walitanabahisha "Dunia huwatiisha watu".
1. Hiyo gari yaweza kutofanya kazi muda wowote e.g. kuharibika au vinginevyo;
2. Hiyo bastola sio mali yake - amedhaminiwa tuu i.e. anaweza kutakiwa kisheria airudishe kwa waliompa.
3. Kadri umri wake unavyosogea, anaweza kufikia umri ambapo asiweze tena kuvitumia hivyo vitu hata kama bado atakuwa navyo.
Ushauri: IGP (Inspector General Police) Mstaafu, kwa heshima alokuwa nayo (kabla na baada ya kustaafu) ndani ya Jamii ingependeza zaidi akawa ni mfano wa kuigwa na sio kuwa ni mtu wa vitisho na kuonesha umwamba.
 
Hilo kubwa jinga lina majigambo tangu miaka hiyo naona linazeeka na ujinga wake wakati wenzie wameandika memoir na kuomba radhi kwa waliyofanya ndivyo sivyo.

Hiyo inatupa picha watu gani CCM inawapenda ili iendelee kuwepo madarakani.

Liliwahi kusema CUF waliiingiza kontena la machete ili kuleta machafuko 2005.

Mwanae kaingizwa PoliCCM alikuwemo kama askari mpelelezi kwenye kesi ya ugaidi ya kubumba ya Freeman Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…