DOKEZO Serikali imuangalie IGP Mstaafu Omari Mahita, anatoa silaha yake ovyo hadharani anaweza kumjeruhi mtu

DOKEZO Serikali imuangalie IGP Mstaafu Omari Mahita, anatoa silaha yake ovyo hadharani anaweza kumjeruhi mtu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.

Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.

Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!

Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.

Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?

Badilika.
mzoee uyo ana laana inamtafuna alimwaga sana dam enzi zake kama unakumbuka tukio la mwembe chai aliqmuru wapigwe sana risas waislam seeikal wamtazame ivo viashriq kua alikua mtu wa aina gan hana busara kashakua mzee asume pind kijana alikuaje katumia sana siraha ya moto na ndiomana hat saiv kidgo anakutolea bastola nafkir ht ndg wamshaul astembee nayo itamletea matatzo km dc mstaaf ditopile aliompga risas dereva wa daladala mwisho wke ukaw mbaya pia
 
Lakini wanaofunga Huwa wanakera sana.unashangaa umepaki gari Yako inaenda kunywa chai unakuta imetiwa lock.
Alafu wakati mtu ana-park gari huwa wanaangalia tu ili wapate sababu ya kufunga mnyororo tyre wapate maokoto ya fine ya wrong parking
 
Kusema kweli una lock gari ya IGP mstaafu...Watanzania wenzangu kulala na kuamka salama sio jambo dogo...kuna watu hawalali ili sisi tulale na tuamke vyema...yupo sahihi sana imagine amepiga chuma bila kuathiri tairi la gari mlitazame hili..yupo makini kiasi gani...hongera mahita
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kunashida mahala kunahitajika msaada wa kisaikolojia wa haraka sana, kusema nirahisi sana shida ni kwenye utekelezaji atakubali ya kuwa anahasira za haraka? ambazo ni hatari kwa maisha yake na wanaomzunguka?
 
T
mzoee uyo ana laana inamtafuna alimwaga sana dam enzi zake kama unakumbuka tukio la mwembe chai aliqmuru wapigwe sana risas waislam seeikal wamtazame ivo viashriq kua alikua mtu wa aina gan hana busara kashakua mzee asume pind kijana alikuaje katumia sana siraha ya moto na ndiomana hat saiv kidgo anakutolea bastola nafkir ht ndg wamshaul astembee nayo itamletea matatzo km dc mstaaf ditopile aliompga risas dereva wa daladala mwisho wke ukaw mbaya pia
Tujaribu kuwa wakweli mwembechai mtu anakuja na panga au shoka yupo mbio anakuja kukudhuru..wewe una gun..utafanyaje...??
 
Mahita yupo morogoro wayback sidhani kama hata aliwahi kutoka. Mtu yyte lazma uijue gari ya huyu bwana, else wise ni dharau. Na hiyo ndio kazi ya bastola. It is too risk kufunga gari ya mtu kama huyo, risk kwake na kwako mfungaji.
Mimi tu nakushtua utumbo ukifanya hivo kwenye gari yangu kama na wadhfa wake.
Kila mtu moro anamjua mahita. Huyo nani kalifunga.
Mzee hana stress. Kama kuna wazee wanaenjoy maisha ni mahita. Kafanya kazi yake na anaenjoy muda wake.
Kwahiyo mimi maisha huku ngara nikija morogoro kikazi naijuia Gari yake siku hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom