LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
[emoji1787]Watoto wamkamate baba yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]Watoto wamkamate baba yao?
Ndio na chambi chambi atatoa.Hivi anaweza kukamatwa na Trafiki[emoji1787][emoji1787]
Ndio ukome, tena ungeifungia gari yangu ningekunyoosha.Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Angeuliza Omari mahita ni nani😁Huyo aliyefunga alikuwa haijui gari ya Mzee wa Ngunguli🤣🤣,aliyakanyaga mawaya
Mahita atakua anakaribia gorofa ya nane. 28 years ago alikua ashaukwaa ukuu. Assuming he was 50 then.Dalili za ugonjwa akili plus uzee.
Weeee! Hajipendi au?Aloifunga angejitokeza

Shida si kupaki, ni kupaki sehemu isiyo sahihi. Huwezi kuta gari imefungwa kama imepakiwa sehemu sahihi.umepaki gari Yako inaenda kunywa chai unakuta imetiwa lock.
Hakujua. Gari ya mstaafu IGP haina utambulisho.Kwa nchi zetu hizi za kujuana sana.
Kufunga lock gari ya IGP mstaafu ni kujitafutia matatizo tu. Huyo mfunga lock ni mpumbavu pia.
IGP mstafu huwezi kwenda kumshitaki popote ukamshinda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo aliyefunga alikuwa haijui gari ya Mzee wa Ngunguli[emoji1787][emoji1787],aliyakanyaga mawaya
Chakushangaza wao ndio wa kwanza kuhubiri utii wa sheria bila shuruti.Huyo aliyefunga alikuwa haijui gari ya Mzee wa Ngungulií ¾í´£í ¾í´£,aliyakanyaga mawaya
Uzwazwa mwingi sana kwenye aya maelezoKusema kweli una lock gari ya IGP mstaafu...Watanzania wenzangu kulala na kuamka salama sio jambo dogo...kuna watu hawalali ili sisi tulale na tuamke vyema...yupo sahihi sana imagine amepiga chuma bila kuathiri tairi la gari mlitazame hili..yupo makini kiasi gani...hongera mahita
Nanukuu: "Mtu yyte lazma uijue gari ya huyu bwana, else wise ni dharau. Na hiyo ndio kazi ya bastola."Mahita yupo morogoro wayback sidhani kama hata aliwahi kutoka. Mtu yyte lazma uijue gari ya huyu bwana, else wise ni dharau. Na hiyo ndio kazi ya bastola. It is too risk kufunga gari ya mtu kama huyo, risk kwake na kwako mfungaji.
Mimi tu nakushtua utumbo ukifanya hivo kwenye gari yangu kama na wadhfa wake.
Kila mtu moro anamjua mahita. Huyo nani kalifunga.
Mzee hana stress. Kama kuna wazee wanaenjoy maisha ni mahita. Kafanya kazi yake na anaenjoy muda wake.